Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,021
- 132,763
- Thread starter
-
- #321
wakuu heshima kwenu.
Nadhani kuna umuhimu wa kuwa na tathimini ya kweli bila kufarijiana kitoto juu ya kushindwa kwa upinzani katika uchaguzi huu ndipo kunaweza leta mabadiliko kidogo, vinginevyo itakuwa ni kufurahishana tu janvini.
Ukweli ni kuwa Mzee Malecela alisema...ndege hazishindi vita bali askari wa nchi kavu ndio huteka na kushinda vita, wakampuuza wapinzani, sasa kipigo kimewashukia kila mtu anakuja na sababu yake.
Mara zote ndugu zangu wapinzani wanasahau kuwa kuna mkakati muhimu baada ya kufunga kampeni saa kumi na mbili jioni siku ya mwisho wa kampeni. Hapo ndipo upinzani hupigwa mabao yote.
Ukiona CCM imeshindwa mahali ujue anayeongoza kampeni hizo aliiga kampeni za upinzani za kupiga kelele na kama mwandishi wa barua kwa yeyote anayehusika badala ya kuandika specific address.
Ushauriç imedhihirisha ni ngumu mno kwa upinzani kushinda kwa s
Jamani mlioko Geita, tupeni update. Nimevuka Masha Busisi, akazungukwa na wanaMwanza kwa maswali mbali mbali, kwanza nilianza kwa kumpongeza kwa ushindi na sio siri alitamba na the right strategy iliyowapa ushindi.
Kumbe Masha ni mabest na Zitto wote vijana wanaelewana sana.
Pia Masha ameoa nyumba moja na Freeman Mbowe hivyo kelele zote za kampeni ni jukwaani tuu.
Baba yake Masha, Dr. Fortunatus ndio makamu mwenyekiti wa UDP. Hii inamuweka katika position ya rafiki wa wote, mtu wa watu na akiachana na madudu, yuko position fresh sana kwa 2010.
Amewabeza Chadema, kushinda uchaguzi sio kelele za jukwaani na nyimbo za ufisadi, nimeshachusha, wala sio helikopter inayovuta umati wa wasio wapiga kura. Ushindi ni strategies
And he is strategist.
Pasco,Jamani mlioko Geita, tupeni update. Nimevuka Masha Busisi, akazungukwa na wanaMwanza kwa maswali mbali mbali, kwanza nilianza kwa kumpongeza kwa ushindi na sio siri alitamba na the right strategy iliyowapa ushindi.
Kumbe Masha ni mabest na Zitto wote vijana wanaelewana sana.
Pia Masha ameoa nyumba moja na Freeman Mbowe hivyo kelele zote za kampeni ni jukwaani tuu.
Baba yake Masha, Dr. Fortunatus ndio makamu mwenyekiti wa UDP. Hii inamuweka katika position ya rafiki wa wote, mtu wa watu na akiachana na madudu, yuko position fresh sana kwa 2010.
Amewabeza Chadema, kushinda uchaguzi sio kelele za jukwaani na nyimbo za ufisadi, nimeshachusha, wala sio helikopter inayovuta umati wa wasio wapiga kura. Ushindi ni strategies
And he is strategist.
Kwa maneno yako unakiri kwamba wafuasi wa CHADEMA waliozuiwa kwenda kuinga mkono CUF Mbeya Vijijini walikuwa ni wengi kuliko wafuasi wa CUF yenyewe wliopiga kura. Na kwa kuweka wazi hilo, basi nadhani tangu mwanzo kabla ya kuenguliwa kwa CHADEMA, CUF ndio walistahili kuiachia CHADEMA. Mch. Lackson Mwanjali wa CCM alipata kura 32,867 sawa na asilimia 73.27; Daud Mponzi wa CUF kura 10,578 swa na asilimia 23.57; Subi Mwakapiki wa SAU kura 496 sawa na asilimia 1.10; kura 914 sawa na asilimia 2.04 ziliharibika. Tofauti ya kura kati ya CCM na CUF ni 32867-10578=22289. Kwa hiyo CUF (yenye kura 10578) ilikuwa inahitaji msaada kutoka CHADEMA wa at least kura 22290 ili kuishinda CCM !! Sasa wewe ukiona una wafuasi wachache, kwa nini usimuachie mwenye wafuasi wengi? Mbona upepo wa kuungwa mkono huwa unaonekana mapema tu?...
Chadema inaelekea hawataki ushirikiano wa kuachiana majimbo na wenzao. Wao waliachiwa na CUF kule Kiteto na Tarime, ila wao Chadema wakagoma kuiachia CUF Mbeya vijijini na hata baada ya mgombea wao kuenguliwa wakawataka wafuasi wao wasiende kupiga kura. Wakaona afadhali jimbo lirudi CCM kuliko kwenda CUF, na ikawa hivyo.
Katika uchaguzi huo watu 133,000 walijiandikishwa kwa ajili ya kushiriki uchaguzi huo huku idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ni 52,720.
......
hizi takwimu zinatuambia nini jamani? kwanini zaidi ya nusu ya waliojiandikisha hawakupiga kura? kulikoni?
samahani wakuu,imeingiliwa kidogo na kafisadi.
Ushauri wangu...imedhihirisha kuwa ni ngumu mno kwa wapinzani kushinda, ninashauri kwa wale wanoamini katika CCM ya Julius kuungana pamoja kupambana kuleta mabadiliko ya CCM tuitakayo badala ya kubaki na upinzani ambao nao umepoteza matumaini kabisa.
Wapo watakaodhani nataka chama kimoja,la hasha na wala sitamani kabisa kwani mie naamini uimara wa CCM unategemea sana pia uimara wa upinzani. Lakini kwakuwa CCM ndio chama kilicho madarakani na kwa muda mrefu ujao kitatawala, ni bora kurekebisha mapungufu humu kuliko kuhangaika woooooteeee na dead cases...ndio wengine wabaki upinzani wasaidie kuikosoa C
hizi takwimu zinatuambia nini jamani? kwanini zaidi ya nusu ya waliojiandikisha hawakupiga kura? kulikoni?
Mkuu WOShizi takwimu zinatuambia nini jamani? kwanini zaidi ya nusu ya waliojiandikisha hawakupiga kura? kulikoni?
hakukuwa na kila dalili za ccm kushindwa waandishi wa habari waliopewa fedha waliipigia debe chadema kwa kudhani wananchi wataamini propaganda hizo wana jf huko ni kujidanganya.its a wishful thinking kudhani ccm itashindwa.ccm inamtandao nchi nzima kila kijiji kuna tawi na wanachama wanaoeleweka.ina jumuiya zake hai.wakati vyma vya upinzani hujitokeza wakati wa uchaguzi tuu na kupiga kampeni kutumia udhaifu mdogomdogo wa ccm.wakishangiliwa na vijana wa vijiweni ambao hupewa sh mia tano au elfu wao wakidhani wanao wanachama heeeeeeee nasi wana jf tunashupalia na kufanya tathmini kwa kutumia porojo za magazet.waheshimiwa siasa sio lelemama.upinzani ungetuliza akili kujipanua kimawazo na kufanya tathmini sahihi ya jinsi ya kujipanuakwa chadema bado hawajajifunza fedha na kukodi helikopta zingetumia kueneza matawi huko vijijini.nadhani wakajifunze kwa mrema aliyekuwa akisukumwa kwa gari baadaye akajikuta yuko pekee yake.hongera ccm utadumu kwa kipindi cha miaka kumi na moja ijayonnauye jr, naomba ufafanue ni kitu gani ambacho ccm huwa wanafanya baada ya saa 12 jioni ambacho huwapiga bao wapinzani? Katika kampeni za busanda kulikuwa na kila dalili kwamba ccm walikuwa wanashindwa na hata kuwaita watu mbali mbali ili kwenga kuongeza nguvu katika kampeni ikiwamo malecela na mama kilango na pamoja na kuwepo kwao lakini bado kampeni za ccm zilikuwa haziendi vizuri. Je, hiyo baada ya saa 12 ccm hugawa pesa kwa wapiga kura nyumba hadi nyumba au hufanya kipi hasa? Haiwezekani katika kampeni ambazo chadema ilikuwa inaelekea kufanya vizuri ghafla tu baada ya 12 jioni siku ya mwisho ya kampeni, ccm waanze kufanya vizuri. Naomba ufafanuzi tafadhali. Ahsante.
We got results from our own tally since midnight and confirmed that we have lost the Busanda election. It was a tough battle which we poised to win. I have called Mkuchika to congratulate him for the victory.
CHADEMA has increased its share of votes from 4% to 44%. To us the people have spoken though we will not seat an MP in Dodoma for Busanda. The votes give us courage to go to Biharamulo strengthened and with high spirit. There are minor mistakes we shall correct, internal and external.
Thanks all for your support. Vijana wamepigana sana. Ni bahati mbaya tu tumeshindwa.
We have a country to run. Tutakutana Biharamulo
Zitto

Mkuu WOS
tutasikia habari za kuhuzunisha zaidi kwamba inawezekana wasiopiga kura walizuiwa au ndo wale waliouza shahada zao kwa kilo chache za sukari, khanga na kadhalika.
tusubiri yanayojiri huko sasa.