Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,826
- 14,018
Kuna CCM iliyokachokwa kupita CCM ya Kikwete? CCM ya kikwete ata kuvaa unform cha chama haikuwa tofauti na kutembea uchi maana utazomewa mpaka bas!CCM wakimleta Rais kama Magufuli mwingine ndiyo wataimarisha upinzani na watawaamsha wananchi waliolala. Wananchi wataichoka CCM mapema sana. CCM wakimleta Rais mpole, wananchi watarudi kulala tena maana wanaona mambo yanaenda shwari. Kwa hiyo kama wewe ni mpinzani wa CCM, omba Mungu CCM wamlete Magufuli 2.0.