CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

Wewe kama unaona vipi unaweza ukakitoa, wakati haupo hakuna kilicho pungua na sasa umerudi hakuna kilicho zidi.unakua kama hujui uhuru wa maoni.

Huyo jamaa kwanza ni bingwa wa pumba humu JF baada NtuTEMEKE anafuatie yeye kwa Multiple ID's
 
Last edited by a moderator:
Ama hakika Zitto kambwe unakazi ya ziada ndani ya CDM
Hii ni laana ya kutamani nafasi za uongozi za wenye chama chao..........
Nauhakika uchaguzi ujao ikitokea CDM imeshindwa zigo zima atabebeshwa Zitto
Important thing to him his mission will be complete.....
And Chadema will remain History. Huitaji PHD kujuwa hili refer to huo uchaguzi wa Mwanza, hata kina Chagulani walikuwa wanaimba Peoples Power, so sad kuona Chadema inasambaratishwa na mtu huku wana mbaby kiss
 
Wasukuma saizi hawataki kabisa mchezo wanataka kuongozwa na msukuma mwenzao (Wagwise) si hunajua Wenje sio msukuma ni mtu wa Kenya.
Ni vizuri ukaisoma vizuri post yako kabla hujaipost humu JF ili kuepusha matatizo.

Ni hatari sana kuingiza mambo ya Ubaguzi wa kikabila kwenye mambo ya kisiasa tena kwa kuwasemea wengine.

Unataka kuwaaminisha watu kuwa sisi wasukuma ni wabaguzi sana hivyo tunachagua mtu kwa kufuata kabila lake?

Unataka kusema Laurence Masha tulimchagua 2005 kwa sababu ni msukuma na 2010 hatukumchagua kwa sababu hakuwa msukuma?

Please Ritz kama wewe ni muungwana naomba uifute post yako na kutuomba radhi sisi wasukuma ama sivyo nitamwomba MODS wakuchulie hatua.
 
Ama hakika Zitto kambwe unakazi ya ziada ndani ya CDM
Hii ni laana ya kutamani nafasi za uongozi za wenye chama chao..........
Nauhakika uchaguzi ujao ikitokea CDM imeshindwa zigo zima atabebeshwa Zitto
Important thing to him to accomplish mission.....
And Chadema will remain History. Huitaji PHD kujuwa hili refer to huo uchaguzi wa Mwanza, hata kina Chagulani walikuwa wanaimba Peoples Power, so sad kuona Chadema inasambaratishwa na mtu huku wana mbaby kiss
 
Ni vizuri ukaisoma vizuri post yako kabla hujaipost humu JF ili kuepusha matatizo.

Ni hatari sana kuingiza mambo ya kikabila kwenye mambo ya kisiasa tena kwa kuwasemia wengine.

Unataka kuwaaminisha watu kuwa sisi wasukuma ni wabaguzi sana hivyo tunachagua mtu kwa kufuata kabila lake?

Unataka kusema Laurence Masha tulimchagua 2005 kwa sababu ni msukuma na 2010 hatukumchagua kwa sababu hakuwa msukuma?

Please Ritz kama wewe ni muungwana naomba uifute post yako na kutuomba radhi sisi wasukuma ama sivyo nitamwomba MODS wakuchulie hatua.
Unapoteza muda wako bure tu, kuna watu wengine sometime ni kuwaweka kwenye Ignore list, hawana wanaloweza kufiri nje ya Udini na ukabila, ndio maana nikasema hii thread wamejaa Mahoka, kwa wale watu wa zamani wanawajuwa vizuro Mahoka wetu.
 
Dah! Nina hasira sana, wacha niwashe fegi yangu tu!
 
Demokrasia ina gharama zake na ndio kama hii ya leo. Pamoja na kwamba imekuwa chungu lakini lazima tuimeze hivyo hivyo kisha tusonge mbele.
Lazima tukubali kwamba nafasi ya kuchukua umeya wa jiji la mwanza ilikuwa inaamuliwa na madiwani wa cuf na kwahiyo wameamua kuupeleka umeya ccm labda kwa sababu ni mshirika mwenzao.

Kwa upande mwingine mimi siwezi kusikitika kwa kupoteza kiti cha umeya kwakuwa Chadema tumelipa gharama ya demokrasia yetu ndani ya chama kwa kuwatimua madiwani "waasi" ambao kimsingi hata kama wangeachwa hatukuwa na uhakika wa kupata kura zao.

Wakati ccm na cuf wakishangilia ushindi huu mzuri kwao, ni muda muafaka kwetu kufanya tathmini ya kina na kutambua chimbuko la uasi wa baadhi ya madiwani wetu na kisha kuchukua hatua madhubuti kudhibiti hali hiyo isitokee tena. Muhimu zaidi ni kuendelea na M4C ili tuweze kujiimarisha zaidi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa 2015, lakini pia kwa namna ya pekee kuweka mkazo katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 ili kutengeneza mtandao wa kutosha huku ngazi za chini.

Correct hapa CUF walikuwa na kura ya veto, ni sawa na salimu ahmed salimu alivyokosa un-secretary kwa kura ya ufaransa simply he was non-french spoken.lakini aliendelea ku-shine hadi kuwa OAU secretary.CDM wanamuelekeo mzuri hiyo kura ya cuf isiyumbishe m4c tena ni bora Heche atue mza kuendelza ya kagera. Ukizungumzia maamuzi ya slaa ok, yawezekana wengi hawakufurahi kuenguliwa chagulani lakini kuondoka kwa chagulani M4C imeingiza zaidi ya wanachama 40,000 kwa mkoa wa morogoro pekee.SLAA ni hazina CDM iwapo utafanya critical analysis benefits vs cost bila kuangalia matokeo ya meya mwz
 
Unapoteza muda wako bure tu, kuna watu wengine sometime ni kuwaweka kwenye Ignore list, hawana wanaloweza kufiri nje ya Udini na ukabila, ndio maana nikasema hii thread wamejaa Mahoka, kwa wale watu wa zamani wanawajuwa vizuro Mahoka wetu.

Nimekuuliza swali umeshindwa kujibu, nilikuuliza umemaliza ulichotaka kukisema?
 
Unapoteza muda wako bure tu, kuna watu wengine sometime ni kuwaweka kwenye Ignore list, hawana wanaloweza kufiri nje ya Udini na ukabila, ndio maana nikasema hii thread wamejaa Mahoka, kwa wale watu wa zamani wanawajuwa vizuro Mahoka wetu.
Kwa hili ililolifanya Ritz la kutaka kutuonyesha kwenye jamii sisi wasukuma wa Mwanza mjini ni wajinga na akili zetu zimefungwa kwenye ubaguzi wa kikabila ni dharau na matusi makubwa sana kwetu.

Siwezi kuacha likapita hivi hivi.
 
Matola katikati ya ushabiki kama huu unaweza kweli kujenga hoja yenye mantiki? Kuna tatizo kubwa sana humu JF siku hizi kwani badala ya watu kujadilio hoja wamegeukia kujadili haiba za watu. Kuna thread mmoja nimeona watu jinsi walivyomjadili Maggid Mjengwa kama vile yeye si binadamu anayestahili kuheshimiwa utu wake.

Kama hatutabadili hulka yetu ya kutumia hisia badala ya akili kwenye mijadala basi JF inatumbukia shimoni. Siku hizi cha msingi si hoja bali ni wewe kama ni CCM au CHADEMA na watu wamejigawa katika misingi hiyo. Mtu wa CCM atabishana mpaka povu limkauke mdomoni na wa CHADEMA naye ndiyo hivyo hivyo.

Haya makundi mawili ndiyo yameweka tabia ya kuonesha kwamba wote wanaopingana nao hawana akili. Matola kuna hoja mbili hivi zimejirudia rudia kwenye mjadala huu na hoja zenyewe ni ile ya njia nzuri zaidi ya kuchagua Meya na nini nafasi ya nidhamu ya chama kwenye demokrasia yetu.

Tukianzia na hili ya kuchagua Meya kiukweli tatizo kubwa si mfumo wenyewe bali wanaohusika na kuutumia mfumo huo yaani madiwani. Aina hii ya kutumia wawakilishi kuchagua viongozi kwenye jamii si ngeni na inatumiwa na sehemu kubwa ya dunia. Hata Spika wa Bunge la JMT anachaguliwa na wabunge na si wananchi wote.

Kwa hiyo kuchagua Meya kwa kura za moja kwa moja si kwamba ndiyo kutaleta ufanisi kwani hata Rais wa nchi yetu tunamchagua kwa kura za moja kwa moja na bado watu huona aliyepo madarakani hafai. Ufanisi wa Halmashauri unategemea na aina ya watu wanaoshika nafasi za uwakilishi wa wananchi na si aina ya mtindo wa kuchaguliwa kwao.

Kwanza niwapongeze CHADEMA kwa kuonyesha kwamba wanaweza kufanya maamuzi ya kuwafukuza Madiwani wao kwa kukiuka maadili ya chama chao. Kwa hili la Chagulani ni wakati wa CHADEMA kuweka utaratibu wa kuwapa na kuwajua kwa undani wagombea wao ili baadaye wasipishane njia.

lakini ukiliangalia suala hili kwa undani unapata utata kidogo. Hivi kati ya Chagulani na Shibuda nani hasa mtovu zaidi wa nidhamu za kichama? Mimi nafikiri maamuzi "magumu" huwagusa wale tu wenye urahisi wa kugusika. Hivi ni kwa nini mpaka leo Shibuda hajatiwa Adabu kama alivyofanyiwa Chagulani? Hapa kuna jambo la kujifunza.

Huko zamani njia ya kumchagua Meya kwa kura za moja kwa moja ilishawahi kutumika kwenye Halmashauri Tano na Halmashauri ya Mji Mkongwe (?) ikiwa mojawapo. Nini majaribio ya kutumia mfumo huo hayakuhalalisha matumizi yake kwa nchi nzima badala yake tukarudi kwenye huu mfumo tulionao ni suala ya kujadili.
Great Thinker @ work, hizi ndio comment zilizokwenda shule zinazokosekana siku hizi ndio maana nikaanza kushangaa kumbe vichwa bado vipo humu!!

Basi tusiruhusu akili ndogo ziongoze akili kubwa humu kwenye mijadala ambayo hata watoto zetu wakilog in JF wanaweza kufaidika na kitu, kutokana na comment yako hii iliyokwenda shule, nimeaprove Reputation Power kwako na nimekungea LIKE na natembelea Profile yako kusaign kwenye Guest wall yako.

Matola says thanks Kigarama for this useful post.
 
Last edited by a moderator:
Correct hapa CUF walikuwa na kura ya veto, ni sawa na salimu ahmed salimu alivyokosa un-secretary kwa kura ya ufaransa simply he was non-french spoken.lakini aliendelea ku-shine hadi kuwa OAU secretary.CDM wanamuelekeo mzuri hiyo kura ya cuf isiyumbishe m4c tena ni bora Heche atue mza kuendelza ya kagera. Ukizungumzia maamuzi ya slaa ok, yawezekana wengi hawakufurahi kuenguliwa chagulani lakini kuondoka kwa chagulani M4C imeingiza zaidi ya wanachama 40,000 kwa mkoa wa morogoro pekee.SLAA ni hazina CDM iwapo utafanya critical analysis benefits vs cost bila kuangalia matokeo ya meya mwz

Maneno yakujifariji ndio haya, Slaa amefanya mazuri ndani ya cdm yes, ila haya mabaya yana cost chama sana kuliko hata hayo mazuri, kukoa u-meya mwanza sio kitu cha mchezo, tuache kupepesa pepesa macho hapa kwa slaa kiukweli ametuingiza mkenge maamuzi yake
 
Kwa hili ililolifanya Ritz la kutaka kutuonyesha kwenye jamii sisi wasukuma wa Mwanza mjini ni wajinga na akili zetu zimefungwa kwenye ubaguzi wa kikabila ni dharau na matusi makubwa sana kwetu.

Siwezi kuacha likapita hivi hivi.
Tumia Report Abuse button kuwaeleza moderators na watachukuwa hatuwa ndani ya dakika 10 watakavyoona wao inafaa either wataifuta post au Ritz mwenyewe atapunguzwa makeke kidogo akae pembeni kwa muda ili ajifunze ustaarabu.

Option zote hapa JF ila Members hatuzitumii
 
Mwanza ilikuwa imeshika kasi kujenga ujenzi wa mitaro na barabara za mawe milimani, sasa hivi kila project itakufa napesa kuliwa! Mafisadi wameingia jijini!
 
Back
Top Bottom