CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

Emancipate yourself from mental slavery;
none but yourself can free your mind.
Have no fear for the desperate Magamba,
Coz none of them can stop the time....

How long shall they kill our "prospect"
while stand aside and look.......

It's all about time, nothing else! None personal emotions, none attitude, none corwardness, none politics, none any such ***** things but time.
It's time speaking!
Hakuna jipya chini ya jua.
 
Nashukuru mchele umeshuka bei gunia la mpunga 70000
 
hayo mawazo yako ww kipanga mla kuku! kiongozi gani aliyeyumbishwa?mbona chadema imeendelea kupendwa na watu wa rika zote na inazidi kuimarika,hakuna asiyejua nyiyi magamba mnatafuta kila namna ya kuibomoa chadema lakini mmeshindwa.
 
nyie vidamper na wenzio ndio uchwara ,ww kwasababu unashindia chipsi hapa town unasahau kama una ndugu zako kijijini kwenu hawana hata uhakika wa kula mlo mmoja,endelea kupokea posho,ndugu zako wanalala kwenye vitanda vya kamba.
 
chadema ni bado chama kichanga na kwa uwezekano wakuchua nchi bado hadi kijipange kwani bado kinamapungufu mengi.kwanza bado hakijaenea nchi nzima kwahali ni kwamba hajikijitoshelezi kuwaongoza watanzania.
 
Ninaamini mpaka mwaka 2015 itakuwa ni chama pekee kinachoweza kuongaza nchi hii bila ubishi. Kasi wanayokwenda nayo inatia matumaini kwani ndiyo tumaini pekee lililobaki kwa sasa. CCM sio tumaini la wengi kwa sasa, labda kifanye maajabu kuweza kurudisha matumaini ya vijana na wasomi juu yake ama sivyo CCM hakiwezi kurudi tena madarakani.
 
haha,,haaaaaa,angastuka,,,wapima upepo weye,,,,ngoma inogile,,ngondo hiyo,,,weye tomaso......
 
Kipi bora kwako?, Chama kichanga chenye uchungu na maisha ya walala hoi au Chama kizee kilichochoka kuongoza, hakijali maisha ya walalahoi na kinachofisadi kila kitu kinachopita mbele ya macho yao?
 
Acha utoto wewe tanu walipopewa nchi walikuiwa na umri gan?hii si sehemu ya kuandika ujinga unaoufikria baki nao kichwani kwako
 
chadema ni bado chama kichanga na kwa uwezekano wakuchua nchi bado hadi kijipange kwani bado kinamapungufu mengi.kwanza bado hakijaenea nchi nzima kwahali ni kwamba hajikijitoshelezi kuwaongoza watanzania.

mkuu sijaelewa maana ya hayo maneno.2.mkapa aliyasema maneno kama haya kule meru,kilichompata awezi kusahau.
 
Najaribu kujiuliza hivi viongozi wa CDM wana nini? ona wanavyoyumbishwa kushoto na kulia! cheki wanachama wake hawajui wamwamini nani? chukulia mfano rahisi ni miezi kadhaa tu walikuwa wanamwita Zitto Kabwe msaliti lakini sasa hivi wanamwona shujaa kisa kabwatuka bungeni! kulikoni hawa watu ni vilaza nini? tena nimesikia kuna baadhi yao wameanza kufikiria kumsimamisha zitto 2015 kwenye kinyang'anyiro cha urais.

Sasa hawa utasema wamejiandaa kushika dola? mmh! sidhani labda nchi igawanywe kimajimbo tutawapa jimbo la kaskazini kule kwenye ngome yao!
Kweli ccm mme ishiwa sera mumebaki na duwa ambalo halimpati mwewe.mnazeeka vibaya.
 
Ninaamini mpaka mwaka 2015 itakuwa ni chama pekee kinachoweza kuongaza nchi hii bila ubishi. Kasi wanayokwenda nayo inatia matumaini kwani ndiyo tumaini pekee lililobaki kwa sasa. CCM sio tumaini la wengi kwa sasa, labda kifanye maajabu kuweza kurudisha matumaini ya vijana na wasomi juu yake ama sivyo CCM hakiwezi kurudi tena madarakani.
Wala si kufanya maajabu...wakitekeleza tu yale yalioahidiwa kwenye Ilani, CCM bado kitapeta 2015.
 
chadema ni bado chama kichanga na kwa uwezekano wakuchua nchi bado hadi kijipange kwani bado kinamapungufu mengi.kwanza bado hakijaenea nchi nzima kwahali ni kwamba hajikijitoshelezi kuwaongoza watanzania.
Sio bure wewe utakua niwali wa mtu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom