CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

Hao akina Mdee wakitolewa huko Bungeni basi kisiasa watakuwa wamekufa, maana watashambuliwa kila kona na mashabiki wa CDM, kama kuna mabingwa wa kuchafua watu hapa nchini hamna anawafikia CDM, may be Nape anawafuatia, ila kwa mbali sana. Babu Slaa na ubishi wake wote aliwakimbia CDM, akaona bora akawe meneja wa Supermarket, CDM wana midomo michafu sana, watakupa kila aina ya majina. Haya Mzee Mdee karibu mtaani uje ukinywe kikombe ulichojiandalia mwenyewe.
Nachoipenda CDM hakuna mkubwa kuzidi chama
 
Chadema miayo inatoka unasema hutambui.uchaguzi halafu ruzuku itokanayo na uchaguzi unaitambua na asilimia ya wabunge viti maalumu mgao uliopewa unaitambua !!!aiseee.Tanzania hakuna upinzani asikudanganye mtu
 
Na kura zitaendelea kuibiwa tu kama process ya uchaguzi itaendelea kuwa hii hii

Ni wendawazimu kuendelea kuingia kwenye uchaguzi huku ukijua kabisa mbinu iliyotumika kukuchapa mwaka 1995 itaendelea kutumika tena na tena.

Ofcourse labda lengo kuu liwe sio kushika dola bali kuambulia/kutupiwa viti 20-25 hivi vya ubunge ili Ruzuku iendelee kuja na maisha yasonge

Then acheni siasa mkafanye biashara
Nyie aliewambia uchaguzi wa Afrika ni wa kwenye makaratasi ni nani?

Ndio maana mabosi wenu wote wako Ulaya
 
Nyie aliewambia uchaguzi wa Afrika ni wa kwenye makaratasi ni nani?
Unataka kusemaje Chief? Kwamba kuingia kwenye uchaguzi TZ kwa mifumo ya sasa ni kupoteza muda?

Swali ni je, wapinzani hawalijui hili au wanajua vizuri ila wanaingia tu ili angalau waambulie ruzuku kidogo?
 
Unataka kusemaje Chief? Kwamba kuingia kwenye uchaguzi TZ kwa mifumo ya sasa ni kupoteza muda?

Swali ni je, wapinzani hawalijui hili au wanajua vizuri ila wanaigia tu ili angalau waambulie ruzuku kidogo?

Yes ni ruzuku tu ila wanajua fika hawawezi kushika dola never
 
Back
Top Bottom