Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 224
SABABU ZA CHADEMA KUSHIKA DOLA -2015
na Mwandishi wako:Technician
CHADEMA Ina nafasi ya kushinda uchaguzi 2015, ninayasema
haya baada ya kufanya utafiti wangu
mdogo kuhusu mlolongo wa chaguzi mbalimbali zilizopita
tangu kuanza kwa chaguzi za vyama vyingi hapa Tanzania.
Kinachohitajika hapa ni Msukumo kidogo tu kwenye ELIMU ya
URAIA Na Ushawishi wa kushiriki kupiga Kura.
Mwaka 1995 waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 8,929,969
na waliojitokeza kupiga kura ni watu 6,846,681 sawa na 76.7%
ya watu wote waliojiandikisha.CCM ilishinda kwa kupata kura
4,026,422 sawa na 61.82%.Watu 2,083,288 sawa na 23.3%
Hawakupiga kura.
Mwaka 2000 waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 10,088,484
na waliojitokeza kupiga kura ni watu 8,517,598 sawa na 84.4%.
CCM Ilishinda kwa kura 5,863,201 sawa na 71.74%.Watu 1,570,886
Sawa na 15.6% hawakupiga kura.
Mwaka 2005 waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 16,401,694
na waliojitokeza kupiga kura ni watu 11,875,927 sawa na 72.4%.
CCM Ilishinda kwa kura 9,123,952 sawa na 80.28%.Watu 4,525,767
Sawa na 27.6% Hawakupiga kura.
Mwaka 2010 waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 20,137,303
na waliojitokeza kupiga kura ni watu 8,626,283 sawa na 42.83%.
CCM Ilishinda kwa kura 5,276,827 sawa na 62.8%.Watu 11,511,020
Sawa na 57.17% Hawakupiga kura.
Kimsingi Rais wa Tanzania alichaguliwa na watu 5,276,827
kati ya watu 20,137,303 waliojiandikisha kupiga kura sawa na 26.2%.
Kuna kundi la watu wasiopungua 14,860,476 sawa na 73% ambao
hawakumchagua mgombea wa CCM na ni miongoni mwa waliojiandikisha
kupiga kura,na hawakupiga kura kwasababu mbalimbali.
JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
Jumla ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura jimboni Arumeru mashariki
mwaka 2010 ni zaidi ya 127,000,waliojitokeza walikuwa wananchi 55,698
sawa na 43.86%,Mgombea wa CCM alishinda kwa kupata kura 34,661 sawa
na 62.23% ya waliojitokeza kupiga kura naKuna idadi ya wapiga kura kama
71,302 sawa na 56.14% ambao hawakujitokeza kupiga kura.Mgombea wa
CHADEMA alipata kura 19,123 sawa na 34.33% ya kura za waliojitokeza
kupiga kura.Uamuzi wa nani awakilishe jimbo la Arumeru mashariki uko
kwenye hili kundi la watu 71,302(56.14% ya waliojiandikisha kupiga kura
Arumeru Mashariki).
Wasiliana na mimi kwa:Technician@jamiiforum.com