CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

Upungazeze kazi sana... Niungane na Nyerere aliyesema umaskini wa mwisho na mbaya zaidi n umaskini wafikra.. Ukifikia kufilisika kiasi hicho huna tofauti na viumbe vinavyohifadhiwa kwenye mbuga za wanyama maana venyewe vinazurura tu wala havijui Kuwa vimehifadhiwa na watu wanapiga hela ndefu kwa kuhifadhiwa kwao
 
Kazi kumqoute Baba wa Taifa Nyerere hivi Chadema hawana cha qoute kutoka kwa mwanzilishi Edwin Mtei? Au hakuna cha maana alichowahi kusema? Mwalimu Nyerere ni wa CCM. Muasisi wenu ni Edwin Mtei tafuteni alichosema.
 
Yani wewe ni mjinga mpaka nimekuogopa.
 
Kazi kumqoute Baba wa Taifa Nyerere hivi Chadema hawana cha qoute kutoka kwa mwanzilishi Edwin Mtei? Au hakuna cha maana alichowahi kusema? Mwalimu Nyerere ni wa CCM. Muasisi wenu ni Edwin Mtei tafuteni alichosema.

Nyerere ni baba wa taifa sio baba wa ccm
 
Ni kweli wengi hawaipendi CCM na viongozi wake waendelee kutawala Nchi,ila ni ukweli usiopingika kwamba mpaka muda huu 2017 kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2020 hakuna Chama cha upinzani chenye nguvu tena na ushawishi kuweza kuitoa CCM madarakani, CHADEMA ambayo ndiyo chama kikuu cha upinzani imepoteza mwelekeo,ACT wazalendo ndiyo kabisa kila siku wanachama wanakimbia chama,CUF imepasuka vipande viwili,wanaelekea kaburini.....
Kwa mtazamo wangu ni kwamba katika uchaguzi Mkuu wa 2020 upinzani utapoteza asilimia kubwa ya majimbo mengi wanayoongoza sasa,huo ni ukweli usiopingika kabisa.
Ila kama kweli Wapinzani wa Nchi hii wanayo nia ya dhati kabisa ya kutawala,basi hawana budi kuanza kujipanga kuanzia sasa maana kwa jinsi wanavyofanya mambo yao sasa inaonekana kabisa wote wamepoteza mwelekeo na hawana dalili za kupata ushindi katika chaguzi zijazo.
Asante
 
Waambie waache kutumia Risasi, sandarusi, mabomu, polisi, jela/mahakama, zuio mikutano ya kisiasa uone!
 
CCM uwe msomi usiwe..wote wapuuzi...Chadema watachukia vipi dola wakati katiba maudhui ya chama kimoja...unataka kucheza na filimbi ushike wewe(refa mchezaji)
 
Nakubaliana na hoja kuwa Bado sana kwa sababu zisizo za Kisiasa
Kukosekana kwa tume huru ya uchaguzi kunachelewesha uwexo wa CDM kuchukua Nchi
Kutumika kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwa manufaa ya CCM kunakosesha nafasi CDM kuchukua nchi.
Hongera mtoa mada
 
Hata mbowe hushinda uchaguzi wa ndani ya Chama kwa kuwa hakuna tume huru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom