CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

Hizi namba za matokeo zinanifurahisha jinsi zinavyoishia na 49 na 27.

Hapa kwenye idadi ya waliojitokeza ni fundisho kwa wote walioshiriki uchaguzi kuwa voter turn out katika chaguzi zetu ndio determining factor ya nani atashinda kati ya wale wanaochuana kwa karibu. Ina maana hapo iwapo CHADEMA ingeweza kuwahamasisha wapiga kura wengine elfu 9 kati ya 80,280 wasiojitokeza wangeibuka washindi. Kuna sayansi ya uchaguzi ambayo inabidi vyama vya upinzani wajifunze.vitu vidogovidogo sana wanashindwa kufigure out.

Hwajashindwa ku figure out, they learn through practice and practice make perfect. Usituvunje moyo wewe chama chako kiko miaka mingapi madarakani na CHADEMA imeanza lini kwepo kwenye chaguzi ukiangalia who is evolving in the right direction?
 
Yaani turnout ya wapiga kura ni 40%? (52000/133000) Incredibly low!

Some research should be conducted to establish as to why so few turned up to the polling stations.

Halafu magazeti ya kibongo yanaandika, "...wengi wajitokeza kupiga kura Busanda." Plain lie
 
Felister,

Kubali ungali mchanga kama unavyosema mwenyewe. Subiri ukomae, bado unanyonya unataka kuwa mjeshi, lo!!!! Wabongo kwa visingizio tunaongoza. Timu zetu zikishindwa utasikia visingizio kibao, sasa tena mumeanza mara oh! Mwantumu Mahiza kaiba kura, mara wanafanya nini baada ya saa 12 jioni nk. Na hayo matusi yenu ya kuita wana CCM wote mafisadi ndiyo hayo hayo yatakayozidi kuwaangusha. Watu wanawaona hamna busara. "HIVI UNGEKAA KIMYA, NANI ANGEJUA HUNA BUSARA?" Zingatia sana usemi huu.

Kupiga watu kwa manati nayo ni udhaifu mwingine uliowaangusha. Nilisema hapa wiki iliyopita akaja mkubwa mmoja akanishambulia utadhani JF ni ya wapinzani wa CCM pekee, mtu mwingine hana haki ya kuweka post yake.
 
Hwajashindwa ku figure out, they learn through practice and practice make perfect. Usituvunje moyo wewe chama chako kiko miaka mingapi madarakani na CHADEMA imeanza lini kwepo kwenye chaguzi ukiangalia who is evolving in the right direction?

Watu wa Busanda wangeambiwa kuwa kura yao kwa CHDEMA ni kwa ajili ya wao kujifunza, sidhani kama wangekubali kutoa hata hizo kura walizotoa. Vyama vya upinzani vinapaswa kuacha kufikiria kuwa wao ni wachanga and all that, kwa sababu kiumri hakuna siku CHADEMA itaifikia CCM so unataka kumaanisha kuwa hawataweza kuishinda, au unadhani kuna siku CHADEMA itakuwa na umri sawa na CCM ndio iishinde?
Hivi byama vya upinzani vimeshakuwa kwenye game kwa muda wa kutosha kuelewa vitu vya msingi vinavyohitajika ili washinde.
Haya sasa ngoja tuone nini kitatoka kwenye ''practice'' ya huko Bihalamuro.
 
Hwajashindwa ku figure out, they learn through practice and practice make perfect. Usituvunje moyo wewe chama chako kiko miaka mingapi madarakani na CHADEMA imeanza lini kwepo kwenye chaguzi ukiangalia who is evolving in the right direction?

Felister wanahitaji kushindwa chaguzi ngapi ndio wawe perfect? Ngoja nikupe mfano, taasisi moja huko Kigamboni inaitwa KYD(Kigamboni Youth Development) kwa viji fedha kidogo vya Foundation for civil society visivyozidi milioni kumi, waliweza kuongeza idadi ya wapiga kura mwaka 2005 katika kata za kigamboni, mjimwema na toa ngoma kwa zaidi ya mara tatu ya idadi iliyopiga mwaka 2000.walifanya kazi hii kwa mwaka mmoja tu. Na taasisi hii haina wasomi mahili kama akina profesa Lipumba, profesa Baregu n.k bali ni vijana wa darasa la saba tu.Kinachotofautisha vijana hawa na wapinzani ni nia thabiti.
 
Matokeo Rasmi

UDP 640
CCM 29,242
CHADEMA 22,799
CUF 270
=======

CHADEMA WAMESHINDA JAMANI

-Kutoka 4% mwaka 2005 hadi 42.7% mwaka huu (miaka 3 iliyopita) ni ushindi mkubwa.

CCM wameshindwa Jamani

-Kushuka toka 79% mwaka 2005 hadi 54.8% mwaka huu, ni KUSHINDWA.

Hoja ya kuungana kwa vyama, haina mashiko halisi, iangaliwe kwa makini.

CCM ni mali ya Malecela na mkewe, hata Kikwete hafuo dafu.

Tufarijiane kwa njia hii.
 
Na wanapewa zawadi gani kutokana na ushindi huo?
 
Ninawaomba viongozi wa CHADEMA watuletee taarifa pesa zilizotumika katika uchaguzi wa BUSANDA. Je, ni kiasi gani kimetumika? Je, kukodisha helkopta pekee kumegharimu pesa kiasi gani?
Leteni hapa ili tutoe ushauri jinsi mtakavyoweza kuconsolidate resources huko Bihalamuro.
Ushauri wa awali ni kwamba CHADEMA inabidi mfanye kitchen table politics, mambo ya kujaza umati huwa ni vigumu sana kuyaevaluate outcome yake.
 
Ni kweli sasa hivi watanzania tumezinduka. Chadema sasa hivi inabidi kuelekeza ngivu Biharamulo. SISIEMU wametumia nguvu nyingi sana kushinda kwenye uchaguzi wa Busanda hii inaonyesha wazi kuwa sasa hivi upinzani unanguvu na tutegemee mabadiliko makubwa sana kwenye uchaguzi mkuu wa 2010
 
Felister wanahitaji kushindwa chaguzi ngapi ndio wawe perfect? Ngoja nikupe mfano, taasisi moja huko Kigamboni inaitwa KYD(Kigamboni Youth Development) kwa viji fedha kidogo vya Foundation for civil society visivyozidi milioni kumi, waliweza kuongeza idadi ya wapiga kura mwaka 2005 katika kata za kigamboni, mjimwema na toa ngoma kwa zaidi ya mara tatu ya idadi iliyopiga mwaka 2000.walifanya kazi hii kwa mwaka mmoja tu. Na taasisi hii haina wasomi mahili kama akina profesa Lipumba, profesa Baregu n.k bali ni vijana wa darasa la saba tu.Kinachotofautisha vijana hawa na wapinzani ni nia thabiti.

First attempt Busanda 4% second attempt 40% just try to find the function for such calculations then u will know how many times they need to fail.
 
We got results from our own tally since midnight and confirmed that we have lost the Busanda election. It was a tough battle which we poised to win. I have called Mkuchika to congratulate him for the victory.

CHADEMA has increased its share of votes from 4% to 44%. To us the people have spoken though we will not seat an MP in Dodoma for Busanda. The votes give us courage to go to Biharamulo strengthened and with high spirit. There are minor mistakes we shall correct, internal and external.

Thanks all for your support. Vijana wamepigana sana. Ni bahati mbaya tu tumeshindwa.
We have a country to run. Tutakutana Biharamulo

Zitto

- Zitto usiende huko Biharamulo na bajaji, tafuta helikopta usije ukaachwa kwenye mataa ndugu yangu, Bwa! ha! ah! mmeangukia pua sasa njooni hapa mtafute ushauri kuliko kujifanya kujua na maneno mengi empty ,

- Humble yourself njoo hapa mpate ushauri, Biharamulo bado njoo hapa utupe tathmini ya yaliyojiri Busanda ili tukupe elimu kwanza kabla ya kwenda Biharamulo!

FMES
 
Mzee Zitto,

Kwanza nianze kwa kukupa pole kwa kushindwa katika jimbo la Busanda. Kusema ukweli najua inauma sana pale mtu unapoinvenst muda na energy zako na kupata matokeo tofauti kidogo . Lakini wana Chadema msife moyo kumbuka wahenga walisema ,"A journey of a thousands miles begins with a single step." Chadema imeanza safari hiyo tunajua fika kwamba safari hii ni ngumu na yenye misukosuko mingi .

Binafsi naamini kabisa ili Chadema ishinde ni lazima muwe strategic ...Kusema tuu twenda Biharamulo bila ya kutafuta tatizo ni nini mtakuwa mnapoteza muda. Ni lazima mumtafute mchawi aliyepelekea nyie kushindwa huu uchaguzi. Mzee Zitto mapendekezo yangu kwa Chadema na vyama vingine ni kama ifuatavyo :

1. Kwanza kabisa ni lazima mtambue ya kuwa CCM ni chama kilichopo madarakani . Wazungu wanasema lazima mtambue strength za CCM , kwa kufanya hivi mtaweza kupanga strategy nzuri za kuishinda CCM bila kuialienate. Chadema ina scarce resources compared to CCM kwa hiyo kushindana na hawa watu katika fedha will be plainly wastage of resources. Ni lazima tutambue ya kuwa CCM has cut-throat technique at their disposal...

2. Ni lazima tutengeneze message ambayo itakuwa ina appeal katika broad base na sio continuing preaching to the choir. Message ambayo itakuwa inajali demographics ya jimbo husika . Hapa naamanisha ya kuwa ni lazima mpate wanaojua takwimu wakae chini na wafanye analysis za nguvu ! Mujue katika jimbo kuna wanawake wangapi, vijana wa ngapi na wazee wangapi . Pia mjue kuna shule ngapi , hospitali ngapi ...la msingi mjue matatizo yanayowagusa hawa watu . Message yenu lazima ibadilike kutokana na mahali muda na wakati. Zitto , the point I am trying to make here is simply, Chadema must forges a message which will resonates with the targeted audience.

3. Ni lazima muangalie data za Busanda kwa ndani zaidi, kama walivyosema watu wengine there is something fishy there ! It doesn't make sense for 80,000 people who registered to vote to shun away from the voting booths. Mimi nadhani ni dhahiri ya kuwa kuwa hapa kuna mchezo uliochezwa. Sasa hapa ni muhimu kufuatalia na kujua ni age group gani ambayo ili register lakini they didn't vote. Pendekezo langu ni lazima baada ya hizi chaguzi mtafute solution ya hili jambo. ..

4. Ni lazima mtoe kudos kwa CCM ya Nyerere na mambo waliyoyafanya . Hii ni muhimu sana katika kuappeal kwa wale ambao ni CCM lakini wako katikati . Ni lazima muonyeshe tofauti kati ya CCM ile na hii ya sasa.

5. Zitto lazima mjitahidi kutumia rhetorical devices katika speech zenu especially pathos . Ni lazima speech zenu ziwaguse wahusika on a personal level . Ni lazima mtu aonyeshwe uhusiano wa siasa na yeye kukosa maji, umeme , shule kwa mtoto . . . n.k
Msiamini ya kuwa wapiga kura wanajua kila kitu.

Itaendelea . . .
 
First attempt Busanda 4% second attempt 40% just try to find the function for such calculations then u will know how many times they need to fail.

Next attempt (2010) at Busanda it will be 90%. kwa hiyo uwezekano wa wapinzani kupata majombo mengi 2010 ni mkubwa. Tupambane kwa hali na mali kwani 'TANZANIA BILA YA SISIEMU INAWEZEKANA'
 
Felister,

Kubali ungali mchanga kama unavyosema mwenyewe. Subiri ukomae, bado unanyonya unataka kuwa mjeshi, lo!!!! Wabongo kwa visingizio tunaongoza. Timu zetu zikishindwa utasikia visingizio kibao, sasa tena mumeanza mara oh! Mwantumu Mahiza kaiba kura, mara wanafanya nini baada ya saa 12 jioni nk. Na hayo matusi yenu ya kuita wana CCM wote mafisadi ndiyo hayo hayo yatakayozidi kuwaangusha. Watu wanawaona hamna busara. "HIVI UNGEKAA KIMYA, NANI ANGEJUA HUNA BUSARA?" Zingatia sana usemi huu.

Kupiga watu kwa manati nayo ni udhaifu mwingine uliowaangusha. Nilisema hapa wiki iliyopita akaja mkubwa mmoja akanishambulia utadhani JF ni ya wapinzani wa CCM pekee, mtu mwingine hana haki ya kuweka post yake.

Kama busara ni kuwa kasuku wa maneno yasiyo na tija na kama manati ni ukweli kwa kundi dogo lenye maslahi dhidi ya wengi wanaokufa kwa kukosa dawa ya malaria naomba niwe mpumbavu na unichukulie hivyo forever.
 
First attempt Busanda 4% second attempt 40% just try to find the function for such calculations then u will know how many times they need to fail.

Sawa, kumbe kuna DECI ya votes pia, tutegemee CHADEMA watavuna kura tena.
 
Felister wanahitaji kushindwa chaguzi ngapi ndio wawe perfect? Ngoja nikupe mfano, taasisi moja huko Kigamboni inaitwa KYD(Kigamboni Youth Development) kwa viji fedha kidogo vya Foundation for civil society visivyozidi milioni kumi, waliweza kuongeza idadi ya wapiga kura mwaka 2005 katika kata za kigamboni, mjimwema na toa ngoma kwa zaidi ya mara tatu ya idadi iliyopiga mwaka 2000.walifanya kazi hii kwa mwaka mmoja tu. Na taasisi hii haina wasomi mahili kama akina profesa Lipumba, profesa Baregu n.k bali ni vijana wa darasa la saba tu.Kinachotofautisha vijana hawa na wapinzani ni nia thabiti.

Mzee nakuunga mkono sana tu, hawa wapinzani wetu hawana nia thabiti kabisa, wewe angalia kina Zitto wanavyoweza kuwaunga mkono mafisadi( kumbuka suala la ununuzi wa mitambo ya richmond), then et ndiyo wanategemea wananchi watawaamini wanaona bora Zimwi walijualo kuliko wasilolijua.Imenikere sana!
 
Nafikiri ujanja wa Vyama vyya siasa sasa unaonekana, Deep Green wao ukiangalia chaguzi ndogo zote wamekua wakituhumiwa kununua shahada na kuziorodhesha, sijui Mhe Judge Makame analisikia hili, so inaonekana ni trick ya kupunguza kura zisizo zetu maana hawawezi kununua shahada za watu wao atii. Apart of that with all effort that Deep Green put there (Busanda) they deserve to win as they were fighting against one opponent Chadema. Sasa Chadema siasa ni sera ndugu zanguni na sio helcopter, well Mr Mbowe anafikiri watu wanapokimbilia helicopter vijijini ndio watamkumbuka wakati wa kupiga kura, maweeeeeeeee. Deep Green wanatisha kama ukoma vijijini maana watu wa vijijini ni washamba wanatishwa kwamba kata yenu ikionekana kura nyingi zimeenda kule mtakoma na pia Deep Green bado wana matawi ya shina na hayo ndio NGUVU yao kubwa. Wajumbe hao wakati wa chaguzi wala hawataki hela ni mashati na kukaa kwenye majukwaa na kina Mzee Makamba na Komba wakiuza sura bidae nyumba kwa nyumba kampeni while mdogo wangu Mbowe waruka angani wanajaa kushangaa helicopter tu, hamkeni jengeni mtandao toka chini sio toka juu. Ndio maana Deep Green hakukubali kuvunja Chama wakati vyama vingi vinaanza 1992 sababu angevunjwa tu angeumia. Sasa Chadema mkawa mwapigana na Deep Green kushoto, kulia CUF kaazi kweli kweli mbele mwaomba kura.
 
- Zitto usiende huko Biharamulo na bajaji, tafuta helikopta usije ukaachwa kwenye mataa ndugu yangu, Bwa! ha! ah! mmeangukia pua sasa njooni hapa mtafute ushauri kuliko kujifanya kujua na maneno mengi empty ,

- Humble yourself njoo hapa mpate ushauri, Biharamulo bado njoo hapa utupe tathmini ya yaliyojiri Busanda ili tukupe elimu kwanza kabla ya kwenda Biharamulo!

FMES

FMES,

Bwa bwa bwa ha ha ha ha..Ijumaa zittoo alikuwa anajitapa sana mambo yameshakwisha na jimbo watalikamata!

Mwanakijiji uko wapi uje utuambie hiyo asilimia 50 uliyoisema imeishia wapi?zitto hajatoa sababu na keshampongeza mzee Mkuchika na wewe una sababu zipi?

Biharamuro ndiyo watapoteza kabisa!
 
Back
Top Bottom