Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,941
- 46,442
Ritz upo active kweli kwenye hii thread. Una maslahi nini
Umeniona mie tu...lol..
Ritz upo active kweli kwenye hii thread. Una maslahi nini
CCM hatuna hiana, unakaribishwa Lumumba kwenye mdundiko.You are a true symbol of insanity and immaturity! Keep it up dude!
Ritz upo active kweli kwenye hii thread. Una maslahi nini
Na wewe mama funga kibwebwe tu, karibu ngomani Lumumba, tokomile na gombesugu vile vile mdundo mmoja vitakuwepo.cdm chama makini hakibabaishwi na mambo madogo!nyie kupata huyo mea tena kwa g'harama kubwa basi midomo imewavimba.
acha unafiki bwana kaka mbona kwenu wasukuma wamejanjaruka hadi wewe na nduguzo mnalijua hilohaya ndio matunda ya mvurugano ulio tokea mwanza.cdm lazima itasambaratika mkoa wa mwanza, mlifikiri wasukuma kama wameru.
wewe jiangalie,hata maiti yangu haitapitishwa lumumba!!!!siwezi kuishi nikiwa nimepiga magoti.maisha ya kinafiki na kujidhalilisha mie siyataki.nyie vibaraka vya mafisad komaeni tu.Na wewe mama funga kibwebwe tu, karibu ngomani Lumumba, tokomile na gombesugu vile vile mdundo mmoja vitakuwepo.
inaonekana unampenda sana slaa!wait 2015 sio mbali sana utamtaja mpaka usingizini.
CHADEMA TULITEGEMEA KURA ZA CUF TULIWEKEANA MKATABA AU ALLIANCE AMBAYO MZEE SLAA AMESHIRIKI VILIVYO KUIANDAA....CUF ni ccm B kama tunavyowaita, lakini leo tunaweka nao mkataba wa kugawana madaraka, uu wapi umakini wetu katika hili? yaani tulitegemea kuungwa mkono na watu tunaowaita ccm B?
Imeandikwa waacheni wafu wazike wafu wao!CCM hatuna hiana, unakaribishwa Lumumba kwenye mdundiko.
Umeya na Uenyekiti wa Halmashauri kote nchini UNAUZWA. Muulize Masaburi, huyo Mabula, Kimbisa,.....Mkuu mbona ukusema mwanzo kabla ya uchaguzi mbona Chadema walivyokuwa wanaongoza ukusema kitu...unanikumbusha zamani wakati nipo chekechea pale Kisutu mkipigana na mwenzako atakayetoka damu ndio kapigwa na ugomvi unaisha yanaanza malalamiko.
kaa na imani hiyo hiyo!Ndoto za mchana hizo achana nazo 2015 raisi ni Lowassa.
ha ha ha ha ha ha ha!!!simbaaaaa!tarehe 3 kiongozi!Ebana ehhh, CCM itukane unavyo taka lakini nakuomba usiingize Simba,hapo unatafuta kutukanwa
The main looser wa huu uchaguzi ni CUF. Meya anapatikana kutokana na kura za madiwani, na madiwani wanapiga kura along paety lines. Hatuwezi kusema CCM sasa inakubalika Mwanza kwa kuangalia kura za madiwani kwa sababu statistically chama kikiwa na madiwani wengi bais nafasi ya Meya inakuwa yao (unless kuna mamluki).
Kwa upande wa CUF uchaguzi huu ulikuwa ni nafasi muhimu kuutangazia umma kama wao wanasimama upande upi? Huko nyuma walidai wanasingiziwa kuwa wao ni CCM B, lakini baada ya huu uchaguzi wa Meya Mwanza mambo yote yamewekwa hadharani- CCM na CUF ni wamoja. Hiki ndicho kimefanyika Mwanza kwamba sasa wananchi wanajua hakuna vuguvugu tena.
Kwa upande wa CHADEMA walijua gharama ya kuwaondoa madiwani. Na hapa wameonesha wako tayari kusimamia principles za chama kwa gharama yoyote ile. Hawafugi toxic za siku 90 kwa hofu ya kupoteza nafasi za uongozi.
Imekuwa ni afadhali CHADEMA wamewatema madiwani vuguvugu mapema even kwa gharama ya kiti cha umeya na sasa wanaweza kuelekea 2015 bila mamluki. CCM wanaweza kujipongeza leo kwa ushindi wa uchaguzi wa mezani uanofanywa na watu wachache, lakini je wana ubavu kwenye uchaguzi wa uraiani?
duh,kweli mlikuwa na wasiwasi na ccm b kuwasalit,mpaka mnakesha na mdundiko sababu ya meya!!!!!!!!CCM hatuna hiana, unakaribishwa Lumumba kwenye mdundiko.
wewe jiangalie,hata maiti yangu haitapitishwa lumumba!!!!siwezi kuishi nikiwa nimepiga magoti.maisha ya kinafiki na kujidhalilisha mie siyataki.nyie vibaraka vya mafisad komaeni tu.
afadhali umesema kweli,kumbe mmewahonga ccm b!!!!amazing.tupe budget breakdown ya uchaguzi huu.Acha kujiliwaza na CUF toka bungeni mmekataa kuungana na CUF unachotakiwa kumwambia Dr Slaa udikteta wake ndio umeiponza Chadema CUF hata wakipoteza kwao ni furaha kila mmoja anafanya siasa zake, CCM ni mafia na fitna za siasa wanazifahamu hunajua kama Diwani mmoja wa Chadema kaongwa kaipigia kura CCM.
sio wakali ila tunasema ukweli,sema magamba sikuzote ukweli ni mkuki kwenu.Duh leo wapenzi, wanachama,mashabiki, viongozi wa cdm wakali kweli kwa maneno
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.
Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.
sisi tunalijua hilo, masha aliwachezea wakamvua chupi lakini CDM bado haijui msukuma ni nani.acha unafiki bwana kaka mbona kwenu wasukuma wamejanjaruka hadi wewe na nduguzo mnalijua hilo