CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

Wakati mnaendelea kuchangia thread hii si vibaya mkatueleza sisi tusiojuwa lolote faida za kiti hicho kilipokuwa chini ya Chadema ni zipi!?

Maana mimi sasa nataka nibaki kwenye siasa zangu za Uanaharakati nimeshaona Chadema wanataka kunisababishia vidonda vya tumbo bila sababu yoyote.

Hivi wale madiwani wa Moshi wakiongozwa na Meya wa Chadema kwenda kujifunza usafi Rwanda na kutaka kutekeza mamilioni ya shillingi hilo ndilo huwa linalopiganiwa kuongoza hizi Almashauri au kuna la ziada kwa raia wa kawaida? meya alikuwa wa Chadema mmemtowa kuna ubaya upi sasa kuingia Meya wa CCM?
 
Mkuu baada ya Jiji la Mwanza kugawanywa katika halmashauri mbili, Nyamagana ndiyo imekuwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, huku Ilemela ikiwa Halmashauri ya Manispaa ya...hivyo tunachosubiri ni uchaguzi mmoja, mwingine umeshafanyika. Zilikuwa mbili tu. si tatu kama ambavyo inaweza kuonekana kwenye sentensi zako Mkuu Njowepo. Usiogope. Tuko na watu.

Tupe basi matokeo kamili ya kura za Umeya.
 
Chadema vipi mnaona cheche zinavyotoka? Subirini sasa upepo unawageukia wengi wataacha siasa.
 
Wakati mnaendelea kuchangia thread hii si vibaya mkatueleza sisi tusiojuwa lolote faida za kiti hicho kilipokuwa chini ya Chadema ni zipi!?

Maana mimi sasa nataka nibaki kwenye siasa zangu za Uanaharakati nimeshaona Chadema wanataka kunisababishia vidonda vya tumbo bila sababu yoyote.

Hivi wale madiwani wa Moshi wakiongozwa na Meya wa Chadema kwenda kujifunza usafi Rwanda na kutaka kutekeza mamilioni ya shillingi hilo ndilo huwa linalopiganiwa kuongoza hizi Almashauri au kuna la ziada kwa raia wa kawaida? meya alikuwa wa Chadema mmemtowa kuna ubaya upi sasa kuingia Meya wa CCM?
 
Mkuu chama,
Makamanda wamepata pigo kwa ubabe wao wamewafukuza madiwani wao Mwanza matokeo wameyapata.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mnaendelea kuchangia thread hii si vibaya mkatueleza sisi tusiojuwa lolote faida za kiti hicho kilipokuwa chini ya Chadema ni zipi!?

Maana mimi sasa nataka nibaki kwenye siasa zangu za Uanaharakati nimeshaona Chadema wanataka kunisababishia vidonda vya tumbo bila sababu yoyote.

Hivi wale madiwani wa Moshi wakiongozwa na Meya wa Chadema kwenda kujifunza usafi Rwanda na kutaka kutekeza mamilioni ya shillingi hilo ndilo huwa linalopiganiwa kuongoza hizi Almashauri au kuna la ziada kwa raia wa kawaida? meya alikuwa wa Chadema mmemtowa kuna ubaya upi sasa kuingia Meya wa CCM?
Mkuu, naona umemua kurudi CCM ili ukale na mafisadi ! Hongera.
 
cHAGUZI ZA MARUDIO SI KIPIMO KWANI MWINGINE ANATUMIA DOLA 2015 SI MBALI.HATA HIVYO CCM WANASTAHILI PONGEZI KWANI MSHINDI NI LAZIMA AWE MMOJA TU
 
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.

Kwa matokeo haya wakulaumiwa ni kamati kuu ya cdm na secretariat nzima ya cdm. Walifanya maamuzi ya jazba sana kuwafukuza udiwani wakina Chagulani matokeo yake ndio haya kupoteza uongozi wa halmashauri hii muhimu sana sana, bila kupepesa macho lawama ziende kwa Dr Slaa. Sasa hii yaonyesha nguvu za cdm mwanza ndio zitakuwa zimepungua hivyo na hii yaweza kukidhoofisha chama chetu, tujifunze kwa hili la mwanza na tusirudie makosa tena kama hayo.
 
Dk. Slaa alifanya makosa ya kuwafukuza madiwani wa chadema wawili kabla ya uchaguzi.... ona sasa matokeo ndio hayo.

Uongo kama huu unaweza kuwadanganya ambayo hawajazaliwa. Labda kwa katiba ya Chama Cha Mabwepande, lakini kwa katiba, kanuni, taratibu na miongozo ya CHADEMA, mtu anavuliwa uanachama na vikao, si mtu. Hakuna kiongozi aw CHADEMA anaweza kumvua uanachama mtu yeyote nje ya maamuzi ya vikao. No way. Tena kwa taarifa yako kumvua uanachama mwanachama yeyote ambaye ana wadhifa wa serikali kama vile Mwenyekiti wa Kitongoji, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Mwenyekiti wa Kijiji, diwani n.k, ndani ya CHADEMA kwa mujibu aw katiba, kanuni na taratibu ni very very very complicated. Jenga hoja with facts, argue, don't shout.
 
hahaha....what a wonderful news, CCM oyeeeeeeeeeeeeeeee.

Umakini na usikivu ndio unafanya walio wengi kuwa na imani na matarajio chanya na CCM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mpenzi wa CDM!

Hongereni CCM kwa ushindi huu.

Ni kipindi bora sana kwa CHADEMA kukaa na kutafakari kwa kina maana ya huu ushindi wa CCM? Lakini pia kubwa zaidi kilichokuwa nyuma ya pazia hadi kuvuliwa umeya kutoka CDM. Kulikuwa na mshine gani zilizofanikisha hili zaidi ya madiwani wawili waliofukuzwa uanachama.

Huu nauita ni ushindi mzuri, ukitumika kama shule mtajijenga vyema, mkishindwa mjue unaweza kuwa mwanzo wa kushuka kwa kasi msiyoitegemea.

Hongereni CCM.
 
Back
Top Bottom