MILLIONS MOVEMENT
Senior Member
- Aug 2, 2012
- 148
- 54
kwa CDM hili ni pigo, naamini kuna kitu tumejifunza katika siasa.
Sitaki kulaumu moja kwa moja CDM lakini CCM wameshinda kihalali kwa kutumia udhaifu ulioonyeshwa na vikao vya ndani vya CDM.HAKIKA HASIRA ZIMEWAGHARIMU PANDE ZOTE MBILI.
Baada ya vikao vya ndani kukaa na kupiga kura za kupendekeza jina MARIETHA alishinda na kupendekezwa na wenzake lakini kukawa na kasoro ya upatikanaji wake na kuamua kupitishwa jina la Chichibera ambaye halikuwa chaguo la wapiga kura wa Umeya.Na kuhisi kuwa kuna ubaguzi maalum wa watu wa aina fulani na hata viongozi wanajua hilo.
MATOKEO YA UMEYA.
Matokeo ya umeya yametokana na kutoelewana kwa pande hizi mbili na hakika wamepoteza ila upande mmoja umepata kwa kumpata meya toka CCM mwenye muonekano wa walioupigania ila wamesahau kuwa atakuwepo kwa ajili ya kurudisha imani ya wapiga kura kwa ccm na sivinginevyo.
Jifunzeni sana kurekebisha kasoro za ndani kabla ya kwenda kwenye public vote.Kusingekuwa na tatizo iwapo maamuzi ya wapigakura yangeheshimiwa na vitu vingine vingekuwa controlled na kanuni na pia hata maamuzi ya kumpitisha Nchichibera yangeheshimiwa na wapigakura huenda kusingetokea hili.Ukihesabu kura vizuri dhidi ya wapigakura kuna kura 3 za CDM zimempigia mabura wa CCM.
Habari hizi zilikuwa wazi sana hata mimi nilizipata mapema na naamini hata Dr alizipata alipokuwa Mwanza huenda suluhisho lake halikuridhisha wapiga kura.
TUJIFUNZE KWA MAKOSA HAYA NA KUSAWAZISHA NA HAKUNA HAJA YA KUSABABISHA MAKOSA MENGINE MBELENI.
HABARI HIZI NI CHUNGU SANA ILA NDO UKWELI NA INABIDI KUTUMIA NGUVU NYINGI KURUDISHA MATUMAINI HAYA KWA WAPENDA MABADILIKO.