PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.

"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"

"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipotayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani
Abarikiwe mtumishi wa Mungu Camilius Wambura, anaribarikiwe sana aliyepewa macho ya rohoni Dr. Samia Suluhu Hassan, mkuu wa nchi yetu, Amiri jeshi mkuu na kiongozi mkuu wa serikali. Mh. Rais ni zawadi kutoka kwa mwenyenzi Mungu kwa nchi yetu. Ahsante Mungu kwa zawadi hii adhimu, AMEN!
 
No reforms, No Elections
 
Tukumbushe samia alisoma PhD wapi vile
 
Chadema wanadhani wanauwezo wa kuichafua amani ya nchi yetu.
hawa kunguni msiwachekee hata kidogo.....wafuatiliwe hadi choooni.
 
Kuna watu tumepewa akili ya kung'amua Madhuri na mabaya, wengine huo uwezo hawana , inabidi kuwabooost kidogo ubongo wao Ili wawe sawa kiakili, tuzidi kuwaombea na kiwasanua wale wasio na huo uwezo, mana ndo wanao kwamisha no reforms no election , machawa tuwakatae , unfollow, wasanii tusiwaspoti huko YouTube na mitandai mingine Ili wapate njaa kidogo ya pesa mana ndo zinawapa kiburi.
 
Attachments

  • image-2.jpg
    image-2.jpg
    112.8 KB · Views: 19
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani.

"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"

"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"

Ni lini waliwahi kuvumilia?
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.

"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"

"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"

Hivi wakuu niulize swali... Ni nan nchi hii ambae anatishia amani yetu mpaka porishi wanatoa kauli hizi??
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.

"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"

"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"

Mtu anahongwa billions unategemea atasema nini zaidi!
 
Back
Top Bottom