Hii ni ya leo leo bado ya moto ila amefanya editing kidogo ili kuwapumbaza.Ni kazi kweli kutaka maneno yako haya yageuke kuwa ukweli unaotaka watu wakuamini hapa. Nafikiri ungeomba upewe dispatch. Mkuu ni dhambi kuwa mvivu wa kuhoji kupata ufafanuzi kwa kila unachoambiwa au kukisikia. Ni ujasiri wa manufaa kuhoji kwa ajili ya kupata taarifa na maarifa zaidi.
Never comes once, tusubiri 2015.Misfortune
duh,kweli mlikuwa na wasiwasi na ccm b kuwasalit,mpaka mnakesha na mdundiko sababu ya meya!!!!!!!!
Niliipata taarifa hii mapema sana, nitaarifa mbaya kusikia coz hakuna apendaye kushindwa...Hongereni Sisiemu coz asiyekubali kushindwa si mshindani.....Ila kiukweli, inauma sana kupoteza kiti hicho....Najua Ilemela tutafanya vizuri...
dr slaa vipi hajazimia kwa aibu?
Tumaini Makene sisi wengine hatuhitaji kuona Dispatch Book bali tunafuata mantiki. Kama Rai Mwema waliandika kwamba CHADEMA Mwanza walikuwa hawana taarifa ya kusimamishwa kwa kina Marietha na nyie hamkukanusha hilo unataka sisi tuanze kutafuta hizo Dispatch? Si kweli kwamba Raia Mwema walisema kwamba barua hiyo ilipelekwa Mwanza na Kigaila? Sasa mimi kosa langu ni kuiamini Raia Mwema?Ni kazi kweli kutaka maneno yako haya yageuke kuwa ukweli unaotaka watu wakuamini hapa. Nafikiri ungeomba upewe dispatch. Mkuu ni dhambi kuwa mvivu wa kuhoji kupata ufafanuzi kwa kila unachoambiwa au kukisikia. Ni ujasiri wa manufaa kuhoji kwa ajili ya kupata taarifa na maarifa zaidi.
Usisahau kubeba ndizi za kuiva na pilipili na maji yako ya kiroba.View attachment 66450
Mamajack karibu tumwage razi hapa magomeni, ngoma ndo imeanza!
Maneno yakujifariji ndio haya, Slaa amefanya mazuri ndani ya cdm yes, ila haya mabaya yana cost chama sana kuliko hata hayo mazuri, kukoa u-meya mwanza sio kitu cha mchezo, tuache kupepesa pepesa macho hapa kwa slaa kiukweli ametuingiza mkenge maamuzi yake
Mkuu hakuna "h" hapo kwenye hilo neno,ulitakiwa kusema "unajuwa kwanini Mabula..."Hunajua kwa nini Mabula kapewa Umeya?
Adabu ni sehemu ya sifa za Uongozi!!
dr slaa vipi hajazimia kwa aibu?