CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

Kama CHADEMA walikuwa wameisajili kisheria hii ndembo yao huko BRELA, basi CCM watakuwa na ya kujibu. Pia Mh. Dr. Magufuli amesikika mara kadhaa akisema majukwaani ya kuwa M4C maana yake ni: Magufuli for Change.

Kaitazame tena. Haikuandikwa unavyosema
 
Isee hii kali kwakweli.Hivi si walisema watanzania wa upinzani ni malofa.sasa werevu wamefanya nini hii!
ndugu yangu bora ulalukiwe na mavazi lakini sio AKILI. haya ma mcc yamelalukiwa na akili. ndio maana tunasema they must go whether they like or not. hawawezi kufikiri zaidi ya hapo,wanachowaza ni wizi na ufisadi wa mali ya umma
hivi dr mzima hata hawezi kubuni vitu vyake anabaka vya wengine. bora wakae pembeni wawaachie ambao hata walitengeneza M4C maana angalau huo ni ubunifu
 
Mgombea wa ccm amechoshwa na kazi, Saadam alikuwa rais wa Misri, akajaribu kurekebisha Kuwait.... wangestick kwenye sera au ilani yao ingeleta maana,,, mbwembwe hizi zinagharimu sana kampeni zao...
Jambo dogo tu kwako, kwa mpinzani ni faida kubwa.. SIASA NI NGUMU..Sio chemistry hii....

Na anakwenda kwenye mdahalo akiwa amekariri kilometa za barabara na idadi ya madaraja tu!!

Huyo ndo Magufuli bwana aliyeopolewa toka Chato na CCM!!
 
tpaul ccm ni wajanja tu wala hawaigi kila kitu cha cdm. cdm ndio waigaji mpaka wanataka kuiga kua chama tawala.
Kilichofanyika hapa ni kwamba maccm yamewabonda CHADEMA kwa kutumia nyundo ya reli. Muosha huoshwa. Hao CHADEMA wenyewe wameiba M4C kutoka kwa wengine. Sasa sijui wanalalamika nini haswa.
 
Kwani matumizi ya nembo hii yameidhinishwa na ccm Rasmi ama ni Kazi za vijana wa mtandaoni?
kwa hiyo magufuli anayejinadi kwa kututmia nembo ya cdm ni kijana wa mtandaoni? hivi na wewe ni great thinker wa ccm ?

mme lalukiwa na akili kitu ambacho ni hatari kwa ustawi wa taifa hili. bora mtu akafanye kazi na boko halamu kuliko chama kilichochoka kama hiki
 
Ivii, hapakuwa na wanasiasa wengine? Maana ni kama "hamna jinsi ingine- hapo ndo ilikuwa mwisho wao wa uteuzi wa mgombea urais"
 
kati ya mm na yule mgombea wenu fisadi wa miaka nane, malaika wa miezi miwili asiyeweza kuongea hata sentensi tatu akaeleweka ambaye hamtaki akashiriki mdahalo nani zuzu...???
jibu ni kuwa wewe ndio ​zuzu
 
Hujawahi kuona ama kusikia timu ya mpira inapigwa adhabu kwa kosa la mashabiki wake?
Hata hivyo cha-Pombe mwenyewe ndio amekurupuka akiwa jukwaani akitaka kujipendekeza wakati hapendwi.!

inabidi magufuli awe jizi ili apendwe. lasivyo hawezi pendeka
 
kwa hiyo magufuli anayejinadi kwa kututmia nembo ya cdm ni kijana wa mtandaoni? hivi na wewe ni great thinker wa ccm ?

mme lalukiwa na akili kitu ambacho ni hatari kwa ustawi wa taifa hili. bora mtu akafanye kazi na boko halamu kuliko chama kilichochoka kama hiki

uhakika na unachokisema? unaijua boko haramu au unaiskikia tu?

ndio matatizo ya kuwa na watu wasioumiza vuchwa kufikiri katika nchi
una
 
Yaaan ni kama mtu ang'ang'anie kutumia neno COLA peke ake hahah.... sasa M4C yetu ina ukijan na njano alaf kirefu chake ni MAGUFULI FOR CHANGE
 
12043043_880591485425383_6485247546689714528_n.png


Duh! MTASHITAKI WENGI!
 
