CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

samahani wakuu,imeingiliwa kidogo na kafisadi.
Ushauri wangu...imedhihirisha kuwa ni ngumu mno kwa wapinzani kushinda, ninashauri kwa wale wanoamini katika CCM ya Julius kuungana pamoja kupambana kuleta mabadiliko ya CCM tuitakayo badala ya kubaki na upinzani ambao nao umepoteza matumaini kabisa.
Wapo watakaodhani nataka chama kimoja,la hasha na wala sitamani kabisa kwani mie naamini uimara wa CCM unategemea sana pia uimara wa upinzani. Lakini kwakuwa CCM ndio chama kilicho madarakani na kwa muda mrefu ujao kitatawala, ni bora kurekebisha mapungufu humu kuliko kuhangaika woooooteeee na dead cases...ndio wengine wabaki upinzani wasaidie kuikosoa C
 
Ok fine enough..Sasa mkuu ungekuja na break-down ya jinsi gani hizo siasa zenu zitaleta vipi maendeleo. Haya tupe ilmu maana tumeshachoshwa kuishi ktk ulimwengu wa dhana na kusadikika.
 
Alnadaby hawa polisi lengo kama ilikuwa ni kuleta amani Busanda!!!! But lengo kuu na la kupangwa ni kuwa polisi hao na wengine toka sehemu .... walikuwa ni miongoni mwa wapiga kura wa Busanda!!! Zile shahada zilizokusanywa kabla ya uchaguzi zilitumika zote jana!!!! Sasa 2010 ndiyo inakuja, wanajeshi na polisi wanaanza kuandaliwa sasa, likizo za dharura kwa askari jeshi/polisi ziko nyingi siku chache kabla ya uchaguzi na wanarudi vituo vya kazi mara baada ya uchaguzi, na wengine wanatumwa zile sehemu ambazo kuna stiff competition ili wakadhibiti!!! SSSSSMMMMMM tu wajanja mno!!!

Hatutegemei mabadiliko yoyote kiutendaji wa serikali hii kwa wabunge wote walioshinda (huko Zanzibar na Busanda), hakuna kitu hapo.

Kama hayo unayoya sema niukweli wa chama chako nakupa pole sana. Ni sawa na mtu aliyezoea kuiba siku akikosa cha kuiba anaamua kuficha kitu chake mwenyewe na kukinyemelea ili akiibe...... Na kariri maneno yako basi shida wanazo create kutokana na hii tabia ya wizi zinawapata hata wao maana fikiria siku ambapo hawatakuwepo madarakani na wengine katika chama hicho hicho wakaendeleza tabia yao hiyhiyo nani ataathirika zaidi? Ni wale waliozoea hayo mazingira au wale wanao ingia kwenye mazingira ambayo hawaja ya zoea? No wonder prof Watts came with his findings about our Ideology I guess most likely we have problems in our IQs. Labda malnutrition imetuaffect na effects zake huwa evident ukubwani.

Naomba ni toe experience yangu. Siku moja nilipewa lifti kwenye gari la vigogo fulani sasa humo ndani kulikuwa na kigogo mmoja aliye staafu jast few days a go kwa wakati huo nae alikuwa analalamikia ukiritimba uliokuwepo hazina na jinsi anavyohanagaika na mafao yake; sasa bila kutegemea kwamba ningeweza kumuuliza hilo swali nilimwambia kwani wewe si ulikuwa so and so huko huko? Akasema ndiyo nikamwambia sasa unalalamikia iresponsibility yako ya wakati huo kwenye kuweka system isiyokuwa na ukiritimba au unalaumu hao wanaotekeleza yale wewe uliyoyaweka wakati huo? I could feel how he was regreting and yet it was too late to influence the situation to suit his desires at that particular time. The problem with us is we think of today and we dont plan for tomorrow and therefore live uncertain life...maisha ya kubahatisha yanayo sababisha watu kuwa more opportunistic kuliko kuwa creative.
 
Nimesoma maandiko mengi ya vyama karibu vyote, hakika narudia hakika sijaona chama bora kuliko CCM ´´kitabuni´´
Yapo mapungufu kwa watu nao ni wachache wanaotekeleza kilichoandikwa, wachache hao wamekuwa wanafiki ndio maana Malecela mwaka 2005 akasema wabaya watu sio CCM
Hivyo wito wangu mapungufu ya wachache kisibebeshwe chama kizima,Busanda wametuonyesha njia wamekataa. Wanajua mafisadi katika chama cha watu zaidi ya 5millioni mafisadi hawazidi kumi haifai kukihukumu chama kizima.. Mafisadi wenyewe wanafahamika kwa majina.
 
