kubenafrank
Member
- Aug 14, 2011
- 82
- 22
This is high time for the magamba to learn that tanzania need liberation from the ccm colonialism.Big up chadema for you have shwown up. Soon in the near future, tanzania will be liberated
Pasco, with all due respect, I do not believe for a minute you are qualified enough to judge who is a great thinker or a 'low thinker'. Your recent contributions in this forum has been for most part full of errors if not mis-leading. You have taken upon yourself a role of political analyst with cheap spinnning tactics. And for you come here and tell people what they can or cannot say is rather disturbing and worse against the fundemental principles of this forum! So, get real and spare us from this phoney prophesy mkakati.
Wanabodi,
Baada ya ushindi wa tsunami huko Arumeru, jee hii ndio dalili ya "the wind of change is sweeping across Tanzania kiasi kwamba 2015 Chadema kuchukua nchi?!.
Nawashauri wale wabunge wa maeneo yenye changanoto ama wajiunge Chadema sasa ili kuyatetea majimbo yao, au wajiandae kuanguka na CCM yao!.
Ushindi huu wa Arumeru anawaweka wanasiasa ambao vuguvugu ambao sio moto wala sio baridi kuchagua upande rasmi au moto wa Chadema au baridi ya CCM!.
Mwaka huu pia kunauwezekano wa kufanyika chaguzi nyingine ndogo 2 kanda hiyo ya Kaskazini hivyo kulikomboa karibu kanda nzima!.
Ushauri kwa Ole Sendeka, Ole Medeye na wabunge wengine wa kanda hiyo, don't wait too long to take sides, after all kwenye politics hakuna permanent friends or permanent enemies, there is only common interest!. The time its now or never!.
Chadema kazi ya grooming makamanda watakaoshika majimbo ianze mapema, this time sio kusubiri CCM tena bali huko huko kwenye majimbo yanayoshikiliwa na CCM, pelekeni makamanda kuanzisha mchaka mchaka wa kuipekeka CCM puta ikose pa kupumulia na pa kutokea just ijifie kwa suffocation!.
Nawasilisha.
Pasco.
NB. Ukumbi wa jf ambao ulikuwa ment kwa ma great thinkers wenye great mind wanao duscuss ideas umegubikwa na low thinkers wenye simple minds ambao kazi yao ni kudiscuss people!.
Ukishasoma thread hii kama hujaona any idea ya kuchangia nakushauri usichangie!. Ukijiona huna na kuchangia kwenye hoja iliyoko mezani au mchango wako unataka kuchangia kumhusu mleta hoja Pasco badala ya kuchangia hoja yake, nakushauri bora jinyamazie tuu, tunataka michango ya great mind to discuss ideas not simple minds ambao kutwa kucha wanajadili watu!.
Pasco.
Huwa mara nyingi nina-discourage watu kufanya crosscarpeting bila kuzingatia itikadi.Labda nimuulize Pasco,ushauri uliowapa hawa jamaa umezingatia ideology? Ni lazima tufanye siasa based on ideologies ili wanasiasa fragile kama akina Lusinde automatically wawe nje ya political landscape.Tukiweza hili tutakuwa tumeleta mageuzi makubwa ya fikra,hakutakua na ideology za matusi na falsafa ya mapanga au marungu unaposhindwa hoja.
CCM kama wanataka ku-ishi itawabidi wafanye demokrasia ya kweli ktk kumteua mgombea wao wa urais..
CCM kama wanataka ku-ishi itawabidi wafanye demokrasia ya kweli ktk kumteua mgombea wao wa urais, pili wata-takiwa kuacha tabia ya kurithishana vyeo.
Pasco bonge la kilaza na kipofu, in short nibbendera fata upepo..
Halafu hana mamlaka yoyote kuhukumu mtu kama ni great thinker au laa!!
In short acha kujikosha, endelea kuosha vinywa vya magamba upate ujira wako..:rockon:
...Ideally hiyo ni njia sahihi, lakini je wataweza kweli kutibu makovu yatakayoletwa na kampeni za kura za maoni za urais?na je wagombea watakaoshindwa na wapenzi wako wataweza kweli kusahau yaliyopita na kumuunga mkono atakayeshinda kuelekea uchaguzi mkuu? hili wanaliweza wenzetu huko Magharibi, kwa nchi zetu hizi hii ni ngumu kweli, hapatatosha...
...Unaweza ku-imagine, let's say Samweli Sitta na Lowassa wawe wagombea wakuu kwenye kura za maoni za urais kama vile Romney anavyopambana sasa na Rick Santorum kwenye Republican Primary, alafu mwisho wa siku eti Samweli Sitta na wafuasi wake wakubali yaishe na kumuunga mkono Lowassa au kinyume chake?? that will never happen...
...Matokeo yake mwisho wa uchaguzi huo, utafuatiwa na kushuhudia wagombea wakuu walioshindwa wakijitoa kwenye chama na kuamua kugombea kupitia vyama vingine au kubaki kwenye chama (kama hawauziki nje ya chama) huku wakimhujumu mgombea aliyeshinda within...
Wanabodi,
Baada ya ushindi wa tsunami huko Arumeru, jee hii ndio dalili ya "the wind of change is sweeping across Tanzania kiasi kwamba 2015 Chadema kuchukua nchi?!.
Nawashauri wale wabunge (wa CCM!!?) wa maeneo yenye changanoto ama wajiunge Chadema sasa ili kuyatetea majimbo yao, au wajiandae kuanguka na CCM yao!.
Pasco.
Wanabodi,
Baada ya ushindi wa tsunami huko Arumeru, jee hii ndio dalili ya "the wind of change is sweeping across Tanzania kiasi kwamba 2015 Chadema kuchukua nchi?!.
Nawashauri wale wabunge wa maeneo yenye changanoto ama wajiunge Chadema sasa ili kuyatetea majimbo yao, au wajiandae kuanguka na CCM yao!.
Ushindi huu wa Arumeru anawaweka wanasiasa ambao vuguvugu ambao sio moto wala sio baridi kuchagua upande rasmi au moto wa Chadema au baridi ya CCM!.
Mwaka huu pia kunauwezekano wa kufanyika chaguzi nyingine ndogo 2 kanda hiyo ya Kaskazini hivyo kulikomboa karibu kanda nzima!.
Ushauri kwa Ole Sendeka, Ole Medeye na wabunge wengine wa kanda hiyo, don't wait too long to take sides, after all kwenye politics hakuna permanent friends or permanent enemies, there is only common interest!. The time its now or never!.
Chadema kazi ya grooming makamanda watakaoshika majimbo ianze mapema, this time sio kusubiri CCM tena bali huko huko kwenye majimbo yanayoshikiliwa na CCM, pelekeni makamanda kuanzisha mchaka mchaka wa kuipekeka CCM puta ikose pa kupumulia na pa kutokea just ijifie kwa suffocation!.
Nawasilisha.
Pasco.
NB. Ukumbi wa jf ambao ulikuwa ment kwa ma great thinkers wenye great mind wanao duscuss ideas umegubikwa na low thinkers wenye simple minds ambao kazi yao ni kudiscuss people!.
Ukishasoma thread hii kama hujaona any idea ya kuchangia nakushauri usichangie!. Ukijiona huna na kuchangia kwenye hoja iliyoko mezani au mchango wako unataka kuchangia kumhusu mleta hoja Pasco badala ya kuchangia hoja yake, nakushauri bora jinyamazie tuu, tunataka michango ya great mind to discuss ideas not simple minds ambao kutwa kucha wanajadili watu!.
Pasco.
Umewasahau wazaramo, wagogo, wakwere na wazigua.
Hata wewe pokea ushauri wako huohuo...kibaraka mkubwa wa CCM...!