Tangu jana kumekuwepo na mijadala sehemu mbalimbali kuhusiana na matumizi ya logo ya M4C kwa chama cha Mzpinduzi (CCM). Wengine wakisema ni sawa lakini wengine wakisema si sawa. Sikutaka kulizungumzia hili lakini naona kuna upotoshaji (wa makusudi) unaoendelea, hivyo nimeona nitumie uzoefu wangu ktk taaluma ya Mahusiano (Public Relations) na uelewa mdogo wa Sheria nilionao kutoa ufafanuzi juu ya jambo hili. Lakini kabla sijaendelea nimpongeze sana mwanasheria wa CHADEMA John Mallya kwa kutoa msimamo wa Chama kuwa wataifikisha CCM mahakamani kwa kitendo cha kurudufu nembo yao. Kwa uelewa wangu kinacholalamikiwa si logo tu, kinacholalamikiwa ni kitendo cha CCM kutumia nembo ya utambulisho ya chama kingine (Corporate Identity) ya CHADEMA, while are two oponent parties. Muaasisi wa Taaluma ya Public Relations, Arthur Page alisema ili kutengeneza utambulisho wako kwa jamii (Corporate Identity) unahitaji kuwa alama zitakazokutambulisha. Alama hizo ni pamoja na Nembo (Logo), Jina (brand name), Rangi (corporate colour), Mundo wa maandishi (designing) kama ilivyo Cocacola, etc. Vyote hivi ndio vinatengeneza kinachoitwa utambulisho wa kampuni/shirika/asasi/chama etc. Nembo ya M4C ni Corporate Identity ya Chama cha Demokrasia na maendeleo na imesajiliwa hivyo. Kwa hiyo CCM au chama kingine kutumia nembo hiyo bila ridhaa au makubaliano maalumu na CHADEMA ni kosa kisheria (Criminal Fraud). KWANINI CCM WAMEKOSEA. Sheria zinazolinda haki miliki Tanzania (The copyright and neighbouring Act, ya mwaka 1999 na The Trade and Service marks Act, ya mwaka 1986) pamoja na Sheria za kimataifa zinazolinda haki miliki zinataka kuwe na utouti wa utambulisho kati ya asasi moja na nyingine, bidhaa moja na nyingine, shirika moja na jingine etc. Utofauti huo unakuwa kwenye maeneo mengi lakini kwa uchache ni kama ifuatavyo; 1. Jina/Brand name. Jina moja haliwezi kutumiwa na asasi mbili tofauti zinazofanya kazi za kufanana. Kwa mfano Kampuni ya bia ya TBL ikizindua kinywaji kiitwacho "Burudani" kampuni ya Serengeti haipaswi kuanzisha kinywaji chenye jina kama hilo. Sheria inazuia ili kutowachanganya wateja na kulinda haki ya mwanzilishi wa hiyo "brand name". Kwa hiyo kitendo cha CHADEMA kusajili nembo ya M4C kama "operation brand name" yake kinazuia chama kingine cha siasa kutumia jina hilo. Kwa hiyo CCM kutumia M4C ni kosa kisheria. 2. Muundo/Designing. Muundo wa maandishi una hati miliki kisheria. Kwa mfano muundo wa neno Cocacola ulivyo ni tofauti na muundo wa neno Pepsi. Cocacola wanaandika kwa kucharaza. Hiyo ni designing yao. Pepsi hawaruhusiwi kuiga muundo huo unless kuwe na makubaliano maalumu na Cocacola. Sasa CCM kwa ujinga wa kiwango cha "PhD" wameiga muundo wa neno M4C. Bora hata wangeandika kwa muundo mwingine, kwa mfano M-FOR-C, au m4c au namna nyingine itakayotofautisha brand name yao na ya CHADEMA. Lakini wamecopy na kupaste. Hapa haihitaji degree ya sheria kujua kuwa CCM wamekosea. 3. Rangi/Corporate colour. Unaposajili bidhaa yako au kampuni yako ni vizuri kusajili na rangi yako ya utambulisho. Kwa mfano hati ya usajili ya Chama cha mapinduzi inatambua rangi za kijani na njano kama rangi zao za utambulisho (corporate colour). Chadema rangi zao ni Blue, nyekundu, nyeupe na nyeusi. Ukisajili rangi yako ya utambulisho ni kosa kisheria kutumia rangi ya mshindani wako hasa kwenye ulimwengu wa leo wa ushindani wa kimasoko wa "Oligopoly Marketing" Simba hawaruhusiwi kuvaa jezi za Njano kwa sababu sio rangi yao ya utambulisho, vivyo hivyo Yanga kuvaa nyekundu. Japo Sheria inatoa ruhusa kubadili rangi ikiwa unaona kuna haja ya kufanya hivyo. Yani ukiona "clients" wako au "audience" wako hawaridhiki na rangi yako unaweza kubadili kwa kufuata taratibu za kisheria. Na si rangi tu bali hata logo au muundo (design). Ndio maana Vodacom ilianza na rangi ya Blue na nyeupe, lakini wakachange na sasa wanatumia nyekundu na nyeupe. Sheria inaruhusu kubadilisha. Lakini CCM hawakufanya hivyo. Bado hati yao ya usajili inaonesha rangi zao za utambulisho ni Kijani na Njano, lakini leo wamekurupuka kutengeneza logo ya M4C kwa rangi ambazo si zao. CCM hawana utambulisho wa rangi nyekundu, blue, nyeupe wala nyeusi. Wamezitoa wapi? Haihitaji elimu ya sheria kujua hawa watu wamekurupuka. Yani baba Njano, mama Kijani halafu mnazaa mtoto mwekundu au mweupe.. haya ni maajabu ya 8 ya dunia. Haiwezekani baba awe Punda, mama awe Nyumbu halafu mnazaa mtoto Twiga?? Hakuna "cross genetics" ya aina hiyo. CCM u have proved failure. Nisiwachoshe sana lakini kwa kifupi CCM wamekurupuka mno. Ni kukosa umakini kwa kiwango kikubwa. CCM ina wataalamu wa Sheria, ina wataalamu wa PR and Marketing, ina wataalamu wa Communication, kwanini wanafanya "Technical Mistake" ya kitoto namna hii? Hizi ndio akili za kushauriwa na kina Lusinde (standard seven) na kupuuza wataalamu. Poor u.! Malisa GJ.
sishangai kuona hili, hali ya ccm mwaka huu ni tofauti kabisa na ilikotoka, CCM imeparaganyika na imechagua mtu ambae hakujiandaa na hakuna mpiga kampeni mwenye hadhi
 
Back
Top Bottom