CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

Hii kauli si sahihi.

Walioshindwa uchaguzi ni wana-Busanda wenyewe na huo ndio ukweli. Tusikwepekwepeshe mpira golini wajameni. The next thing fot them is to suffer the consequences, or rather to continue to suffer..lol

Mtindio,

Unadhani kauli ipi ni sahaihi zaidi ya hiyo?mbona unapotea??

Kama una mtoto mdogo ambaye ndiyo kwanza anakua,unajitahidi kumpa ushauri na hataki kukusikiliza utasemaje?

anajifunza tabia ambayo anapewa na marafiki zake walioshindwa utamfundihsa vipi?unamwaacha anapigwa na Dunia.Na ndiyo upinzani wetu huo,kila siku tunawafundisha wapendane ila wao hawataki?
 
Haha kaka Gembe aliyeiba kura za CHADEMA ni CCM

Lete ushahidi,tatizo lako wewe unasiki habari zaCHADEMa tu,unasema umemkamata mtu bila ushidi tutakuamini vipi,hizo ni propaganda tu!

I knew CCM will win,na hii ni salamu moja kwenda kwa Makamba ambaye alidhani kama akienda Mkuchika kule basi CCM itadondoka which has turned Differently!

I think hata Makamba safari yake imeiva sasa
 
Mtindio,

Unadhani kauli ipi ni sahaihi zaidi ya hiyo?mbona unapotea??

Kama una mtoto mdogo ambaye ndiyo kwanza anakua,unajitahidi kumpa ushauri na hataki kukusikiliza utasemaje?

anajifunza tabia ambayo anapewa na marafiki zake walioshindwa utamfundihsa vipi?unamwaacha anapigwa na Dunia.Na ndiyo upinzani wetu huo,kila siku tunawafundisha wapendane ila wao hawataki?

Una uhakika kuwa 'kupendana' kungewasaidia kuchukua jimbo? Na kama 'kupendana' ni kwa namna hiyo kwa nini CCM 'isipendane' na wengine?
 
Mdogo mdogo tutafika, Chadema mlichojifunza nini? washukuruni wananchi na huyo Magesa aendelee kuwatumikia wanaBusanda labda 2010 kura zitatosha. Ila sijui Lipumba na Cheyo walikua wafanyani kama sio u......................................
 
Morning,
Usiku umepita, nimelala kwa taabu sana nikitafakari nilichokiona nilicho sikia na kilichotokea.
Asubuhi hii nimeanzia kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Busanda. Tumeingia kwenye ukumbi wa Halmashauri ambapo kazi ya kujumlisha matokeo inatarajiwa kuanza wakati wowote. Mpaka sasa, hakuna mgombea yoyote aliyeshafika hapa wala mawakala wao.
Mgombea wa Chadema amezima simu tangu jana usiku baada ya taarifa kichapo
Kikao kimeanza.
 
Pasco,

Habari nilizozipata Muda wa asubuhi toka kwa Mkulu mmoja aliyeko hapo ni kuwa CCCM imeshinda kwa zaidi ya kura 10,000.

mtindio,
CCM inachukua na wote sasa inachokkifanya ni kuwasaidia kwa kuwapa Ruzuku na ni mapenzi makubwa sana.Kuhusu kupendana ni kweli kama wasipopendana ni vigumu kuiondoa CCM
 
Ruzuku kwa hiyo ni msaada CCM inatoa kwa wapinzani..lol.,

Ok, I'm not fond of politics anyhow anyway na sijawahi kusikia taifa limejengwa kwa kutumia siasa. Nna hakika hata baada ya miaka 2000 ijayo kama hatutakubali mfumo mpya wa kujiendesha ktk hii nchi, katu hatutopiga hatua za kimaendeleo na tutabaki hapahapa tulipo.

Siasa si suluhisho la matatizo yetu.
 
Zoezi la kuhesabu halijaanza kwa sababu mpaka sasa ni CCM tuu ndio wametuma wawakilishi.
Juhudi za ziada kuwatafuta kwa simu zinaendelea bila mafanikio.
Nadhani zoezi litaanza bila UDP, CUF na Chadema,
 
Wapinzani sometimes not serious!!! Wanawajua vizuri hawa CCM then mpaka sasahivi hawajapeleka wawakilishi!! CCM wanawajua au wanawasikia, wanaiba hao!
 
Pasco said:
Morning,
Usiku umepita, nimelala kwa taabu sana nikitafakari nilichokiona nilicho sikia na kilichotokea.
Asubuhi hii nimeanzia kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Busanda. Tumeingia kwenye ukumbi wa Halmashauri ambapo kazi ya kujumlisha matokeo inatarajiwa kuanza wakati wowote. Mpaka sasa, hakuna mgombea yoyote aliyeshafika hapa wala mawakala wao.
Mgombea wa Chadema amezima simu tangu jana usiku baada ya taarifa kichapo
Kikao kimeanza.
Gembe said:
Pasco,

Habari nilizozipata Muda wa asubuhi toka kwa Mkulu mmoja aliyeko hapo ni kuwa CCCM imeshinda kwa zaidi ya kura 10,000.

mtindio,
CCM inachukua na wote sasa inachokkifanya ni kuwasaidia kwa kuwapa Ruzuku na ni mapenzi makubwa sana.Kuhusu kupendana ni kweli kama wasipopendana ni vigumu kuiondoa CCM
Zoezi la kuhesabu halijaanza kwa sababu mpaka sasa ni CCM tuu ndio wametuma wawakilishi.
Juhudi za ziada kuwatafuta kwa simu zinaendelea bila mafanikio.
Nadhani zoezi litaanza bila UDP, CUF na Chadema,

Sasa mbona hizi nyeti zinatofautiana??? Ipi ni sahihi??????
 
Tatizo la CHADEMA
wanafikiri wananchi wote ndio wafuasi wa JF,kumbe JF ngoma karibu zote ziko nje?
Waulizeni CHADEMA ofsi zao ktk jimbo hilo zipo ngapi? mambo ya zima moto hayo,wakishindwa huko watakuja kusema wameibiwa kura
Unafahamu ofisi hizo za CCM zilijengwa kwa mtindo upi? Michango ya lazima ikiwepo kukamata kuku na mbuzi wa wananchi kwa lazima ili ofisi hizo zijengwe. Jiulize CHADEMA wanaweza hivyo?
Katika mazingiza haya ya sasa lazima Tuwapongeza kwa hamasa waliyoifikisha kwa mwananchi kwa kutumia rasilimali halali na kidogo walizonazo. Hata kama CCM wameshinda halali au sio halali utakuwa ni UJINGA kama ujumbe haujawafikia
 
Kama hapokei maana yake hapatikani.

Na kama "pande zote" hazipatikani, basi na CCM wasingepatikana.

Na kama CCM wanapatikana ina maana tatizo sio umeme...
Heheheee, Mkuu inaelekea ulisoma na kuelewa vizuri yale mahesabu ya logic, yaani statement kuwa valid au kuwa fallacy!
 
Napenda kuwasalimu wana Jf wote navutiwa na hoja zenu katika kuelimisha jamii hasa kwenye mambo muhimu ya siasa, uchumi n.k.
tunaomba mtuletee latest news za Busanda
 
matokeo yametoka?

hata huko vivijini tumegawana nao ccm,
za mjini zote zetu chade.....!
 
Back
Top Bottom