Kwa jinsi tunavyojadili hapa ni kama vile kusema CCM haina mpinzani na itakuwa ni mshindi daima dumu lakini cha kujiuliza ni kilitokea nini kule Tarime Mara wakati wa uchaguzi wa kumrithi marehemu Chacha Wangwe? Mbona walishindwa!! Kuna tofauti gani kati ya wakazi wa Tarime Mara na hawa wa Busanda? nini Chadema imekosea katika uchaguzi wa Busanda?? au ile ya Mara ilikuwa Bahati Nasibu?
 
Nimesoma maandiko mengi ya vyama karibu vyote, hakika narudia hakika sijaona chama bora kuliko CCM ´´kitabuni´´
Yapo mapungufu kwa watu nao ni wachache wanaotekeleza kilichoandikwa, wachache hao wamekuwa wanafiki ndio maana Malecela mwaka 2005 akasema wabaya watu sio CCM
Hivyo wito wangu mapungufu ya wachache kisibebeshwe chama kizima,Busanda wametuonyesha njia wamekataa. Wanajua mafisadi katika chama cha watu zaidi ya 5millioni mafisadi hawazidi kumi haifai kukihukumu chama kizima.. Mafisadi wenyewe wanafahamika kwa majina.

Wewe ni Nnauye yupi kwanza au ndio yule yule kada aliyekatalika kwao (CCM)isije kuwa yaleyale, au ndio unajisafisha kaka kabla HUJAFULIA. Watanzania sasa tunataka PERFOMANCE na sio REHERSAL na hadithi chungu nzima hapa wakati tunakufa njaa. ALAAAAH!
 
wakuu heshima kwenu.
Nadhani kuna umuhimu wa kuwa na tathimini ya kweli bila kufarijiana kitoto juu ya kushindwa kwa upinzani katika uchaguzi huu ndipo kunaweza leta mabadiliko kidogo, vinginevyo itakuwa ni kufurahishana tu janvini.
Ukweli ni kuwa Mzee Malecela alisema...ndege hazishindi vita bali askari wa nchi kavu ndio huteka na kushinda vita, wakampuuza wapinzani, sasa kipigo kimewashukia kila mtu anakuja na sababu yake.
Mara zote ndugu zangu wapinzani wanasahau kuwa kuna mkakati muhimu baada ya kufunga kampeni saa kumi na mbili jioni siku ya mwisho wa kampeni. Hapo ndipo upinzani hupigwa mabao yote.
Ukiona CCM imeshindwa mahali ujue anayeongoza kampeni hizo aliiga kampeni za upinzani za kupiga kelele na kama mwandishi wa barua kwa yeyote anayehusika badala ya kuandika specific address.
Ushauriç imedhihirisha ni ngumu mno kwa upinzani kushinda kwa s
 
Nadhani hujakosea sana. Ni huyohuyo Nape Nnauye lakini hilo la kukatalika kwetu,mtu mzima haambiwi kasema uongo bali kateleza,so nadhani umeteleza lakini ni Nape huyohuyo.
 
wakuu hapa si swala la nadharia bali najaribu kutoa changamoto kwa jinsi ninavyoyaona mambo haya. Mtu asome Sera,Ilani ya vyama vyetu vyote,nawahakikishia sijaona bora kuliko CCM, tatizo ni watekelezaji wa mipango hiyo, ndo mara nyingi hutusaliti japo nao sio wote.
Usaliti wao kwa makubaliano na dhamana tuliyowapa ndio msingi wa malalamiko yote haya, ndo maana naamini yakifanyka mabadiliko katika utendaji,mambo si mabaya kiasi hicho.
 
Pamoja na kuwapongeza CCM kwa ushindi - Tsunami, Chadema nao wanastahili pongezi kubwa walau mara hii wamejaza fomu vizuri na kufuata taratibu za viapo sawa sawa.

Kudos Chadema mwanzo mzuri see u in Biharamulo
 
Mkuu Nauye Jr kwanza hongereni.
Pili naomba kutofautiana na wewe inapokuja kwenye kufanya hiyo tahmini ya ukweli. Kwanza cha muhimu ukiangalia mgawanyiko wa kura na kuangalia sababu za migawanyiko hiyo na ukasema mambo eti sijui ya askari wa angani na nchi kavu hizo ni just politics. Ukweli ni kwamba watu waligawanyika kutokana na uelewa wao kuhusiana na jinsi mambo yanavyoendelea jimboni na hata nchi nzima kwa ujumla,kwa kifupi ni ufisadi ndio umepelekea maelfu ya wananchi hao wengine kukipigia chama cha upinzani kura,huo ndio ukweli.

Huko ccm ilikoshinda ndipo walipo wananchi wengi wajinga,sio siri ndio ukweli wenyewe.....Na ushauri wangu kwako wewe kama mwana ccm mwenye ushawishi ndani ya chama na vikao muhimu,chonde chonde hizo nguzo za umeme mlizozimwaga mfanye kweli la sivyo 2010 tunaweza kusema mengine,ndio mmeshinda lakini kama una mapenzi ya kweli na wananchi hao wajinga wenye kuhitaji msaada basi utaweka siasa pembeni,na sasa tunataka tusikie kuhusu hizo nguzo nk. Sasa hao wananchi wasiokuwa na uememe toka tupate uhuru hadi sasa wamewapigia kura,kuna waliopata akili ambao watawabana kama msipotimiza ahadi ambazo kwa miaka zaidi ya 40 mmeshindwa kuzitimiza...Nilishasema hapo awali kuwa uongozi wa Tanzania unahitaji huruma kwani wananchi walio wengi ni wajinga,ujinga ulioachwa toka enzi na enzi,toka mkoloni alipokuwa akitawala,afadhali hata mkoloni alikuwa akiwalisha ili waweze kujenga reli nk,nyie mnawalisha siasa tu na wao wanaridhika. Utumishi wa umma kwa nchi kama Tanzania ni kazi a kujitolea na kamwe si ya kujinufaisha,waafrika kwa ujumla hatuwezi kuendelea kama tusipoyaona mambo kama hayo.
Once again hongereni na tuendelee na mjadala...
 
Pamoja na kuwapongeza CCM kwa ushindi - Tsunami, Chadema nao wanastahili pongezi kubwa walau mara hii wamejaza fomu vizuri na kufuata taratibu za viapo sawa sawa.

Kudos Chadema mwanzo mzuri see u in Biharamulo

Wewe mzee kijana huwa unanifurahisha na maandishi yako. Nimecheka niliposoma ulichoandika hapo juu! Acha kuudhi watu mkuu.
 
Nadhani hujakosea sana. Ni huyohuyo Nape Nnauye lakini hilo la kukatalika kwetu,mtu mzima haambiwi kasema uongo bali kateleza,so nadhani umeteleza lakini ni Nape huyohuyo.

Comrade hapo nilipo-highlight nilikuwa namkumbuka Mzee Makamba kipindi kile anakutunishia msuli kwa sapoti ya mafisadi. Vinginevyo tupo pamoja Comrade kabisa kwenye kuupinga ufisadi na kukisafisha chama tawala (mie sio miongoni mwa wanachama) ila kwa kuwa ndio kimeshika hatamu hatuna budi kukisafisha ili kituletee maendeleo na sio porojo na mboyoyo zisizo na matokeo chanya kwa Mtanzania kama mimi ninayeishi Tandahimba, Kifuru, Mloka, Kilindi n.k
 
wakuu hapa si swala la nadharia bali najaribu kutoa changamoto kwa jinsi ninavyoyaona mambo haya. Mtu asome Sera,Ilani ya vyama vyetu vyote,nawahakikishia sijaona bora kuliko CCM, tatizo ni watekelezaji wa mipango hiyo, ndo mara nyingi hutusaliti japo nao sio wote.
Usaliti wao kwa makubaliano na dhamana tuliyowapa ndio msingi wa malalamiko yote haya, ndo maana naamini yakifanyka mabadiliko katika utendaji,mambo si mabaya kiasi hicho.

Utafanya vipi mabadiliko katika utendaji na wakati wasaliti hao bado ndio watendaji?
 
Wewe mzee kijana huwa unanifurahisha na maandishi yako. Nimecheka niliposoma ulichoandika hapo juu! Acha kuudhi watu mkuu.

Mkuu,

Myonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni..... kwa hili Chadema wamejitahidi kutoka yale madudu walio yafanya kule Mbeya Vijijini. These guys are quick learners, na kwa mwendo huu 2050 watatia maguu pale magogoni...
 
Duh! Chadema chali! Lakini angalau mmeongeza idadi ya wanaowaunga mkono.

A good business/political strategist would first keep her customers (not let her competitor walk away with the customers); and then increase her customer base(find new ones).

Ila kama fikra za wabongo ndio hizi za kuchagua CCM hii iliyochoka, hakika Tanzania isingepata uhuru kama wapigania uhuru wetu wangekuwa wanarubuniwa kirahisi namna hii.
 
