CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

Kama wayahudi walikataa M4C ya Yesu pamoja na evidence lukuki ya Agano la Kale na 'vitus' vyake itakuwa Mbowe na CDM yao. Kweli watu wasiofikiria hawataisha katika dunia hii ya Mola
 
Ukitazama kwa umakini utagundua hili.CCM kuna mgogoro wa kugombea urais nadhani mzee Lowasa mnamwona,endapo akitoswa, chama lazima kiyumbe.Pia Chadema kuna huyu bwana mdogo machachari mhashimiwa Zito kabwe,naye ushawishi wake unajulikana endapo itafanyika mizengwe chadema kusambaratika hakukwepeki.Kwa sasa chama kilichosimama ni Cuf pekee iwapo watasoma huu upepo wataweza kuchukua hatua haraka kuweka mambo sawa ili inchi iwe yakwao..CUF mchakamcha mpaka 2015
 
Aahahahahahaha eti cuf!
Duuuh eti kichwa mbovu! Sijui CUF Ngangari yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
si unajua wapo kama milioni mbili ukifika 2015 so inaweza kuchukua maana hata mara mbili ilikuwa imeshinda sema tu huyu makamu wa kwanza alikubali baada ya kuona anakuwa mzee bila kuingia madarakani ila kwa Tanganyika CUF haipo kabisaaaaaaaaaaaa
 
Acha Ndoto za Alinacha;Wapigakura Laki sita wa Zanzibar ndio waipe CUF Ushindi wa Tanzania!Thubutu.
 
mbavu zangu mie
Nnilikuwa siamini kuwa ku.u huwa nao wanauta ndoto, leo nimeamini
 
hahahahahaha!duh!!nimewah kukutana na vilaza wengi sana humu jf bt kilaza wewe kwakwl niwepekee
 
Ukitazama kwa umakini utagundua hili.CCM kuna mgogoro wa kugombea urais nadhani mzee Lowasa mnamwona,endapo akitoswa, chama lazima kiyumbe.Pia Chadema kuna huyu bwana mdogo machachari mhashimiwa Zito kabwe,naye ushawishi wake unajulikana endapo itafanyika mizengwe chadema kusambaratika hakukwepeki.Kwa sasa chama kilichosimama ni Cuf pekee iwapo watasoma huu upepo wataweza kuchukua hatua haraka kuweka mambo sawa ili inchi iwe yakwao..CUF mchakamcha mpaka 2015

Ama kweli wewe kichwa kibovu
 
Jaman huyu jamaa anaharibu hata thana ya kwamba hapa ni home of great thinkers. Ninahofu na uwezo wake wa kufikir kwan cuf inaweza isiwe hata na mbunge mmoja bara kipindi kijacho labda huko zanz. walikoingia ndoa ya mkeka
 
Shura ya Maimau wanaweza kukupa tuzo ukiwapelekea hili bandiko lako la kisomi!!
 
Nimecheka sana yaani jamaa umeamua kuwatukana CUF uwazi hivi, hao siku hizi hata chaguzi za wabunge wanatoka baluu kuogopa aibu
 
Kwa Zanzibar sina ubishi kwa sababu imeshinda zaidi ya mara mbili lakini JMT futa kabisa wazo futaaa!
 
Wee kweli kichwa kibovu! CUF kuchukua nchi, nchi gani hiyo? hebu kuwa serious kidogo
Ukitazama kwa umakini utagundua hili.CCM kuna mgogoro wa kugombea urais nadhani mzee Lowasa mnamwona,endapo akitoswa, chama lazima kiyumbe.Pia Chadema kuna huyu bwana mdogo machachari mhashimiwa Zito kabwe,naye ushawishi wake unajulikana endapo itafanyika mizengwe chadema kusambaratika hakukwepeki.Kwa sasa chama kilichosimama ni Cuf pekee iwapo watasoma huu upepo wataweza kuchukua hatua haraka kuweka mambo sawa ili inchi iwe yakwao..CUF mchakamcha mpaka 2015
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom