Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,280
- 111,299
Siasa uchwara hizi, subili upate ajira ya mpiga debe wa mgombea wa Chadema 2015, Zitto Kabwe tayari ameshaomba nafasi ya kuwa mpiga debe wa mgombea nakushauri na wewe hujachelewa bado. Fuata msimamo wa Zitto bado wapiga debe wengi wanahitajika.madhara ya siasa zinazoendeshwa na dr.slaa ndani ya chama chini kwa chini akisaidia na na josephine ndiyo hayaaa..chama kimepoteza halmashauri..dr.slaa nahusika na hili akwepe akwepavyo.na bado tutashuhudia mengi kupitia fitina anazozifanya drs.slaa ndani ya chadema
kuna haja ya yeye kupumzika kama amechoka,na kama anaendesha chama kwa kutumia akili za josephine basi atuachie chama chetu.
Bado mbeya napo tutasikia makubwa hasa kwenye uongozia wa ngazi za tawi hadi mkoa,shinyanga na tabora ndio kabisaaaaaaaa
mbowe kukaa kimya sio mpumbavu,ni mwelewa sana hana muda wa kufanya haya mambo ya kitoto anayoendekeza huyu babu wa miaka 65 ndani ya chadema
dr.slaa kwani mbowe ni mpumbavu kukaa kimya???
Usidhani kama ni fahari kukuruka na vijana ili hali ww upo kwenye koma.
Inaumasana kuona chama kinapunguzwa nguvu na mzee kama huyu..tuachie chadema yetu.kaa na josphine wako mjenge maisha ya mwisho mwisho
shame on u slaa
[h=5]Zitto Kabwe
[/h][h=5]Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005 in Kigoma, Tanzania.
[/h]