CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

Hii inanikumbusha wale watu wanaoamka asubuhi na kuanza kutafuta mifuko ya fedha waliyookota ndotoni. Mleta uzi atakuwa alikuwa anaota akadhani ndio hali halisi. Hebu kanawe uso utoe tongotongo zako.

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk.........
Mundali umenipa raha sana
 
kipanga i wish that you could see,like the bird in the tree the prisoners (Tanzanian)must be free!
 
Habari wakuu, Kura yako 2015 inaenda chama gani? Yangu haitaenda CHADEMA 2015,nina sababu nyingi za kutoipigia kura CHADEMA mwakani ila nataja sababu moja tu "CHADEMA hawajajiandaa kushika DOLA"
 
Chini Ya Philip Mangula... la Profeser MWiba wa UPinzani...

Katibu Mkuu alie kipokea chama cha mapinduzi mwaka 1995 katika chaguzi ya kwanza ya vyama vyingi
Mwanzilishi wa kampeni za nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda shuka kwa shuka uvungu kwa uvungu
Mmoja kati wazee wachache wajamaa waliobakia ...
Aliongoza chama cha mapinduzi kwa miaka 10 akikipa ushindi mnene

1995 Ccm ilishinda asilimia 80% ya wabunge MWaka 2000 asilimia 85 % ya ubunge akamamalizia mdaa wake kama katibu mkuu kwa sasa ni MAkamu mwenyekiti wa ccm bara kama ni MPira TUnasema ccm imecheza dabo sentafu kua na makatibu wakuu wawili Kinana mwanajeshi na mangula katibu mkuu msataafu wapinzani MPo hapo
Mkipona 2015 nakula viatu vya konda au ndala za gesti

Kwa sasa amejichimbia china akishirikiana na macomrade wa CPC kuandaa mbinu mpyaa za ushindi 2015 kuna aibu kubwaa inakuja kwa majitu ya chadema na vijibwa vyao
 
Kula ndala ni kitu kidogo sana ni dalili tosha kuwa unajua kabisa kuwa CHADEMA itaendelea kuwepo mwaka 2015 na itaibuka kidedea.Tofauti na hivyo ungesema kuwa CHADEMA ikipona mwaka huo nitajinyonga ili nife kabisa.
 
Kula ndala ni kitu kidogo sana ni dalili tosha kuwa unajua kabisa kuwa CHADEMA itaendelea kuwepo mwaka 2015 na itaibuka kidedea.Tofauti na hivyo ungesema kuwa CHADEMA ikipona mwaka huo nitajinyonga ili nife kabisa.

Mkuu hii "migulubhaja" imeingia hatua ya mental retardation inayoitwa Profound.
 
Na kule arusha Slaa akapoteza ujiko kwa Lema. nakuambia watatoana nyongo hao, tusubiri tu huo mchakato wa kuisindikiza CCM.

Hivi hata wanaume nao wamekuwa kama wanawake na umbea umbea na vicheko vicheko au ndio kazi za lumumba hizo

"Aliyekuwa MGOMBEA Ubunge Jimbo la Bariadi kupitia CCM na kushika nafasi ya pili baada ya Mhe.John Cheyo wa UDP Bwana Martin Makondo, amehamia rasmi CHADEMA na kukabidhiwa Kadi ya Chama na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA Bwana John Heche katika moja ya Mikutano ya hadhara ya Chama inayoendelea huko Wilayani Itilima Mkoani Shinyanga"
 
Acheni umbea someni kama wanawake someni hapa:

Aliyekuwa MGOMBEA Ubunge Jimbo la Bariadi kupitia CCM na kushika nafasi ya pili baada ya Mhe.John Cheyo wa UDP Bwana Martin Makondo, amehamia rasmi CHADEMA na kukabidhiwa Kadi ya Chama na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA Bwana John Heche katika moja ya Mikutano ya hadhara ya Chama inayoendelea huko Wilayani Itilima Mkoani Shinyanga
 
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk.........
Mundali umenipa raha sana

Naona umempa za uso sidhani kama ataendelea na ujinga huu tena, nina hakika ataenda kuwasimulia wenzake huko lumumba
 
Hakuna kitu kibaya kama kuvuta bangi ilihali hauna uhakika wa kula mpaka upange foleni ya buku 7
mleta uzi ni bora angeacha heading only tungejua kakosea kuandika kuliko kuweka contents ambayo imejaa makapi matupu! tujaribu kuficha ujinga wetu!
 
Chama cha chadema ambacho kirefu chake ni Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo! Hakiwezi kuchukua nchi hii hata kikitumia ulaghai wa aina ipi,

Chama iki ambacho mizizi yake ni ulaghai na kuwadanganya wanachi eti kitawakomboa bali ni Taasisi naamini Mungu hawezi kukipa ridhaa ya kuingia Ikuru .

Nakama kweli chadema ni wazalendo mbona hadi mda huu wana ufisadi katika account zao? Chadema ni cham chenye wimbo wenye miruzi mingi na yenye sauti ! ni miruzi isiyo isha visingizio, miruzi ya kubadilika, miruzi ya majigambo na miruzi ya kutuhumu wengine ili iwe mgongo wa kupenya ndani ya uwanja.

Miruzi hii haita kaa ikamtoa ama ikamstua mtu alie nyikani na ikamstua mwindaji ama ika tisha miamba ipasuke kwani ni miruzi ambayo sasa inapasua upeepo na si miruzi inayo pasua miamba na miamba ina baki ikiwa imara pasipo hata kuonyesha nyufa.

CHAGA DEVELOPMENT MANPOWER AGENCY itabaki kuwa Taaasisi .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom