Matokea ya uchaguzi jimbo la Busanda, yameanza kutoka ambako katika miji mikuu yote ya jimbo hilo, ni Chadcema inaongoza na kuiacha CCM kwa mbali wakati huko vijijini ni CCM inaongoza.
Shamra shamra za kusherehekea ushindi ni mijini kwa kuwafanya wafuasi na washabi wa Chadema kufurika mitaani kusherehekea ushindi hali inayoashiria wakijaambia matokeo ya jumla sio wao, mijini kutakuwa hapatoshi na hakukaliki.
Mpaka sasa Mji mkuu wa Busanda ni Chadema wakati kata maarufu ya Nyarugusu ni CCM.
Nitawaletea matokeo ya kata kwa kata kadri ninavyoyapata.
Tatizo ni kuwa Busanda hakuna umeme hivyo mawasiliano kuwa magumu na pande zote. Dr. Slaa hapatikani, Zitto anapatikana lakini hapokei, Mnyika hapatikani, Mbowe hapatikani na CCM wanapatikana... Nimepata kuongea na mwenyekiti wa CCM mkoa anasema wana uhakika wa ushindi.
Najaribu kumtafuta Zitto tena
Ni ngumu kujua data zote lakini mpaka sasa wakati wanaendelea kuhesabu chadema inaongoza kata mbili tu za katoro na kata anayotokea mgombea wa chedema....jumla ni kuwa ccm ina kura elfu kumi mpaka sasa na chadema wako elfu saba na mia sita
Kumbe Omary wewe CHADEMA...nilijua kuwa huna chama. Kwa nini ulikuwa unamsaidia salim kushinda CCM 2005 na huo ubunge wa Moro mjini utaenda na u-CHADEMA wako?Kaka wakati CCM wanashangilia kuepuka na ushindi wa CHADEMA leo ambao ungeleta matatizo makubwa kwao 2010 ni lazima wa/mkumbuke kuwa mwaka 2005 CHADEMA walipata asilimia 3% za kura huko.
Ni kawaida vijijini kushindwa kuamini mabadiliko kwa haraka sana lakini ni wazi kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kifikira yanayoendelea miongoni mwa watanzania.....
CHADEMA, wawe wameshinda ama wameshindwa wakitoka huko hakuna kurudi Dar, break iwe Biharamulo kuendelea na operesheni sangara ama operesheni ondoa ukiritimba wa CCM....
omarilyas
Tatizo ni kuwa Busanda hakuna umeme hivyo mawasiliano kuwa magumu na pande zote... CCM wanapatikana...
Zitto anapatikana lakini hapokei...
Hawapatikani kwa kuwa mambo ni magumu kaka hilo mbona ni rahisa sana kulijua...Kaka ndio siasa za ushindani...ila zitto anajibu meseji ukimwandikiaTatizo ni kuwa Busanda hakuna umeme hivyo mawasiliano kuwa magumu na pande zote. Dr. Slaa hapatikani, Zitto anapatikana lakini hapokei, Mnyika hapatikani, Mbowe hapatikani na CCM wanapatikana... Nimepata kuongea na mwenyekiti wa CCM mkoa anasema wana uhakika wa ushindi.
Najaribu kumtafuta Zitto tena
Uko sahini FM,...Kaka ndio siasa za ushindani...ila zitto anajibu meseji ukimwandikia
Leo ni knock out tu...Chadema huko mikoani, na CUF huko visiwani.
tuko pamoja kaka ndani ya jf inqawa sio kisera wala imani za vyamaUko sahini FM,
Kanijibu, CCM wamechukua Rwamgasa kwa tofauti ya kura zaidi ya 600
Kama mlijua hilo before, hatua gani mlichukua? Mtalia sana safari hii!=======
Wizi mtupu nao unashangiliwa! Wengi tulijua kuwa kuhamishia serikali yote Busanda ni dalili kuandaa mazingira ya wizi. Mawaziri wazima wananunua shahada za kupigia kura!
Kumbe Omary wewe CHADEMA...nilijua kuwa huna chama. Kwa nini ulikuwa unamsaidia salim kushinda CCM 2005 na huo ubunge wa Moro mjini utaenda na u-CHADEMA wako?