CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

Moja ya vitu adimu unavyoweza kupata kutoka kwa Waberoya ni ukubali kukosea au kukubaliana na wewe regardless of our differences

uko sahihi kabisa

Tunarudi sasa upande wa pili

Je mmiliki wa M4C ni nani? CDM walimililisha hiyo Logo?


There are so many logos duniani zenye hiyo M4C maana sio kitu kigeni

ona hii

SpBaq2FS.jpeg


waangalie na hawa walishaanza kutumia kabla yako

https://en.wikipedia.org/wiki/Movement_for_Change


sema mzee

ndugu angalia colour differences ile full red ile ina blue, red, black and white.

then angalia designing

hii inaandikwa "M"
ile inaandikwa "M4C"

kuna utofauti But unapoichukua jinsi ilivyo ni kosa, either wangeiweka iwe kwa maandishi ya kijani na njano or rangi yoyote iliyo kwenye bendera ya chama chao.

nadhani mwandishi kakuelekeza vizuri tu.

Ccm haina rangi nyekundu wala blue.
 
"Tunamchukulia
hatua kwa kumshitaki
yeye magufuli,bodi ya
wadhamini pamoja na
kamati yake ya kampeni
kwa kutumia nembo ya
chadema (M4C)
iliyosajiliwa na Brela
(wakala wa usajiri wa
Biashara na leseni) pamoja
na kauli ya mabadiriko
ambayo imesajiliwa
maalumu kwa ajiri ya
kampeni za chadema na
ukawa". GAZETI LA RAIA
TANZANIA LEO
 
Tehtehteh mmeshikwa kila kona, hayo mapovu mnayotokwa huwez nambia eti unafurahia ccm kuishiwa BALI ninaona maumivu makali ndani yako... M4C - MAGUFULI FOR CHANGE, upo hapo?? Mtalialia sana mwaka huu.. Tehtehteh.

akili za kifacebook hizi.
 
Ndio.Mahakama itaamua nembo ya M4C ni mali ya nani, na ni nani mwenye
haki ya kuitumia. CCM wamezidisha ujinga wa kukopy na kupaste! Wataaibika
sana mahakamani!
 
Hapo hakuna cha hoja nyepesi Mkuu. Kama kweli logo ni mali yenu leteni HAKIMILIKI. Vinginevyo kama mmezoea kufanya mambo kimazoea ndo ishakula kwenu hivyo.. Hao ndo ccm bana, wakongwe wa propaganda na hiyo ndo siasa in case u forgot..

na unadhani kwamba hii PROPAGANDA inawajenga au inawabomoa CCM? na je, hii inasaidia kuwafanya wananchi waipende CCM?
 
wewe ni kijana wa ccm ambaye ni zuzu sijuwi akili zenu huwa mnapeleka wapi?

Kati ya mm na yule mgombea wenu fisadi wa miaka nane, malaika wa miezi miwili asiyeweza kuongea hata sentensi tatu akaeleweka ambaye hamtaki akashiriki mdahalo nani zuzu...???
 
Aibu sana, kwanza sidhani kama Magufuli mwenyewe aliafiki, ni shinikizo tu. wazo la makamba na mjue Makamba ni Lowassa B, maskini wanamsabotage , kwa nini lakini?
 
Hao wanasheria wanapotezea mahakama muda.Eti Magufuli kusema Magufuli for change tatizo! Angesema Magufuli nne Change ingekuwaje maana chadema alama yao ni m4c

mkuu, kama hujui jambo ni bora ukae kimya kuliko kuonyesha upumbaFU wako hadharani.
 
Mgombea wa ccm amechoshwa na kazi, Saadam alikuwa rais wa Misri, akajaribu kurekebisha Kuwait.... wangestick kwenye sera au ilani yao ingeleta maana,,, mbwembwe hizi zinagharimu sana kampeni zao...
Jambo dogo tu kwako, kwa mpinzani ni faida kubwa.. SIASA NI NGUMU..Sio chemistry hii....
 
Kama CHADEMA walikuwa wameisajili kisheria hii ndembo yao huko BRELA, basi CCM watakuwa na ya kujibu. Pia Mh. Dr. Magufuli amesikika mara kadhaa akisema majukwaani ya kuwa M4C maana yake ni: Magufuli for Change.
 
Ndio.Mahakama itaamua nembo ya M4C ni mali ya nani, na ni nani mwenye
haki ya kuitumia. CCM wamezidisha ujinga wa kukopy na kupaste! Wataaibika
sana mahakamani!

Waliishafika mwisho wa kufikiri. Jukwaa la kampeni limejaa uzushi na matusi
 
Back
Top Bottom