CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

Mimi nakukubalia CCM haipitishi wagombea wake kwa misingi ya ukabila nenda Moshi kagombee kupitia Chadema ndipo utakapoelewa nini kinachozungumzwa

Chama
Gongo la mboto DSM

Wanaopiga kura kuchagua diwani ni wananchi wakazi wa eneo husika si chama. Kama watu wa moshi wangekuwa wakabila kama mnavyojaribu kuhadaa umma hapa hata kama mgombea amesimamishwa na chama gani as long si mchaga asingechaguliwa.

Na kwakuwa mnapenda sana mambo ya ukabila ndio kete mliyoihubiri sana mwanza kuelekea uchaguzi huu wa meya wa mwanza na swahiba yako ritz amekuwa akitamba hapa tangu asubuhi kwamba hiyo ndiyo imewapa ushindi.

Na bahati nzuri haya maneno ya unaguzi dhidi ya wachaga mnayoyaandika hapa ndiyo yanayoitafuna ccm na kuijenga chadema huko kilimanjaro. Usifikiri wachaga ni vichwa vya kuku kama hao ndugu zako wa kusini, kwamba mnaweza kuwaletea dharau halafu wakawwchekea bila kuwashikisha adabu.
 
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.

Sahihisho: habari yapaswa kuwa KAFU +CCM waibwaga CDM Nyamagana.

last week RAIMWEMA liliandika.....


HUKU kikiwa na mvutano wa ndani na madiwani wake wawili kiliowafuta uanachama, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakabiliwa na mtihani mzito katika kutetea nafasi Meya wa Jiji la Mwanza dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Uchaguzi huo unaofanyika baada ya kugawanywa kwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza na kuunda Halmashauri ya Jiji na Manispaa ya Ilemela unatarajiwa kuwa na mvuto wa aina yake katika siasa za Mwanza, ukitiwa chachu na hatua ya CHADEMA kuwafukuza uanachama madiwani wake ambao kwa namna fulani wanaweza kuathiri matokeo ya uchaguzi huo.

Wakati CHADEMA wana uhakika wa kutwaa nafasi ya meya na naibu wake katika Manispaa ya Ilemela ambako pamoja na kumvua uanachama Diwani wa Kitangiri, Henry Matata, bado idadi ya madiwani wake ni wanane akiwamo mbunge wao dhidi ya madiwani sita wa CCM na mbunge wa viti maalumu mmoja wa CUF, shughuli pevu itakuwa katika halmashuri ya Jiji la Mwanza ambapo CUF ndiyo wenye turufu ya kuamua nani anakuwa meya.
Kwa upande wa Halmashauri mpya ya Jiji la Mwanza, inayoundwa ndani ya mipaka ya Jimbo la Uchaguzi la Nyamagana, awali kabla ya CHADEMA kumvua uanachama Diwani wa Kata ya Igoma, Adam Chagulani, kilikuwa na wajumbe wanane sawa na CCM ambacho pia kilikuwa na idadi hiyo ya wajumbe wa Baraza la Madiwani, ambapo sasa baada ya Chagulani kuvuliwa uanachama CHADEMA kinabaki na wajumbe saba.

Hata hivyo bado turufu ya nani anakuwa Meya wa Jiji hilo bado iko mikononi mwa CUF ambao wana wajumbe wawili ndani ya baraza hilo, ambao wakiamua kuunga mkono upande wowote huo ndio utaibuka na ushindi katika kinyang’anyiro hicho.

kabla ya chagulani ilemela
CCM=8 CDM=8 CUF=3

baada ya Chagulani na ndoa ya CUF+ CCM=11

so hata kama huyo chagulani angekuwepo bila kula za CUF CDM wangeishia kula 8 tu. na hamna ambalo lingebadilika

ujanja wa CCM uliazianza baada ya kugawanya JIJI kuwa na Nyamagana na Ilemela kupitia waziri mikuu ambaye ni CCM. so turufu ikabaki kwa CUF ambao ni maswahiba na wenza wao (unabisha haupo TZ!)

kabla ya kugawa jiji
ccm=15
cdm=19
cuf=3

so piga ua CDM ingeshinda mwanza! wanaakili sana lakini wanashau kuwa hata kama unaakili watu wakichoka hauwezi badili watu! so kina chagulani walitumika kuharibu hali ya hewa hili watu wasiojua ukweli wanaone chadema si chama cha maana, arafu uchaguzi wa meya urudiwe ili CCM washindwe. Sasa najiuliza Chagulani na mwenzako mmefurahi nini?
 
madhara ya siasa zinazoendeshwa na dr.slaa ndani ya chama chini kwa chini akisaidia na na josephine ndiyo hayaaa..chama kimepoteza halmashauri..dr.slaa nahusika na hili akwepe akwepavyo.na bado tutashuhudia mengi kupitia fitina anazozifanya drs.slaa ndani ya chadema
kuna haja ya yeye kupumzika kama amechoka,na kama anaendesha chama kwa kutumia akili za josephine basi atuachie chama chetu.

Bado mbeya napo tutasikia makubwa hasa kwenye uongozia wa ngazi za tawi hadi mkoa,shinyanga na tabora ndio kabisaaaaaaaa

mbowe kukaa kimya sio mpumbavu,ni mwelewa sana hana muda wa kufanya haya mambo ya kitoto anayoendekeza huyu babu wa miaka 65 ndani ya chadema
dr.slaa kwani mbowe ni mpumbavu kukaa kimya???
Usidhani kama ni fahari kukuruka na vijana ili hali ww upo kwenye koma.
Inaumasana kuona chama kinapunguzwa nguvu na mzee kama huyu..tuachie chadema yetu.kaa na josphine wako mjenge maisha ya mwisho mwisho
shame on u slaa
​

Belive me hata uspin namna gani kwa kumuattack huyu Kibabu wa miaka 65 ukweli ni kuwa hutafanikiwa na propaganda za kichina kura za watu 19 wa mwanza sio maamuzi ya watu karibu milioni
 
Ccm wametoa rushwa kibao ili kujinufaisha kwa kuiibia halmashauri ya jiji la mwanza kabla hawajaaga rasmi 2015, hakika ccm watalifilisi jiji katika kipindi hiki kwani wanajua 2015 hawana diwani hapa jijini.
 
hahahahahahahahaha.hapo mwenzo ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.slaa rudi zako bunju
 
..CDM inahitaji ushindi wa kishindo, may b 70% and up.

..vinginevyo mnakuwa mnatoa nafasi ya CCM kuchakachua, au kuwahujumu wakiwatumia CUF na hata NCCR.
 
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi. Tujipange upya CDM.

Hahahahahaha! safi sana kujipa matumaini haya ndio malipo ya utengano na minyukano ndani ya chama, sasa wasubiri kupoteza majimbo 2015!
 
nsanu
Hakuna Mzee mnafki nchi hii kama huyu Mzee Mengi ile Show nzima ya kumng'oa Abuu Jumaa ilidhaminiwa na Mengi lakini chini ya uratibu wa Lowasa na wapambe wao hawa kina Makongoro Mahanga. hawa watu ni hatari sana Jiji lote la Dar liko mikononi mwao, maana Masaburi na Makongoro Mahanga ni mtu na kaka yake ingawa si wakuzaliwa pamoja.

Sijaelewa hasa bado huyuMzee interest zake ziko wapi hasa hadi akatamani Dar es salaam yote iwe chini yake kwa kuwatumia madiwani vivuli wa CCM, na ndio maana mpaka leo ile kauli ya wabunge wanaofikiri kwa kutumia makalio hata Bunge limenywea, Mzee Mengi atakuwa ni Member wa organization za siri zinazoogopwa wala siyo bure.
 
Last edited by a moderator:
Annael acha kukimbiakimbia, kama moshi ni wabaguzi wasingemchagua mkurya. Kwani mkurya na msukuma wana tofauti gani?
Wewe uko sawa sawa kweli,msukuma wapi na mkurya wapi? Huwezi kutufananisha na wakurya hata siku moja.
 
Acha kuwadanganya watu wewe
IDUDUMLWA....Kwanza ratio uliyoitoa haipo yaani ya jumla ya kula
19....CCM wana madiwani 6,cuf 2,cdm 8 jumla na mbunge.

sasa hizo kura 11 za ccm zimetoka wapi?Mbona mnatuchanganya!
 
Unatakiwa ufikirie kwa kina kabla ya kuongea! Kwanza kulea nyoka ndani kisa unaogopa kukosa kiti cha umayer ni jambo la kitoto kabisa!

Swala la kufukuzwa hao madiwani ni swala la busara kabisa na maamuzi yaliyo fanyika bado naendelea kuya bariki kabisa maana walitazamwa na ni vyema wame wekwa pembeni kabisa.

Kamati kuu ilifikia huamuzi wa kuwafukuza uanachama baada ya kujiridhisha hawafai.

Acha siasa za uoga kabisa kisa umayer, tunataka watu ambao wako tayari kuwatumikia wananchi si watu ambao wako tayari kuuza utu wao kisa pesa!

Acheni siasa za kufata upepo unapo vuma!
madhara ya siasa zinazoendeshwa na dr.slaa ndani ya chama chini kwa chini akisaidia na na josephine ndiyo hayaaa..chama kimepoteza halmashauri..dr.slaa nahusika na hili akwepe akwepavyo.na bado tutashuhudia mengi kupitia fitina anazozifanya drs.slaa ndani ya chadema
kuna haja ya yeye kupumzika kama amechoka,na kama anaendesha chama kwa kutumia akili za josephine basi atuachie chama chetu.

Bado mbeya napo tutasikia makubwa hasa kwenye uongozia wa ngazi za tawi hadi mkoa,shinyanga na tabora ndio kabisaaaaaaaa

mbowe kukaa kimya sio mpumbavu,ni mwelewa sana hana muda wa kufanya haya mambo ya kitoto anayoendekeza huyu babu wa miaka 65 ndani ya chadema
dr.slaa kwani mbowe ni mpumbavu kukaa kimya???
Usidhani kama ni fahari kukuruka na vijana ili hali ww upo kwenye koma.
Inaumasana kuona chama kinapunguzwa nguvu na mzee kama huyu..tuachie chadema yetu.kaa na josphine wako mjenge maisha ya mwisho mwisho
shame on u slaa
​
 
Sito uliza umri wako bali nitaangalia maneno unayo yaandika!

Kama hii ni hoja sawa!

Mdau mapenzi yana nguvu sna mzee kama huyu kila siku akiamka,na akilala na akipokea simu anaitwa baby(josphine) hana tena nguvu wala maamuzi ndiyo anataka nchi mdhaifu kiasi hiki,FUKUZENI ARUDI MBULU KWA MKE WAKE HAWA WATOTO WA MJINI WATAMLIZA .
 
damn u magamba, mmeharibu weekend yangu yote, na cancel hata mpango wa kwenda kuspend tonite!!!!
 
Back
Top Bottom