CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

chelsea hakuwahi kuchukua UEFA champs league lakini jana imetokea.
 
Nguvu ya umma yashinda risasi za rashasha. CCM mnajivunia majeshi na vyombo vya usalama, 2015 ndio mtaiona nguvu ya kura itakavyo wabwaga
Chadema kwa Usomi.Chadema kwa umahiri wao wa kuwafyatua Mafisadi.
Chadema kwa Umahiri Wenu wa kusoma na kupitia sheria zinazo gandamiza wananchi.
Chadema kwa Utajiri wenu wa Maneno ,Bado Hamtashika Dola ya nchi,Chama cha kukitoa CCM madarakani hakipo,na siku kikija kitaundwa na wanachama Kutoka CCM bada ya CCM kumeguka kuunda CCM B,hichi ndicho kitawaongoza Watanzani.

Ndoto za Mchana za chadema kuchukua nchi ni sawa na siku jua libadilike kuwa Mwezi..na Mwezi kuwa Jua.
...ova,
 
Anza kutafuta namna nyingine ya kuishi baada ya 2015. Hii yako ya sasa - na ukitilia maanani kuwa huna knowledge au skills zozote na ukiwa na vyeti vya kukughushi- haitatumika serikali makini ikiwa madarakani. Sioni ajabu wewe na watu wa aina yako kupendelea ccm kubaki madarakani.
 
Ila Zubeda (kwetu tunakuita Zumbenda) hii avatar yako ina maanisha nini?
Au KIBOGA for sale?
avatar53426_6.gif
 
Emancipate yourself from mental slavery;
none but yourself can free your mind.
Have no fear for the desperate Magamba,
Coz none of them can stop the time....

How long shall they kill our "prospect"
while stand aside and look.......
 
chelsea hakuwahi kuchukua UEFA champs league lakini jana imetokea.

Ferguson aliulizwa kama anadhani Manchester United inaweza kumaliza ligi nyuma ya Manchester City akajibu "not in my life time". Na magamba nayo yana matumaini kama hayo ya Ferguson, lakini kama Ferguson nao wasubiri 2015 majibu watayapata.
 
Najaribu kujiuliza hivi viongozi wa CDM wana nini? ona wanavyoyumbishwa kushoto na kulia! cheki wanachama wake hawajui wamwamini nani? chukulia mfano rahisi ni miezi kadhaa tu walikuwa wanamwita Zitto Kabwe msaliti lakini sasa hivi wanamwona shujaa kisa kabwatuka bungeni! kulikoni hawa watu ni vilaza nini? tena nimesikia kuna baadhi yao wameanza kufikiria kumsimamisha zitto 2015 kwenye kinyang'anyiro cha urais.

Sasa hawa utasema wamejiandaa kushika dola? mmh! sidhani labda nchi igawanywe kimajimbo tutawapa jimbo la kaskazini kule kwenye ngome yao!

post yako inafanana na jina lako, hata hivyo sisi sio Kuku! Hatufanani nao kwa mbali sana, you can not compare at all!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom