CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

Hata Nyerere alishawahi kutengwa na jumuiya ya kimataifa pale ambapo tulionekana kuwa na ukaribu sana na mataifa ya KIKOMUNISTI kama URUSI+CHINA wakati ule wa Vita baridi....
Tulitengwa na nchi gani?
 
Hivi wewe ma wenzako kazi yako mi kuleta thread za Magufuli!?
Wanafiri watafuta legacy ya Jiwe kwa kuanzisha Uzi🤣🤣🤣.
Hata UN walienzi wakitamuka wazi huyu alikuwa Mwanaume.
Kikwete
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hilo la kukaa na mavi tumboni ndo limekuuma?kwani yanakaa mdomoni kumbe.
 
Wanafiri watafuta legacy ya Jiwe kwa kuanzisha Uzi🤣🤣🤣.
Hata UN walienzi wakitamuka wazi huyu alikuwa Mwanaume.
Yaani ukitizama watu wanavyopost thread jamii forum Magufuli Magufuli yaani sijui aliwafanya nini! Yaani naona kama kuna watu wamejipanga kumchafua lakini hawajui Magufuli huyu alikuwa mchapakazi kuliko waziri yeyote tokea wakati wa Mkapa mpaka Rais Mkapa wakati huo akamwita Askari wa Mwamvuri! lakini wanajifanya hawajui! Yaani wanasifia watu mataahira washakuwa viongozi hawana impact yeyote miaka nenda rudi!
 
Magu alikua namapungufu yake..ila kwenye kazi na maamuzi magumu hamuwezi mfikia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hiyo nayo imeingia kwenye history. Mpaka tukanyoshewa vidole vya ukandamizaji.

Miaka ya nyuma tukiwanyoshea vidole wabaguzi wa rangi na ma dictator popote ulimwenguni. Tuliwatukana SA , Zaire, Uganda , Malawi na hata US tulisimamia kucha kukataa uungwaji mkono makaburu. But this time yametukuta .
Sasa hivi tuko vizuri
 
Hivi Magu toka afariki miezi 9 bado?

Maana kuna watu mpaka wajifungue ndio mataona huvi vi thread vinapotea
 
Yeye ni nan ajue mengi kuliko mabosi zake ndani ya chama na watu waliofanya kazi na Magufuli kwa karibu Ben na JK wasigundue hilo
Aliyemshika pembe ng'ombe ndo mwenye ng'ombe huyo. Hilo ni hukumu lenu wakereketwa kumuuliza mwenyewe.
 
Hiyo ni special maombi maana umesema kuwa bado unamhitaji
🤣🤣🤣🤣. Sina utaalamu wa kufufua wafu. Siwezi kufanya hivyo.
Cha msingi ni kujenga taasisi imara. Sio suala la chama kinamsimamisha nani. Kuna nyakati zitakuja na watu ambao sio lazima tuwe tunakubaliana. Mfano, US na Trump
 
. Sina utaalamu wa kufufua wafu. Siwezi kufanya hivyo.
Cha msingi ni kujenga taasisi imara. Sio suala la chama kinamsimamisha nani. Kuna nyakati zitakuja na watu ambao sio lazima tuwe tunakubaliana. Mfano, US na Trump
Siyo kwa ccm
 
Kama ilivyo kawaida yetu usikose kipindi cha Shule ya uongozi na ndugu Humphrey Polepole
 
Bado ninatafuta jibu la swali langu kwenye hii comment yako silioni, itapendeza zaidi ukinionesha hilo jibu.
Hao unaoamini kwamba watakuja kuiondoa CCM siyo kweli. Wanawadanganya
 
Yaani ukitizama watu wanavyopost thread jamii forum Magufuli Magufuli yaani sijui aliwafanya nini! Yaani naona kama kuna watu wamejipanga kumchafua lakini hawajui Magufuli huyu alikuwa mchapakazi kuliko waziri yeyote tokea wakati wa Mkapa mpaka Rais Mkapa wakati huo akamwita Askari wa Mwamvuri! lakini wanajifanya hawajui! Yaani wanasifia watu mataahira washakuwa viongozi hawana impact yeyote miaka nenda rudi!
Huenda ndo hawa waliomunywesha sumu akiwa waziri.
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".

Tunaomba Mzazi wako asituletee tena mtu kama wewe. You are shameless.
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
CCM wakimleta Rais kama Magufuli mwingine ndiyo wataimarisha upinzani na watawaamsha wananchi waliolala. Wananchi wataichoka CCM mapema sana. CCM wakimleta Rais mpole, wananchi watarudi kulala tena maana wanaona mambo yanaenda shwari. Kwa hiyo kama wewe ni mpinzani wa CCM, omba Mungu CCM wamlete Magufuli 2.0.
 
Kwa sisi tuliokuwa tunahitaji huduma za umma, tulihudumiwa vema kupitia uwajibikaji. Urasimu na rushwa vilipungua sana tofauti na kipindi cha mtangulizi wake.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom