...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Shark,kwani sharti ambalo ulinunua miaka 10 iliyopita hadi leo unalo? Na unaendelea kulivaa? Maana kuna picha kuwa ili pgwa mwaka 2004

Wakunyumba, naona umekazana kumtetea wakunyumba mwenzio.

Hapa tunazungumzia sababu alizozitoa Komba kua kile kiwiliwili cha kwenye Picha ile ya malavidavi hakikua cha kwake, bali cha mtu mwingine ila kikaja kikapachikwa kichwa chake kwa juu kwa kutumia utaalamu wa picha.

Sasa kiwiliwili hichohicho alichokikana kimeoneka mahali pengine kikiwa na sura hiyohiyo ya kwake.

Tukirudi kwenye swali lako huyu jamaa ni "oversize", so nguo za watu kama hawa hua ni adimu kidogo madukani na mitaani. So ukiipata moja unaitunza vilivyo maana kupata ingine ni adimu mno. Sio ajabu akawa na nguo toka mwaka 2004.
 
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba

Mkerewe Original ana Kitambi, wakati Mkerewe wa Picha flat screen!!
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?

Nawewe unayetokwa na povu kiasi hicho vipi Komba ni mwakilishi wako bungeni?
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!
Hivi kuna mtu wa kumtetea kicheche mzee!!!??? hata ukifanyaje ni yeye TUUUU!! anafahamika hata Lulu wa Kanumba anamgegeda!! Huyu aache kuwakilisha watu ili asifuatiliwe!! Kicheche ni kicheche tu!!
 
Duh! Jamaa kila akitoka kuhutubia lazima apumzike na mwananchi wa kawaida.
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?
Wakati Mbowe anashambuliwa kuwa alikwenda Dubai kutanua na Mbunge wa viti Maalum CDM wewe ulikuwa unashambulia pia leo hii yamegeukia kwa Komba unatetea nimeamini Condom aina ya ralphryder inavaliwa hata na vichaa.
 
Huyu Komba aache kubishana na ukweli. Watu wanazo picha zake akiwa kwenye baa ya Chuwa na visichana vidogo.

Na hata ile lodge anayopenda kwenda kufanyia mauchafu yake mitaa ya Sinza watu washamrekodi akiingia na hivyo visichana.

Kama anabisha na aje humu akatae kwamba pale kwa Chuwa hajawahi kwenda kukutana na hivyo visichana vidogo.

Aje hapa abishe watu tuziweke videos....dunia ya leo siyo dunia ya miaka ile.

Now let's see how far he wants to take this......
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?
Vipi dada yangu mbona povu au komba mzee wako nini funguka.
 
sasa mgonjwa mbona baadae katoa kanga kabaki manyonyo wazi!

Huenda mgonjwa alikuwa anaumwa ugonjwa wa JINI MAHABA na komba ndiye dokta wake. Ili mgonjwa apone, ilibidi atoe nyonyo zake zinyonywe na dokta ili kuondoa maruhani hayo.
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?


Kwani we humjui huyu ni lulu michaeli
 
Wanajf kumaliza ubishi Wa komba hebu mtoleeni picha ya binti take LULU Mzee mchafu sana unakula mtoto wako
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?

kwa huo wivu wako unataka akakugegede wewe ama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom