CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

That is the sprit, lakini isiwe ni kwenye media kuwa kuna makosa madogo yatalekebishwa, kwani kama hamkurekebisha you will never get majombo mengine zaidi ya haya mliyonayo, naogopa mtawekewa mamruki na kusambaratisha chama chenu kabla hamjafikia kiwango kinachotakiwa cha ushindi.

Hii inanikumbusha watu kama Lamwai now in CCM who was a real threat to CCM na sio kama kina Marando walivyosambaratishwa na kuamua kurudi CCM wenyewe bila kupenda.

Hii inanitia mashaka kama kweli watanzania wako serious wanataka kuondoa umasikini au wanataka uendelee, suala la msingi hapa ni kuongeza idadi ya wabunge mjengoni ili walete changamoto kwa wabunge wa CCM waongee mambo ya msingi badala ya blah blah kila siku.
 
Busara na elimu bado i nahitajika, heri ya busanda japo makao makuu wameibuka na upinzani, japo sijawa updated, inakuwaje Dar, jijini majimbo yote yalienda CCM?
 
Wananci wengine pia inawezekana walitishwa,uchaguzi wa BUsanda usimamiwe kama wa Iraki? Ni vitisho vya ccm kwa wanavijiji kuwa wakichagua upinzania wanaweza wakarudi hao maana nilishangazwa sana na uvunjwaji wa wazi wa haki za raia pale polisi walipoamriwa waondoe namba zao wakati wa doria,huo ni ugaidi,hao hao ndio wanaotumika kuhujumu uchaguzi,wako juu ya sheria unadhani watakubali kushindwa?
Duh!!!
Kama dola imeshikwa kihivyo. je tunapata ujumbe gani hapo????

Nilisema tangu awali kwamba kama ikishindikana kupata katiba mpya inayokwenda na wakati basi kazi kubwa ielekezwe kuelimisha jamii kuhusu haki za kimsingi. hata polisi nao ni jamii ni budi waelimishwe wajue wapo ktk mstari upi wasije wakajilaumu huko mbeleni.
 
Kujaza watu katika kampeni si kipimo cha ushindi.
Wengine walikuwa ni mashabiki tu ambao wala hawakujiandikisha, wengine ambao hawakupiga kura ni wale waliouza shahada zao au wanawake waliozuiliwa na waume zao kama tulivyojuzwa. Upinzani bado haujakomaa vijijini na wala wasitafute mchawi.
 
samahani wakuu,imeingiliwa kidogo na kafisadi.
Ushauri wangu...imedhihirisha kuwa ni ngumu mno kwa wapinzani kushinda, ninashauri kwa wale wanoamini katika CCM ya Julius kuungana pamoja kupambana kuleta mabadiliko ya CCM tuitakayo badala ya kubaki na upinzani ambao nao umepoteza matumaini kabisa.
Wapo watakaodhani nataka chama kimoja,la hasha na wala sitamani kabisa kwani mie naamini uimara wa CCM unategemea sana pia uimara wa upinzani. Lakini kwakuwa CCM ndio chama kilicho madarakani na kwa muda mrefu ujao kitatawala, ni bora kurekebisha mapungufu humu kuliko kuhangaika woooooteeee na dead cases...ndio wengine wabaki upinzani wasaidie kuikosoa C

hapo tupo ukurasa mmoja Mkuu
 
hakukuwa na kila dalili za ccm kushindwa waandishi wa habari waliopewa fedha waliipigia debe chadema kwa kudhani wananchi wataamini propaganda hizo wana jf huko ni kujidanganya.its a wishful thinking kudhani ccm itashindwa.ccm inamtandao nchi nzima kila kijiji kuna tawi na wanachama wanaoeleweka.ina jumuiya zake hai.wakati vyma vya upinzani hujitokeza wakati wa uchaguzi tuu na kupiga kampeni kutumia udhaifu mdogomdogo wa ccm.wakishangiliwa na vijana wa vijiweni ambao hupewa sh mia tano au elfu wao wakidhani wanao wanachama heeeeeeee nasi wana jf tunashupalia na kufanya tathmini kwa kutumia porojo za magazet.waheshimiwa siasa sio lelemama.upinzani ungetuliza akili kujipanua kimawazo na kufanya tathmini sahihi ya jinsi ya kujipanuakwa chadema bado hawajajifunza fedha na kukodi helikopta zingetumia kueneza matawi huko vijijini.nadhani wakajifunze kwa mrema aliyekuwa akisukumwa kwa gari baadaye akajikuta yuko pekee yake.hongera ccm utadumu kwa kipindi cha miaka kumi na moja ijayo

Acha Porojo Ndugu yangu na ni kosa kubwa sana kuwadharau watu zaidi ya 22,000 waliopigia kura na kuwaita ni vijana wa Kijiweni wewe wa ofisini unafanya umefanya nini , nyinyi ndio wale ambao huwa mnaogopa hata kuhudhuria mikutano ya vyama vya upinzani eti kuogopa vibarua vyenu ( Shame on you) CHADEMA, 2005 CHADEMA got only 4% sasa wakuu wamepata zaidi ya 40% bado huoni kama kuna Juhudi? CHADEMA should stand as CHADEMA suala la kuunda Ushirika na vyama Muflisi ni Kujimaliza
 
Busara na elimu bado i nahitajika, heri ya busanda japo makao makuu wameibuka na upinzani, japo sijawa updated, inakuwaje Dar, jijini majimbo yote yalienda CCM?

Mjini bwana pako tofauti sana,wananchi wengi hasa wa DAr wanataka DAR iendelee hivyo ilivyo ile waedelee kula shushu..Hivyo ndiyo maana CCM inaendele kushinda!

Wananchi wengi ni zao la mafisadi hasa mijini ..sasa lazima walinde chakula cha wajomba zao na mababa zao."Mabuzi" yao yaweze kushinda si unajua siasa ya Tanzania ...hauwezi kuwa mwanasiasa bongo mpaka uwe mtu wa totoz na kilaji..Nyani Ngabu unasemaje hapo?Hata mawaziri na viongozi wengine hulipwa fadhila baada ya kuunganishiana wanawake..!
 
Wananci wengine pia inawezekana walitishwa,uchaguzi wa BUsanda usimamiwe kama wa Iraki? Ni vitisho vya ccm kwa wanavijiji kuwa wakichagua upinzania wanaweza wakarudi hao maana nilishangazwa sana na uvunjwaji wa wazi wa haki za raia pale polisi walipoamriwa waondoe namba zao wakati wa doria,huo ni ugaidi,hao hao ndio wanaotumika kuhujumu uchaguzi,wako juu ya sheria unadhani watakubali kushindwa?

Sababu kama hizi huwa tunazipata pindi timu zetu za mpira zikienda kucheza nje na kufungwa, watanzania hatujambo kwa kutafuta maelezo ya kuhalalisha failure. Jamani tukubali ushindi huu na mwingine wowote wa CCM unapangwa na hao wapinzani, tena wananchi wanapoonesha nia ya kuin'goa CCM wao wanatafuta njia zote za kuibakisha (ushahidi tumeuona Busanda).
 
...Mch. Lackson Mwanjali wa CCM alipata kura 32,867 sawa na asilimia 73.27; Daud Mponzi wa CUF kura 10,578 swa na asilimia 23.57; Subi Mwakapiki wa SAU kura 496 sawa na asilimia 1.10; kura 914 sawa na asilimia 2.04 ziliharibika. Tofauti ya kura kati ya CCM na CUF ni 32867-10578=22289. Kwa hiyo CUF (yenye kura 10578) ilikuwa inahitaji msaada kutoka CHADEMA wa at least kura 22290 ili kuishinda CCM !! Sasa wewe ukiona una wafuasi wachache, kwa nini usimuachie mwenye wafuasi wengi?...

CUF ndio walipata kura wa pili baada ya CCM kwenye uchaguzi wa 2005. Ila nahisi strategy ya Chadema ni kuwa chama kikuu cha upinzani kwa CCM, ndio maana haikutaka kuwaacha watu wake kaunge mkono yule wa CUF, labda angepata angewakilisha vizuri hivyo Chadema wangelipoteza jumla. It's not fine, but it's understandable.
Kwa mtindo huo tusishangae huko Biharamulo wote Chadema, CUF, TLP na hata UDP wakaweka wagombea, na jimbo likarudi CCM.
 
Habari za matokeo hayo zinaonesha kuwa mgombea wa CCM, Lolensia Bukwimba amepata kura 29,349 akifuatiwa na mpinzani wake mkali wa CHADEMA, Finisia Magessa amepata kura 21, 249 na mgombea wa CUF, Oscar Ndalahwa kura 827 akifuatiwa na mgombea wa UDP, aliyeambulia kura 327.





Katika uchaguzi huo watu 133,000 walijiandikishwa kwa ajili ya kushiriki uchaguzi huo huku idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ni 52,720.

Hizi namba za matokeo zinanifurahisha jinsi zinavyoishia na 49 na 27.

Hapa kwenye idadi ya waliojitokeza ni fundisho kwa wote walioshiriki uchaguzi kuwa voter turn out katika chaguzi zetu ndio determining factor ya nani atashinda kati ya wale wanaochuana kwa karibu. Ina maana hapo iwapo CHADEMA ingeweza kuwahamasisha wapiga kura wengine elfu 9 kati ya 80,280 wasiojitokeza wangeibuka washindi. Kuna sayansi ya uchaguzi ambayo inabidi vyama vya upinzani wajifunze.vitu vidogovidogo sana wanashindwa kufigure out.
 
Hamtaamini lakini ndiyo ukweli, poleni sana. Ni vizuri tu wakawa waungwana kama yule jamaa wa Magogoni kwa kukubali ukweli. Haina maana kuleta zogo na kutunga uongo. Hata mkinuna UKWELI NDIYO HUO !!!!!!!
 
Hakuna kulala vyama vya upinzani visikate tamaa kwa matokea haya kwani bado wananchi wanaitaji muda kuweza kuelewa nini kinaendelea na ukichukulia watu wengi waliopiga kura shule yao ni ndogo hivyo wanaitaji kuendelea kutembelewa kwa kufanya mikutano ya mara kwa mara uko mikoani.Hiyo inaweza kusaidia. Pia inabidi hivi vyama viwe na matawi vijijini though yapo lakini ni machache.

MAPAMBANO YAENDELEE HAKUNA KURUDI NYUMA
 
CHAMA CHA MAFISADI NI MAFIA SANA. WANAOIBA KURA HUWEZI KUWAZANIA kama hao mawaziri wamekutwa na hizo shahada ni uthibitisho tosha kabisa
 
We got results from our own tally since midnight and confirmed that we have lost the Busanda election. It was a tough battle which we poised to win. I have called Mkuchika to congratulate him for the victory.

CHADEMA has increased its share of votes from 4% to 44%. To us the people have spoken though we will not seat an MP in Dodoma for Busanda. The votes give us courage to go to Biharamulo strengthened and with high spirit. There are minor mistakes we shall correct, internal and external.

Thanks all for your support. Vijana wamepigana sana. Ni bahati mbaya tu tumeshindwa.
We have a country to run. Tutakutana Biharamulo

Zitto

I salute you SIR!!! Naomba nikupongeze kwa juhudi zenu za kui chalenge CCM. Hata bila kuwin kiti bado impact yenu kwa maisha ya wana Busanda ni kubwa. Mtaji wenu mwakani utakuwa utekelezaji mbovu wa ahadi za CCM na hapo hiyo difference za kura elfu saba ni ndogo mno kuzi win compared na muda uliobaki wa CCM kutekeleza walichokiahidi. Usife moyo shujaa wa kweli ni yule mwenye makovu mengi mgogoni na reward yake ni ile facial expression after winning the battle. So keep it up na hongera kwa kukubali kushindwa.
 
CHADEMA should stand in Biharamulo, Achaneni na Hizi Porojo za akina Mrema na wenzake! Kwa nini mara zote linapokuja sula la Ushirika Chadema ndio anaonekana yuko Obliged kupanda jukwaani kupigia kampeni chama kingine!
 
I salute you SIR!!! Naomba nikupongeze kwa juhudi zenu za kui chalenge CCM. Hata bila kuwin kiti bado impact yenu kwa maisha ya wana Busanda ni kubwa. Mtaji wenu mwakani utakuwa utekelezaji mbovu wa ahadi za CCM na hapo hiyo difference za kura elfu saba ni ndogo mno kuzi win compared na muda uliobaki wa CCM kutekeleza walichokiahidi. Usife moyo shujaa wa kweli ni yule mwenye makovu mengi mgogoni na reward yake ni ile facial expression after winning the battle. So keep it up na hongera kwa kukubali kushindwa.

Good Observation mkuu, Bila Chadema hata hizo Nguzo za Umeme zisingepelekwa huko Busanda.
 
Lazima tufike sehemu tukubali kuwa uwanja siyo even kwa vyama kwani ccm imechukua raslimali za wananchi na kuzifanya zao. Hivyo inatakiwa wanyang'anywe. Harafu kuwepo na utaratibu wa kuonyesha hela za kampeni zinatoka wapi kwani tumeona wakina obama walikuwa wanasema wazi na matumizi yao yanafuatiliwa. Then from there tutakuwa tumepata pa kuanzia. Lakini kwa muendelezo huu tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu itachukua muda sana mabadiliko kutokea.
 
I fully agree with you Ndege ya uchumi...CHADEMA should stand on its own and prove to be the main opposition party to CCM.
 
Hizi namba za matokeo zinanifurahisha jinsi zinavyoishia na 49 na 27.

Hapa kwenye idadi ya waliojitokeza ni fundisho kwa wote walioshiriki uchaguzi kuwa voter turn out katika chaguzi zetu ndio determining factor ya nani atashinda kati ya wale wanaochuana kwa karibu. Ina maana hapo iwapo CHADEMA ingeweza kuwahamasisha wapiga kura wengine elfu 9 kati ya 80,280 wasiojitokeza wangeibuka washindi. Kuna sayansi ya uchaguzi ambayo inabidi vyama vya upinzani wajifunze.vitu vidogovidogo sana wanashindwa kufigure out.

Ndugu yangu hapo ndipo huwa nafikia maamuzi kuwa hawa watu tuliowapa jukumu la ukumbozi wa wanyonge wa nchi hii wanatuhujumu. Suala la voters turn out limekuwa likijitokeza kila mara kwenye hizi chaguzi(wasituambie wamesahau) lakini hakuna anayeonesha kujali. Na matokeo kama haya wanawavunja nguvu hata hao wachache wa hapo Busanda na wengine nchi nzima.
 
Back
Top Bottom