CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

Hivi mshauri mkuu wa Dr.Pombe ni nani? Maana kadri siku zinavyoennda anaelekea kufanana na comedy ya StaRTV!

mshauri mkuu ni braza k wa futuhi. mtoa taarifa anaeleza kuwa braza k alifaulu usaili huo baada ya kupeleka video clips za kipindi chake cha utafiti kinachorushwa kila alhamis saa tatu na startv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom