farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 701
Haujui SHERIA wewe na unavyovifanananisha havifanani
Zaidi ya kutumia kingereza cha Shakespeare sijaona jipya kwakweli!
Sioni hoja hapo , hiyo nembo , inatoa maana tofaut na chadema kwanini ulalamike acheni kukurupuka
Abbreviation ndio hutoa tofaut na sio nembo
Kama mnaona tumekosea kwanini inawaumaa?? Wacha tukosee ila MAGUFULI FOR CHANGE yaaan M4C.
Shakespeare hakuwa na Kiingereza kibovu kama hiki.
Hahaha bila matusi hamuwezi nyinyi yeaaaaa MAGUFULI FOR CHANGE we pasuka hapo mie sitak ban nishindwe mnadi mgombea wangu. #MAGUFULINDORAIS.Kwa hiyo hawana ubunifu,lazima wanye kilaghai kwa mambo yafananayo na ukawa ili wakubalike
AIBU
K"ma mae
Nendeni mahakamani, mnapenda kulialia kutafuta huruma za wapiga kura watanzania wanaelewa, acheni kupiga mayowe mna wanasheria nendeni mahakamani
chadema kusema watamshitaki mahakamani eti anatumia logo yao kivipi.wao ni MOVEMANT FOR CHANGE.
MAGUFURI FOR CHANGE.
ni tofauti na kusema jamii forum na mwanahalisi forum au cocacola na pepsi cola au azam cola au mo cola.
muwe makini msije mkaingia kichwa kichwa
hakuna kosa lolote wewe usifikiri ccm ni wajinga. kwanza hapo hakuna suala la public relations wala m4c sio nembo iliyosajiliwa ya chadema. ni alama tu ambayo ccm wanaipa maaana yao.
Ha ha ha ha! Manyani wa Lumumba ndio kitu gani hicho?Kama ni hivyo basi kampakeni Magufuli chokaa kichwani awe kama Lowasa. Hovyo kabisa manyani wa Lumumba.
Ha ha ha ha! Manyani wa Lumumba ndio kitu gani hicho?
wewe ni kijana wa ccm ambaye ni zuzu sijuwi akili zenu huwa mnapeleka wapi?kumbe chadema ni corporate???
sasa naanza kuelewa kwanini wengine wanaiita ni saccos...ha ha haaa
...and plagialism is legally punishable!