Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,425
Khaa!! Kachemka wapi?? Kwani hizo nguo ndiyo utambulisho wake?? Mbona zipo madukani nyingi tuu. BTW kama tukianza kuchukua picha kama ushahidi basi haponi mtu:music:Komba kachemka sana.
Khaa!! Kachemka wapi?? Kwani hizo nguo ndiyo utambulisho wake?? Mbona zipo madukani nyingi tuu. BTW kama tukianza kuchukua picha kama ushahidi basi haponi mtu:music:Komba kachemka sana.
Wewe ndie unayeleta ushabiki ambaye hauwezi kutofautisha picha halisi na picha ya kuchongwa. Kama unataka kuthibitisha unachotaka tuamini weka picha halisi au njoo na ushahidi sio kubwabwaja tu hapa. Eti harudi mjengoni na wala hatagombea, hayo kwa sasa ni none issue, issue hapa ni kwamba mpango wenu umekwama, kaanze upya.
Tiba
Picha ya flana ni ya mwaka 2004...
wewe unayebisha ndiye unayepaswa kutoa ushahidi huo utuaminishe kwamba zile photo ni real na sio kazi ya photoshop.
kama kuna siku nimecheka sana ni leo. I see mzee mwenzangu kapatikana. Vijana wa siku hizi we acha tu....!!!!?kashika karibia na utamu asssssshhhhhh
Shark,kwani sharti ambalo ulinunua miaka 10 iliyopita hadi leo unalo? Na unaendelea kulivaa? Maana kuna picha kuwa ili pgwa mwaka 2004
Hizi za KOMBA hata kama ni halisi unaweza kuzitazama mbele ya Mkweo , ila zile za Kamanda Machemuli hazifai hata kuzitizama mwenyewe.
hata mwili si wake nafikiri. akane pia.
Akil huna www unaemtetea mtu anaejijua,ww machemli unamwona bungen tu na mikutano ya hadhara mm ndo mpiga kura wake namjua A-Z njoo nansio hapa uulze ameshatembea na ma barmaid wangap,kaiba wake za watu wangap hapa wilayan?usilolijua n sawa na usku wa giz ww kelel zako huku jf hazna mwangwi mchumia tumbo ww
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Chezea akili ndogo weee! Muulize Msigwa akudadavulie vizuri vituko vya wenye akili ndogo ....Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?
Tiba
Pamoja na kuletewa machemli ili ku dilute, lakini wananchi wenye hasira bado mnaye Komba tu!