Kama Busanda ingeshinda Chadema ingelikuwa ni mara ya kwanza jimbo lolote la uchaguzi katika mkoa wa Mwanza kuangukia upande wa upinzani.Kama Watanzania wengi tulivyo na tunavyoamini CCM ndiyo baba na mama yetu.

Ni sehemu chache sana ambazo zinaweza zikachagua chama cha upinzani kwa hoja yoyote ile.CCM ni kama imani ya kidini inavyojengeka kwa muumini si rahisi kuiacha bila mbadala unaoridhisha.

Hakuna wa kulaumu kuhusu hali hii ila Mwalimu Nyerere.Alitutawala kifikra na kulifanya taifa kufuata sera za kijamaa zilizodumaza akili za watu.Alipokubali mfumo wa vyama vingi angejiondoa CCM na kuwa Baba wa Taifa wa kweli wa Tanzania,hali isingekuwa kama ilivyo sasa.Kasumba ya mwalimu haijaondoka na haitaondoka hivi karibuni.

Vyama vyetu vya upinzani vina sera nzuri na vina viongozi shupavu,lakini matatizo ya Watanzania ni makubwa mno kuliko tunavyoweza kudhani.Hatujaanza kuondokana na kasumba ya Nyerere na kwa ujumla umma wetu bado kabisa unaishi katika fikra za enzi za Mwalimu kukiwa na mabadilko kidogo sana.Tuna kazi kubwa sana ya kuubadili mfumo uliopo lakini akili zetu bado bado hazijakaa sawa.

Kuna mmoja wetu alilaumu kwamba Wasukuma wana matatizo ya kutoelewa na katoa mifano kadhaa lakini amejisahau kuwa si Wasukuma pekee.Ukiangalia idadi ya viti vya wabuge wa upinzani nchi nzima utaweza kung'amua kuwa akili za Watanzania hazijawa tayari.Tunahitaji mageuzi ya akili za watu kuziondoa kwenye upumbavu wa kulelewa na mawazo ya Mwalimu na kupigania katiba mpya,demokrasia ya kweli na haki za kiraia.Bado safari ni ndefu ndugu zangu.

Iwapo hamtaki kubadilka basi CCM itaendelea kutawala hadi mwisho wa karne.

Hivi mkuu Makalangilo ulitegemea Mwalimu Nyerere angependa Chama gani kishinde kama si Chama alichokiasisi CCM? Basi baba wa Taifa ni bonge la mtaalam na watu wa CCM waendelee kumpongeza, na Makalangilo aendelee kumlaumu Mwalimu kwa kufanya kazi yake vizuri ya kuhakikisha kuwa chama chake CCM kinaendelea kuchaguliwa. Si ndio wajibu wa kila mtu kujitahidi chama chake kishinde?

Of course asingependa mengi yanayofanywa na viongozi wa Serikali na CCM, kama kuwalinda mafisadi etc.

Mimi nadhani matatizo ni haya:
1. Upinzani bado kujipenyeza vijijini huko ndani kabisa. Huko kuna watu wanaitwa wajumbe (wale wa nyumba kumi) bado wapo hao, na wote ni CCM. So far upinzani haujajipenyeza kihivyo.

2. Upinzani wawaeleze wananchi, hasa wa vijijini kitu watachowafanyia pale wakichaguliwa, zaidi ya kusema tu pale CCM waliposhindwa.

3. Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawakala wa vyama vya upinzani huwa wanapewa shinikizo la kupewa pesa ili kukubali matokeo ya kura yageuzwe kwenye baadhi ya vituo. Sijui hii ni kweli?.... Wadau mna info kuhusu hili?

4. Kwenye Uchaguzi uliopita wa Marekani, watu wa kujitolea (volunteers) walikuwa wakipita nyumba hadi nyumba kuulizia kama watu wamejiandikisha kupiga kura na kuwahamasisha kupiga kura kwa wagombea wao. Tz je? hakuna hiyo. Wanasubiri watu wawafuate viongozi kwenye mikutano ya hadhara.

Kusema labda Mwalimu angejitoa CCM siyo issue hapa. Hapa watu waangalie the way forward.

CCM haitaki katiba mpya,na as long as wao ni majority Bungeni hakuna Katiba mpya.

Chadema inaelekea hawataki ushirikiano wa kuachiana majimbo na wenzao. Wao waliachiwa na CUF kule Kiteto na Tarime, ila wao Chadema wakagoma kuiachia CUF Mbeya vijijini na hata baada ya mgombea wao kuenguliwa wakawataka wafuasi wao wasiende kupiga kura. Wakaona afadhali jimbo lirudi CCM kuliko kwenda CUf, na ikawa hivyo.
 
Tulikuwa hapa miaka yote mtakubaliana na mimi kwamba siku zote nimekuwa nikisema kwamba upinzani hawana strategy ya kushinda. Ukweli ni kwamba MBOE is the part of problem kwa Chadema. Nilishamwambia hata Zitto swala hili.

Kuna kipindi nilisema Chadema hujui nani msemaji mkuu na mwanachama sababu wote sawa. Leo nasema kwamba huwezi kushinda uchaguzi bila strategic plan moja, mbili UFISADI agenda is not enough kukupa ushindi. You need a way forward stratigic plan.

Kingine ku allocate resources ni kitu ambacho upinzani hawakiju kabisa, huwezi kuchoma million za shilling on something ambacho huwezi kushinda. Mwisho Operation Sangara is failure, Zitto and Slaa you need to reorganize then ajilini Political analyst ambae ni indepent thinker. I can help on that for pro bono.
 
Nimesoma maandiko mengi ya vyama karibu vyote, hakika narudia hakika sijaona chama bora kuliko CCM ´´kitabuni´´
Yapo mapungufu kwa watu nao ni wachache wanaotekeleza kilichoandikwa, wachache hao wamekuwa wanafiki ndio maana Malecela mwaka 2005 akasema wabaya watu sio CCM
Hivyo wito wangu mapungufu ya wachache kisibebeshwe chama kizima,Busanda wametuonyesha njia wamekataa. Wanajua mafisadi katika chama cha watu zaidi ya 5millioni mafisadi hawazidi kumi haifai kukihukumu chama kizima.. Mafisadi wenyewe wanafahamika kwa majina.

Hizo siasa mbofu mbofu hazitusaidi chap!

Hata wewe binafsi hazikusaidii; take my words ten years down the road come with those very arguments u will feel ashamed. Hakuna chama bila watu ila kunawezekana kuwepo watu bila chama okay? Sera za vitabuni ni kama ardhi iliyoko mass ambayo bila ugunduzi wa ki science haina manufaa kwa wakazi wa earth kwa wakati huu mpaka technology ya matumizi yake itakapo gundundulika. Kama ukisoma kitabu cha chama na bado haki reflect uhalisi wa mambo ni physical basi ujue hao wanao advocate hayo maneno either hawajui wanachokisema ama wana furahia maneno yao wasiyoweza kuweka katika vitendo sawa sawa na uwezo wetu wa watu wa earth kwakujua kuna sayari inayoitwa mass yenye nafasi lakini hatuwezi kupeleka watu wetu wakaishi huko tukaondokana na tatizo la population hapa duniani. Sasa mpendwa baada ya kusoma na kuielewa kwa miaka yako uliyoishi duniani umepunguza matatizo ya Tanzania kwa asilimia ngapi in general bila kuwa specific tukizingatia kigezo cha bara tu la Africa tulipo bila kwenda sehemu nyingine ya dunia? Rural population how much %; Un employment how % people who are able to eat three times in a day regardless of quality how much %. So kujivunia uzuri wa sauti bila kutumia hiyo sauti kuburudisha wasikilizaji ni kazi ya ABUNUWASI.

Mafisadi ni wale wote wanaosaidia kuendeleza shida za watanzania badala ya kuzitatua na sijui wewe unajiweka wapi.
 
Duh! Chadema chali! Lakini angalau mmeongeza idadi ya wanaowaunga mkono.

A good business/political strategist would first keep her customers (not let her competitor walk away with the customers); and then increase her customer base(find new ones).

Ila kama fikra za wabongo ndio hizi za kuchagua CCM hii iliyochoka, hakika Tanzania isingepata uhuru kama wapigania uhuru wetu wangekuwa wanarubuniwa kirahisi namna hii.

Pole sana mkuu. Hata mimi nimehuzunika sana kwa matokeo hayo. Hata hivyo napata faraja kwamba enzi za CCM kula bila kunawa zinayoyoma. Kwa sasa inabidi wanawe na inapobidi maji wayafuate zaidi ya 25km kama ilivyotokea Busanda. Kwa mizengwe iliyofanywa na Mafisadi wa CCM wasioitakia mema nchi yetu toka 1992, ilikuwa ndoto kuona wazee wazima kama Tingatinga wakitolewa kamasi na kupigishwa kwata. Ni mwanzo mzuri na naamini watapata moto mwingine huko Biharamulo na kwenye uchaguzi wa vitongoji, vijiji na mitaa. Hatua imepigwa tena kubwa labda kama watu hawataki kuiona.
 
Back
Top Bottom