Nilisikia huyu mzee kafariki kumbe mizimu yake bado iko hai ...R.I.P Shehe Yahaya!.. kuna watu wanaongea kama Mungu
Sidhan kama kwa iman yako mtu akishafariki kuna haja ya kumuongelea kwa ubaya wa aina yoyote ile aliyetupia hiyo post umemhusishaje na shekhe yahya? aliyefariki?