CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

Hata Nyerere alishawahi kutengwa na jumuiya ya kimataifa pale ambapo tulionekana kuwa na ukaribu sana na mataifa ya KIKOMUNISTI kama URUSI+CHINA wakati ule wa Vita baridi....
Nyerere alitengwa na dunia kwa kushadidia na kuunga mkono ukombozi, ujamaa na kutaifisha mali na kupinga sera za benki ya dunia na IMF na kubakiza nchi za scandinavia, urusi,cuba na china kutusaidia.
 
Mimi nafikiri wapinzani waliohamia CCM,Pro.Kitilla and co. wajaribu kujiingiza kwenye mbio za uraisi wakifanikiwa huenda wakaleta mabadiliko kiasi Fulani !
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Embu kaa utulie huko tuache na CCM yetu
 
Hakuna Manzania mwingine aliyebaki anayefanana na Magufuli. Magufuli alikuwa ni Pepo ndani ya mwili wa mwanadamu.

Tanzania iko salama sasa, yeyote akitawala iwe CCM, CHADEMA au ACT
 
Kama huna la kusema si ujinyamazie na kuficha ujuha wako baada ya kuuanika ukidhani inakusaidia wakati inakuonyesha kama kihiyo anayepaswa kudharauliwa na kukemewa kwa mawazo mfu na mgando hata kama kusema ni haki yako na hulipii mkumbaff we usiye na hoja wala adabu eti CCM wawaletee kama Magufuli nyinyi akina nani katika nchi hii ambayo haijachoka kiasi cha kutegemea majuha ndo watuambie nini cha kufanya na nini cha kutofanya kana kwamba wametumwea sijui nani kakutuma mkubaff wee?
 
:mad:
Hakuna Manzania mwingine aliyebaki anayefanana na Magufuli. Magufuli alikuwa ni Pepo ndani ya mwili wa mwanadamu.

Tanzania iko salama sasa, yeyote akitawala iwe CCM, CHADEMA au ACT
:mad::mad::mad::mad: Uwe na adabu.Huwezi kusema uyasemayo ukawa mzima. Ukiona hivi jua wewe ni fisadi, au mtoto wa fisadi. Mtakuja mkumbuka siku moja fwaki you
 
Atakuwa alikuchakaza katerero mpaka akili zikahama ndomaana huishi kumzungumzia! Yule hakuwa mtu wa level yako hivyo kwa akili ndogo usingemuelewa kiurahisi!
 
:mad:

:mad::mad::mad::mad: Uwe na adabu.Huwezi kusema uyasemayo ukawa mzima. Ukiona hivi jua wewe ni fisadi, au mtoto wa fisadi. Mtakuja mkumbuka siku moja fwaki you
Atakumbukwa na nyinyi tu misukule yake na sukuma gang wa Chato. Let him rot in hell
 
Sio tuu Rais wa dizaini ile ila nashangaa inakuaje dini ile inaleta watu makatili tuu?
Naona unapenda maraisi washikwa matako na mzungu wa dini yako ,ukweli maraisi waislamu ndiyo maraisi wapuuzi kuliko wote hapa tanzania ,huo ndiyo ukweli sijui mzungu anawafanyaga nini chumbani ? Maana wao ni kila kitu mfadhili sijui un sijui mzungu kasema chanjo ,sijui haki za kijinsia ,na kuuza nchi kwa wazungu
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Kichwani pako hapajatulia
 
Hapana Shaka yoyote wewe ni fisadi...
 
V
Atakumbukwa na nyinyi tu misukule yake na sukuma gang wa Chato. Let him rot in hell
Vibaka sasa hivi mmeanza na ukwapuaji wenu,
Lakini ipo siku mtanyea ndoo, kwa sasa endeleeni kufisadi nchi.
 
Yule hakuwa rais, rejea maneno ya dk. Diallo. Alikuwa ni Milembe material.
Watz tuna kazi, halafu ndio anatuongoza, na tuko radhi! Ila si ajabu waliopo madarakani inabidi kuwa waadilifu ili watu wasiteuwe wangombea kwa hasira, kukomoa au liwalo na liwe, hata Hitler halipatikana kwa jamii kupoteza matumaini!
 
Mtoa mada utakuwa gasho wewe uliezoea kufukunyuliwa mavi.
Haiwezekani mambo mazuri ya Hayati magufuli aliyoyaacha wewe unakumbuka kauli ya mavi mavi tu.
 
Back
Top Bottom