CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipanga mlakuku, Jul 4, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Najaribu kujiuliza hivi viongozi wa CDM wana nini? ona wanavyoyumbishwa kushoto na kulia! cheki wanachama wake hawajui wamwamini nani? chukulia mfano rahisi ni miezi kadhaa tu walikuwa wanamwita Zitto Kabwe msaliti lakini sasa hivi wanamwona shujaa kisa kabwatuka bungeni! kulikoni hawa watu ni vilaza nini? tena nimesikia kuna baadhi yao wameanza kufikiria kumsimamisha zitto 2015 kwenye kinyang'anyiro cha urais.

  Sasa hawa utasema wamejiandaa kushika dola? mmh! sidhani labda nchi igawanywe kimajimbo tutawapa jimbo la kaskazini kule kwenye ngome yao!
   
 2. N

  Nakei Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi nakubaliana na wewe, walikuwa wanasema zitto hafai kanunuliwa, leo hii wanamuona shujaa. Kwa mfano Arusha inawezekanaje madiwani kutoa maamuzi bila kuwashirikisha viongozi wajuu wa CHADEMA, mi nadhani waliwashirikisha lakini wanajifanya hawajashirikishwa. Tusubiri tuone.
   
 3. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Ahsanteni sana tumewasikia haya leteni hoja nyingine
   
 4. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kule arusha Slaa akapoteza ujiko kwa Lema. nakuambia watatoana nyongo hao, tusubiri tu huo mchakato wa kuisindikiza CCM.
   
 5. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sasa mmesikia maneno ya kabwe mbele ya jk? Hivi amenunuliwa au ni ukweli?
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kweli umejipambanua kama ''kilaza'' na nimependa! Uliwahi lini kusikia chama kikisema Zitto msaliti kama sio mbinu za magamba kukivuruga chama? Na pia lini umesikia kuwa chama kina mpango wa kumuweka agombee urais 2015 kama sio mbinu chafu za magamba? Kwa kifupi hoja yako ni ya kimagamba, misimamo ya mashabiki sio msimamo wa chama.
   
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kuna wa kuwatoa nyongo nyie magamba zaidi ya EL? Juzi tu kachangia hoja hotuba ya waziri mkuu chama na serikali vyote vinayumba kila mmoja anaibuka kivyake bila kujipanga! Ina dhihirisha ni jinsi gani EL ni hatari kwenu!
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hayo yote tisa kumi ni kwamba CCM wako tayari na wanajiandaa kuachia nchi Watanzania wamechoka. Wether iwe CDM , CUF au JWTZ maigizo ya CCM yameshawachosha watu.

  Maigizo kila seheumu CCM wenyewe kuna viongozi waheshima wameshasema wazi wazi kuwa Sita hafai lakini ndio huyo Pinda kamuachia kazi ya kukaimu kazi zake bungeni. Hushangai hayo maigizo.

  Mimi binasfi nashangaa maigizo ya CCM lakini nikiangalia ya CCM dah. watu wako kweny power 40 yrs bado hawajui hata maigizo.
   
 9. 2

  2nd edition Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe ni mfanoooooooooooooooo......tena rahisi...sasa we umeshindwa nini hapo kama ni mfano rahisi
   
 10. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  magamba wameshika dola, je ni kitu gani kikubwa unaweza jivunia mpaka unishawishi, waendelee kushika dola milele!? Kama hakuna ni bora unyamaze!
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ila nina swali moja tu. Unaposema walikuwa wanamuona Zitoo msaliti una maanisha uongozi wa Chadema? Wanachama halali wa Chadema? Au watu wanao unga sera za Chadema? Lazima uwe specific kwa maana leo hii mimi nikisema Zitto ni msaliti sidhani kama uta sema "Chadema" wanamuona Zitto msaliti kwa maana mimi siyo kiongozi wala mwanachama wa Chadema.
   
 12. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikifuatilia trends za Chadema, na pia mimi ni pro-Chadema, lakini kwa mambo haya naona Chadema bado tatujawa na mpango mkakati wa kuchukua nchi 2015. Mifano hai michache ni kama ifuatavyo, you can add others.
  1. Network coverage za Chadema haiko consistent, mfano, umeishia wapi ule mpango wa kuanzisha Chadema TV? Tumeambiwa iko mbioni kuanzishwa na kuwa sasa tunaweza kuaccess habari ambazo ziko uploaded kwenye you tube, lakini mpaka leo habari za mwisho ni zile za Igunga. Je tunasubiri zima moto nyingine utakapotokea uchaguzi mdogo mwingine ndo tuende kwenye hiyo link? Kwa hili Chadema needs strategic people who will keep the updates of what is happening in our country, not only during elections. Watu ambao wataenda kwa wananchi kuchukua habari na kuzipost wakati tukisubiri huo mpango wa kuanzisha Tv. Je kama hili dogo limeshindikana, je vipi hiyo TV ikianzishwa, sustainability yake itakuwaje?
  2. Baadhi ya viongozi wa CDM hawako honest. Na hapa namtaja MBOWE, kwa kitendo cha kwenda NMC kuhutubia wananchi na baadaye yeye kutoroka na kuwaacha wenzake akina Slaa na wananchi kusulubiwa na polisi, siyo kitendo cha kujivunia hata kidogo. Umeonyesha mfano mbaya kwa wananchi. Kama huogopi rumande mbona umekimbia? Simamia unachokisema daima mh. Mbowe, unless we wont trust you.
  3. Mengine mtaongezea naishia hapa kwa sasa.
   
 13. M

  Mwansiti Omari Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jingine kukutwa na risasi kwa doctor slaa ambayo bado hatujajua matumizi yake alipokuwa hapo NMC, kupanga maandamano ya mikoa mbalimbali bila kujipanga
   
 14. damper

  damper JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kwa ujumla Cdm wengi ni wanasiasa uchwara na wote wako kwa maslahi binafsi, hakuna mwenye uchungu halisi na nchi hii ni WANAFIKI tu. kama watajaliwa kuchukua nchi hii utaona watakavyo vurugana.
   
 15. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Rage alipopanda na bastola jukwaan matumizi yake yalikuwa nini?
   
 16. M

  Mwansiti Omari Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kujihami na yuko tayari kwa chochote na wakati wowote, so doctor kwa nini alikimbia na kujificha kwenye gari ya matangazo, ss ile ilikua na kazi gani au aliibea tu ya mapambo? awaulize kina rage matumizi ya kupanda nayo jukwaani
   
 17. n

  nasri athumani Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio siri tanzania bado sijaona wanasiasa kkamavu na chama chao. Waswahili wanasema "AKILI NYINGI HUSHINDA MAALIFA"hili limezihika kwaviongozi we2 wanaodai watatuletea mapinduzi zaid kuliko yale ya chama tawala.ukianzia kwa mlema, lipumba imebaki alikua anaweza.ukizngatia yaliofanywa naviongoz wa chadema mpaka kukamatwa kwsabbu zilizoelezwa na msirimkari....yale yale yaliofanywa na lipumba na mlema. Mi naona viongoz we2 waje na (Hoja) na sivinginevyo baadae 2sije kulaumiana kwasababu 2 yaushabiki usiokua na maana.2kashindwa kujua kutatokea nini mbele ye2.
   
 18. t

  tumpale JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nina wasiwasi na uraia wako.
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wote mko sawasawa ila si wote mko sawasawa.
   
 20. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kama umeishiwa kaa kimya,usitulee hoja za kipuuzi hapa?
   
Loading...