CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Sio tuu Rais wa dizaini ile ila nashangaa inakuaje dini ile inaleta watu makatili tuu?
 
Hii dunia kama mipango yetu ingekuwa final, Mobutu asingefia Morocco. Tusijisahau sana kama vile tuna control ya kila kitu. By the nashukuru kwa kunipa cheo cha uchawa wa mwendazake. Ntakienzi na kukitunza daima
Wacha tukuombee ili ukaungane naye mapema mfanye mipango yenu
 
Inawezekana nikaonekana Kama niliyekunywa maji ya bendera....

Ila UFINYWANGAJI wa taifa letu ulijengwa juu ya Sera za TANU(baba wa CCM)....mathalani ndani ya KATIBA YETU tunatambulika kuwa ni TAIFA LA UJAMAA NA KUJITEGEMEA.....tofauti sana na Sera za upinzani(CUF&CHADEMA) ambao wao ni WALIBERALI(in contarary with the country's constituition)....hili lina ATHARI KUBWA TU......
Na umeshiba haswa hayo maji ya bendera. Katiba yenyewe inatambua hii nchi ni ya vyama vingi, japo kimoja kinasaidiwa na polisi kubaki madarakani.
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Taahi.ra jingine hili..
 
CCM kuna wakati wanaweza kuwa na uwezo huo. Kuna wakati mambo yanatokea kwa namna ambayo hakuna anayeweza kujua. Kuweka Rais ni project iliyowashinda karibu wote
 
kutengwa na jumuia ya kimataifa kunafanya ukose bwana wa kizungu au???!

acha uzwazwa bana.
Mashoga mmejazana uvcc ndiyo mwenzenu jana kajitangaza kuwa anasingiziwa kuwa yeye ni shoga na nambari yake ya simu kaweka
 
Back
Top Bottom