CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

chadema=nepotism, ufisadi, kukumbatia mabepari, udictator wa viongozi wa juu, (bora hata CCM demokrasia yao ya ndani ni imara zaidi), mipango na ahadi zisizotekelezeka, harufu ya tamaa ya madaraka na kutokubali kushindwa, hatari ya kupandikiza chuki miongoni mwa wananchi, hamna uzoefu, hatari ya ulundikano wa uongozi kwa watu wa kaskazini, uwezo mdogo wa kiitakadi, hatari ya kuwa populist party bila ya msingi wowote wa kimaendeleo,(political fanatics wasiokua na la kufanya zaidi ya kulumbana na kushindana kisiasa huku matatizo ya kimsingi ya kiuchumi yakiwa hayatatuliwi) etc etc watz kuweni makini na hawa wanaojiita wapiganaji huku mioyoni mwao wakitamani nguvu tu ya dola na manufaa yake ya kiuchumi...

Tatizo wote wako kihivyo, waliopo madarakani nao wanafanya hayo hayo na wanaokuja nao watafanya vivyo hivyo.(maoni yangu)
Tatizo lilopo kwa ccm wana madaraka na wanaamini madaraka ni kupokezana hii kitu ndo inayou udhi jamii yote duniani. Watu wanachukia zaidi inapokuwepo na harufu ya kupokezana madaraka kiundugu, ni kitu isiyokubalika ktk jamii yoyote ni chukizo ktk jamii.
Ukiangalia Libya/misri pamoja na mkono wa wakoloni lakini kulikuwa na dalili ya kupokezana vijiti/ ama jamii fulani kuwa ktk post fulani kwa wakati wote, hiyo inaudhi sana.
 
Nimefurahi kwamba El atajifunza kuwa si kila sehemu anakubalika, ni haohao tu wanaomuogopa Bali si Wananchi. Pasco niliwahi sema El hawezi kuwa raisi Kama Wananchi hawatataka. Nahisi nawe umejifunza mengi kutokana Na uchaguzi huu. Naunga mkono hoja ni wakati umefika wa Kwenda Na wakati(fasheni) wanaCCM tujitazame.
 
Chadema kwa Usomi.Chadema kwa umahiri wao wa kuwafyatua Mafisadi.
Chadema kwa Umahiri Wenu wa kusoma na kupitia sheria zinazo gandamiza wananchi.
Chadema kwa Utajiri wenu wa Maneno ,Bado Hamtashika Dola ya nchi,Chama cha kukitoa CCM madarakani hakipo,na siku kikija kitaundwa na wanachama Kutoka CCM bada ya CCM kumeguka kuunda CCM B,hichi ndicho kitawaongoza Watanzani.

Ndoto za Mchana za chadema kuchukua nchi ni sawa na siku jua libadilike kuwa Mwezi..na Mwezi kuwa Jua.
...ova,
 
upo sawa kabisa kwa sababu maamuzi ya watanzania na fikra zao zinaanzia kwenye masaburi yako..clap
 
Naona umetoka kupakatwa na Mzee wa gombe sasa unaandika thread ili kumridhisha sasa kwa ushauri wa sharcode andika thread hizi pia zitauza "mfano kwa nini Slaa anatoka karatu ama kwa nini mbowe ana gari ama kwa nini zito hatoki kaskazini .etc "
 
Waulize akina Keneth Kaunda wa Zambia; Moi wa Kenya na wengineo watakupa majibu ya kukuridhisha!
 
Chadema kwa Usomi.Chadema kwa umahiri wao wa kuwafyatua Mafisadi.
Chadema kwa Umahiri Wenu wa kusoma na kupitia sheria zinazo gandamiza wananchi.
Chadema kwa Utajiri wenu wa Maneno ,Bado Hamtashika Dola ya nchi,Chama cha kukitoa CCM madarakani hakipo,na siku kikija kitaundwa na wanachama Kutoka CCM bada ya CCM kumeguka kuunda CCM B,hichi ndicho kitawaongoza Watanzani.

Ndoto za Mchana za chadema kuchukua nchi ni sawa na siku jua libadilike kuwa Mwezi..na Mwezi kuwa Jua.
...ova,

Mbaramwezi au unaimanisha Mbalamwezi!
 
hayo maajabu yasubiri kwa hamu kwa sababu yatatokea kwa mara ya kwanza 2015 gwanda litakapo tinga ikulu@zubeda michuzi
 
Ni kweli nakumbuka enzi za RTD, ilikuwa ni radio iliyopendwa kuliko zote lakini saizi ukimuuliza mtoto yoyote hajui kama kuna radio kama hiyo.

Hivyo hivyo CCM kilikuwa chama pendwa lakini kitasahaulika kama kulikuwa na chama kama hicho kadri muda unavyosonga!!!!

Ni suala la muda tu lakini soon CCM itang'olewa madarakani.
 
Jikomboe mwenyewe kutoka katika utumwa wa mawazo, hakuna mwingine ila wewe mwenyewe kwa kutafakari unaweza kujikomboa kifikra. Sikilizia tu muziki wa M4C. (Bob Marley)
 
zubeda michuzi!

Unasumbuliwa na ugonjwa gani?
Ama umeanza ku2mika kwa mafisadi?

Pole sana!
 
Ni kweli nakumbuka enzi za RTD, ilikuwa ni radio iliyopendwa kuliko zote lakini saizi ukimuuliza mtoto yoyote hajui kama kuna radio kama hiyo.

Hivyo hivyo CCM kilikuwa chama pendwa lakini kitasahaulika kama kulikuwa na chama kama hicho kadri muda unavyosonga!!!!

Ni suala la muda tu lakini soon CCM itang'olewa madarakani.

Hizi ni ndoto za abunuasi...
 
hata KANU iliamini hivyo lakain leo hii zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom