CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

Heri nimpe kura Dovutwa :becky: :becky: :becky:
 
Ndio tatizo lenu Chadema mtu yeyote anayetoa hoja tofauti na mitazomo yenu mtaashia kumtukana na kumwona hamnazo hata kama posti yaki ni strategic na ina logic.Ukitazama hali ya mambo ndani ya chadema kila wenye akili anajua wapi chama kinakoelekea na utashangaa uchaguzi wa 2015 panapojaliwa hatoamini machoni kwenu,ndio huu ni ukweli wenyewe ingawa hampendi kuambiwa.

Mtu ndani jamii forum ataonekana kuwa ni great thinker iwapo tu atapost mada ya kukikweza chadema,na kuwapa matumaini ambayo hayapo kuwa uchaguzi wa 2015 chadema kitachukua nchi.

Nilichogundua humu jamii forum uwezo wa watu kufikiri na kuyatazama mambo kiuhalisia ni mdogo sana,wengi ni bendera fuata upepo,na dalili ya watu wa aina hiyo kwao matusi huyatanguliza mbele badala ya kutaza mambo kwa macho angavu.
 
ukitazama kwa umakini utagundua hili.ccm kuna mgogoro wa kugombea urais nadhani mzee lowasa mnamwona,endapo akitoswa, chama lazima kiyumbe.pia chadema kuna huyu bwana mdogo machachari mhashimiwa zito kabwe,naye ushawishi wake unajulikana endapo itafanyika mizengwe chadema kusambaratika hakukwepeki.kwa sasa chama kilichosimama ni cuf pekee iwapo watasoma huu upepo wataweza kuchukua hatua haraka kuweka mambo sawa ili inchi iwe yakwao..cuf mchakamcha mpaka 2015
cuf walifunga ndoa ya mkeka na ccm,we kweli kichwa mbovu,zitto labda awe rais wa vicoba.
 
CUF nyumba ndogo ya ccm ichukue nchi duh.. Nimeamini sasa kazi imeanza upyaaa,
 
Ndio tatizo lenu Chadema mtu yeyote anayetoa hoja tofauti na mitazomo yenu mtaashia kumtukana na kumwona hamnazo hata kama posti yaki ni strategic na ina logic.Ukitazama hali ya mambo ndani ya chadema kila wenye akili anajua wapi chama kinakoelekea na utashangaa uchaguzi wa 2015 panapojaliwa hatoamini machoni kwenu,ndio huu ni ukweli wenyewe ingawa hampendi kuambiwa.

Mtu ndani jamii forum ataonekana kuwa ni great thinker iwapo tu atapost mada ya kukikweza chadema,na kuwapa matumaini ambayo hayapo kuwa uchaguzi wa 2015 chadema kitachukua nchi.

Nilichogundua humu jamii forum uwezo wa watu kufikiri na kuyatazama mambo kiuhalisia ni mdogo sana,wengi ni bendera fuata upepo,na dalili ya watu wa aina hiyo kwao matusi huyatanguliza mbele badala ya kutaza mambo kwa macho angavu.

Mkuu hiyo Migogoro mbona huku Kitaa hakuna kitu kama hicho? na makamanda wanapiga M4C kama kawaida na makamanda wengine wamejichimbia Moshi kuweka mkikakati? Au huko mtaani kwenu ndo kuna hiyo Migogoro? msipende kukuza vitu ambavyo some time havipo? wale M23 Kwani wako Chadema tena? Masalia walisha ondolewa sasa hiyo Migogoro iko wapi?

mkuu hebu nijuze moja ya Mgogoro unao uona kwa sasa hata jana yenyewe

Hilo CUF nalo nikichekesho, hawa jamaa wako Pemba tu kwa sasa, sasa nchi wanachua vipi?

Ndio tatizo lenu Chadema mtu yeyote anayetoa hoja tofauti na mitazomo yenu mtaashia kumtukana na kumwona hamnazo hata kama posti yaki ni strategic na ina logic.Ukitazama hali ya mambo ndani ya chadema kila wenye akili anajua wapi chama kinakoelekea na utashangaa uchaguzi wa 2015 panapojaliwa hatoamini machoni kwenu,ndio huu ni ukweli wenyewe ingawa hampendi kuambiwa.

Mtu ndani jamii forum ataonekana kuwa ni great thinker iwapo tu atapost mada ya kukikweza chadema,na kuwapa matumaini ambayo hayapo kuwa uchaguzi wa 2015 chadema kitachukua nchi.

Nilichogundua humu jamii forum uwezo wa watu kufikiri na kuyatazama mambo kiuhalisia ni mdogo sana,wengi ni bendera fuata upepo,na dalili ya watu wa aina hiyo kwao matusi huyatanguliza mbele badala ya kutaza mambo kwa macho angavu.

kweli wewe ni dully witted unafikiri kwa kutumia nini? Ccm umeicha wapi kwa kuwa ponda cuf?
 
Ukitazama kwa umakini utagundua hili.CCM kuna mgogoro wa kugombea urais nadhani mzee Lowasa mnamwona,endapo akitoswa, chama lazima kiyumbe.Pia Chadema kuna huyu bwana mdogo machachari mhashimiwa Zito kabwe,naye ushawishi wake unajulikana endapo itafanyika mizengwe chadema kusambaratika hakukwepeki.Kwa sasa chama kilichosimama ni Cuf pekee iwapo watasoma huu upepo wataweza kuchukua hatua haraka kuweka mambo sawa ili inchi iwe yakwao..CUF mchakamcha mpaka 2015
Thanks,UMENICHEKESHA KWELI,nilikuwa sijacheka toka asubuhi,you really made my day.
 
mkuu kichwa mbovu

siasa hauijui ... achana nayo .... utaalam wa kufuga kuku unakutosha kabisa ... rudi tu kwenye ile thread yako ya ufugaji wa kuku kwenye subforum ya ujasiriamali uendelee kutoa utaalam na ushauri husika
 
Last edited by a moderator:
Ukitazama kwa umakini utagundua hili.CCM kuna mgogoro wa kugombea urais nadhani mzee Lowasa mnamwona,endapo akitoswa, chama lazima kiyumbe.Pia Chadema kuna huyu bwana mdogo machachari mhashimiwa Zito kabwe,naye ushawishi wake unajulikana endapo itafanyika mizengwe chadema kusambaratika hakukwepeki.Kwa sasa chama kilichosimama ni Cuf pekee iwapo watasoma huu upepo wataweza kuchukua hatua haraka kuweka mambo sawa ili inchi iwe yakwao..CUF mchakamcha mpaka 2015

Igunga pia walikuwa na matumaini kama hayo, uchaguzi mkuu 2010 walipata kura 11,000 uchaguzi mdogo wakaja na gia ya kuwa wana mtaji wa kura 11,000 baada ya uchaguzi matokeo kura 2,000 kwa hiyo kichwa mbovu hizo ni kauli za kujifariji.
 
Ama kweli ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni! Kweli wewe ni Mbovu kama ilivyo jina lako(Kichwa Mbovu)kinywa huumba uliamua kujiita kichwa mbovu na kweli ukawa hivyo.eti umeona kua Cuf ndio yenye uwezo wa kuchukua dola 2015.ni Mungu aisaidie Cuf,kama hata itafika uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka kesho ikiwa bado ipo kwenye Ndoa sijui ni ya Jinsia moja au ya Mkeka! 2015 hakuna cha Cuf wala Ccm.kazi ni moja tu Chadema ndio Mpango mzima.ndugu jitahidi kwenda na wakati kwa kusoma alama za nyakati.Ni nani aliekulaani wewe? Kama yupo hai kamuombe msamaha na kama amekwisha kufa ukafanyiwe tambiko kaburini kwake ili uache kuota ndoto za mchana na Cuf yako.!
 
Mtazamo wako kichwa kibovu ila hizo ni ndoto za alinacha.
 
Hii ni akili ya kianalogia nafikiri uko zama zingine kabisa
 
Ndio tatizo lenu Chadema mtu yeyote anayetoa hoja tofauti na mitazomo yenu mtaashia kumtukana na kumwona hamnazo hata kama posti yaki ni strategic na ina logic.Ukitazama hali ya mambo ndani ya chadema kila wenye akili anajua wapi chama kinakoelekea na utashangaa uchaguzi wa 2015 panapojaliwa hatoamini machoni kwenu,ndio huu ni ukweli wenyewe ingawa hampendi kuambiwa.

Mtu ndani jamii forum ataonekana kuwa ni great thinker iwapo tu atapost mada ya kukikweza chadema,na kuwapa matumaini ambayo hayapo kuwa uchaguzi wa 2015 chadema kitachukua nchi.

Nilichogundua humu jamii forum uwezo wa watu kufikiri na kuyatazama mambo kiuhalisia ni mdogo sana,wengi ni bendera fuata upepo,na dalili ya watu wa aina hiyo kwao matusi huyatanguliza mbele badala ya kutaza mambo kwa macho angavu.

Rudi shule jomba
 
Hoja zingine hazina mvuto wala punje ya uhalisia.CUF imeshajifia bara itawezaje kuchukua nchi 2015
 
1.Kukosekana umoja kwa vyama vya upinzani.
2.Vyama vya upinzani kukubali kuingia kwenye uchaguzi ilihali hakuna tume huru.
3.Vyama vya upinzani vinazidiwa na chama tawala kwa propaganda.
4.Ubinafsi wa viongozi wa vyama vya upinzani na kutosikiliza maoni ya watu wenye maoni tofauti ndani ya chama.
5.Chembechembe ya udini iliyopandikizwa na chama tawala kwa vyama vikuu vya upinzani imewaingia sana wananchi na hivyo kuwafanya waone bora kubaki na chama tawala kuliko kukichagua chama cha upinzani.
6.Watanzania wengi hasa vijana ambao wengi wao ni rahisi kupokea mabadiliko ni washabiki zaidi kwenye mambo ya siasa lakini si wapigaji kura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom