CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Watakuwa chini ya uangalizi,hawa ni ex officials hawana sauti ndani ya chama.
 
Naonya CCM wasifanye Maamuzi ya Hasira na Kukomoa dhidi ya hawa Makada Waandamizi kwani wanaweza wakaja Kujuta kama si Kujutia hapo baadae. Nimeonya hivi hasa baada ya kupata za chini chini kuwa Maamuzi yatakayotolewa dhidi yao yatakuwa ni ya Kuwakomoa zaidi badala ya kuwa ya Kibusara kwa Afya na Ustawi wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM )

Hawa akina Abrahman Kinana na Yusuf Makamba walipaswa wawe washauri wake na siyo kushauriwa na Pole Pole na Bashiru Ally au Makonda. Hata waliyoyaongea kwenye simu alizowarekodi kijinai bado ni ushauri mzuri wa kukijenga chama, Mwenyekiti wa CCM kama angekuwa na akili nzuri angechukulia mawazo ya wale wazee positively kuliko kuwadhalilisha kwa kuyaanika na kutaka wamuombe msamaha.

Hili likiendelea usijeshangaa siku nyingine ikatokea akamdhalilisha JK na Mkapa.

Huyu Jiwe analazimisha kupendwa wakati kiukweli wananchi wamemchoka sana.
 
Hawatafanywa chochote hao,hawatafukuzwa,wameona athari kwenye uchaguzi mkuu uliopita baada ya kundi kujitenga
 
Hii ni ccm mpya mali binafsi na si mali ya wanachama,wanawezafanywa chochote na wasifanye chochote.Mimi nimefurahi sana aliyetuombea mabaya tubatizwe amevuna kauli ya kinywa chake.Somo Tusipende kupanda miba njiani ujui kesho utaipita njia hio hio
 
umeandika vzr the first points, ila umekuja kuharibu kuwa kinana ana nguvu huku nje, u cnt be serious, au ulimanisha Membe? na hata huyo Membe nguvu kwishine, make huko Mtwara wote wameamua kuunga juhudi.
....two options.
1.wanazuiwa kufanya siasa for sometime -mpaka uchaguzi upite
2.watasema tumewasamehe lakn mmeonywa

.....hawana uwezo wa kuwafanya nje ya hayo mawili coz wanajua nguvu ya Kinana si ya kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa akina Abrahman Kinana na Yusuf Makamba walipaswa wawe washauri wake na siyo kushauriwa na Pole Pole na Bashiru Ally au Makonda. Hata waliyoyaongea kwenye simu alizowarekodi kijinai bado ni ushauri mzuri wa kukijenga chama, Mwenyekiti wa CCM kama angekuwa na akili nzuri angechukulia mawazo ya wale wazee positively kuliko kuwadhalilisha kwa kuyaanika na kutaka wamuombe msamaha.

Hili likiendelea usijeshangaa siku nyingine ikatokea akamdhalilisha JK na Mkapa.

Huyu Jiwe analazimisha kupendwa wakati kiukweli wananchi wamemchoka sana.

Kwani hao akina Mkapa na Kikwete hajawadhalilisha Mdau? Hivi anaposema kuwa Awamu zilizopita zilifanya Madudu na Uzembe mwingi Kiutendaji huku akizilaumu wazi wazi Mikutanoni huko siyo Kuwadhalilisha hawa ( hao ) Watangulizi wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom