Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,983
- 3,005
Mbona hamumsemi mwenyekiti wenu alie na vimada kila kona?
huko kwenu viongoz wenu ni balaaa! ! au haujui?
Mbona hamumsemi mwenyekiti wenu alie na vimada kila kona?
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
hapa yupo MSITUNI anatetea serikali 2. hapo anapopapasa pana 'msitu' mkubwa sana.
Nimeguswa na huuo utaalamu wa Mheshiwa kujitambua kuwa ana uzito wa kupindukia na kurundika viti vitatu ili vimpe support. Sijapenda mdogo wetu Vicky alivyoridhia kushikwa paja na Mheshimiwa mwenzake, siyo vizuri unless wana uhusiano wa karibu sana (ndugu) au ni wapenzi.
Mbona hamumsemi mwenyekiti wenu alie na vimada kila kona?
Hapo alikuwa akimhoji Komba Kulikoni kwenda kumaliza Pesa kwa Vitoto wakati mambo ipo huku ?Nimeguswa na huuo utaalamu wa Mheshiwa kujitambua kuwa ana uzito wa kupindukia na kurundika viti vitatu ili vimpe support. Sijapenda mdogo wetu Vicky alivyoridhia kushikwa paja na Mheshimiwa mwenzake, siyo vizuri unless wana uhusiano wa karibu sana (ndugu) au ni wapenzi.
JF ni kiboko.
Mbona hamumsemi mwenyekiti wenu alie na vimada kila kona?
eti yule ni mpiga kura wake alikuwa mgonjwa ndio maana alivaa kanga komba akiwa full nguo
komba aalienda kumjulia mgonjwa hali
Nimeguswa na huuo utaalamu wa Mheshiwa kujitambua kuwa ana uzito wa kupindukia na kurundika viti vitatu ili vimpe support. Sijapenda mdogo wetu Vicky alivyoridhia kushikwa paja na Mheshimiwa mwenzake, siyo vizuri unless wana uhusiano wa karibu sana (ndugu) au ni wapenzi.
hiyo picha ya mwaka 2004 inaonekana na imefanyiwa usanii kidogo.kwa mawazo yangu inaonekana yuko katika mkutano wa hadhara,kwahiyo hiyo picha chanzo chake ni media kama gazeti kwamaana kipindi hicho hata mambo ya intanet yalikuwa hayajawa sana tanzania.kwani hiyo 2004 hakuwa akiitwa komba? unataka kutuaminisha kwamba 2004 komba alikuwa hajazaliwa au unataka tukueleweje?
ila lazima nikubali kuwa shark yuko juu sana kwa mambo haya ya picha.Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Mtangazaji wa Clouds FM kwa makusudi au la hakumuuliza Bw. Komba swali la msingi kabisa: Je Bw. Komba, unawafahamu wasichana wanaooneka katika picha za utupu pamoja nawe? Kwa kutokuuliza swali hili, ni dhahiri kuwa Clouds Fm inatumika kumsafisha mheshimiwa huyu. Hali hii ni kinyume kabisa na maadili ya uandishi wa habari. And it makes the the society worse off. Vyombo vya habari vya namna hii havina manufaa yoyote kwa jamii.