Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,228
- 98,188
Ebu wacha kufuru wewe chawa wa mwendazake .Rais kama JPM hakuletwa na CCM. Na haitakuwa mara ya mwisho kuwa na Rais wa style ya JPM au hata zaidi. Hujui kwamba uongozi anayetoa ni Mwenyezi Mungu?