Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Samia Day iliyofanyika kata ya Kizota wilaya ya Dodoma Mjini yenye lengo la kutangaza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa awamu ya sita katika kila kata za mkoa huo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema mashambulizi ya Rais Samia yapo mitandaoni na si kwingine, hivyo WanaCCM na wananchi kwa ujumla waitetee CCM pamoja na Rais wao.
Aidha, amewataka WanaCCM kuendelea kusemea mambo mazuri aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo nchini.