Bye bye rahatupu

Bye bye rahatupu

huyu mtu sasa atubu hii n hatar sn

atubu kwa lipi? mbona hueleweki...una maana Nancy au nziriye au una comment tu bila ya kujua, usiwatafutie watu ban bure:tape2:
 
Na alioect vipi hapo maana mi naona kama huu ni mchezo ...
Marekan ambao mdo makampuni makubwa kama "reality kings" na "porn hub" tena na waigizaji wanajulikana kama kina "christy mark" walijaribu kuzuia wakashindwa itakua bongo....
Maendeleo mmeshindwa kutuletea mnaanza kujipendekeza kwenye mambo ambayo hayana msingi ....
Kuna policy inasema not for under 18 na kuna restricted na pia wana warn kwamba kuna sexual content inamaana mpaka mi nimefungua naelewa ninachofanya alaaaaaa
 
Ni kweli nimedate nao waangalia porn wote hapa tanganyika ila nilipokuwanagongwa nawewe ulikua ukigongwa nao! Kwani mtu anapotoa ufahamu wake juu ya jambo alilojifunza maana yake limemtokea! Ili kujua kama mwanamke anajifungua kwa uchungu inakuhitaji uwe umezaa?
Ili kujua sigara inaharibu mapafu lazima mapafu yako yawe yameharibika??
Kazaneni kuangalia izo porn nyie wavulana alafu mnakimbilia kunywa viagra!
Boga kabisa.....mxiiu zako huwa tunagongwa wote! Umejuaje kuwa wananigonga kama huwa hawakuanzi wewe! ?

Mdau hapo naomba nikusahihishe kidogo usiseme wavulana siku izi wasichana kwa wavulana wote waangaliaji wazuri ....
Kuna dada jirani yangu ukimkuta anaangalia sim kaeka headphone tayari ni porno .... Kila siku kwa io ukitoa mada usiwe gender inbalance kisa we ni msichana stand between na uongee reality
 
Ukianza na post yangu ya awali utanielewa.Mie nilisema waangaliaji porn waliopitiliza*wanaoangalia sana sio wanaoangalia tu;kwa kimombo u can term them as addicts! Ni ukwel usiopingika utazamaji wa picha za utupu uliokithiri una madhara kisaikolojia na kimaumbile kwa jinsia zote na wanaume ni wahanga wakubwa.
Usijali nimekuelewa ila haswa nlotaka limwingie lishamwingia.
 
Ukianza na post yangu ya awali utanielewa.Mie nilisema waangaliaji porn waliopitiliza kwa kimombo u can term them as addicts! Ni ukwel usiopingika utazamaji wa picha za utupu uliokithiri una madhara kisaikolojia na kimaumbile kwa jinsia zote na wanaume ni wahanga wakubwa.
Usijali nimekuelewa ila haswa nlotaka limwingie lishamwingia.

Hakuna shida mdau ila mi naona ni stage tu kuna mda inafika mtu unakua sana mshabiki wa haya mambo mpaka inafika siku usipoona huriziki
Nakumbuka tulikua tunaamka usiku saa wazazi wamelala ndo tunaenda kuangalia saiv aa hata ham nayo hamna sa ni step tu kwa kwel
 
Ni kweli nimedate nao waangalia porn wote hapa tanganyika ila nilipokuwanagongwa nawewe ulikua ukigongwa nao! Kwani mtu anapotoa ufahamu wake juu ya jambo alilojifunza maana yake limemtokea! Ili kujua kama mwanamke anajifungua kwa uchungu inakuhitaji uwe umezaa?
Ili kujua sigara inaharibu mapafu lazima mapafu yako yawe yameharibika??
Kazaneni kuangalia izo porn nyie wavulana alafu mnakimbilia kunywa viagra!
Boga kabisa.....mxiiu zako huwa tunagongwa wote! Umejuaje kuwa wananigonga kama huwa hawakuanzi wewe! ?

hahaha...i can imagine ulivyopandwa na jazba, cul down...bt ii'm more interested with 'mxiiu' ndiyo nini, just asking in good faith, usijentukana bure!
 
Naona maluelue tu hapa, hebu mwenye vifungu vya huu muswada avi-paste hapa tuone uzuri na ubaya wake
 
Naona maluelue tu hapa, hebu mwenye vifungu vya huu muswada avi-paste hapa tuone uzuri na ubaya wake
Wanazungumzia cybercrime bill. Porn tangu enzi za magazines ni haramu Tanzania. Hii sheria imeelezea uharamu huo kwene teknohama.
Kama ilivyokuwa zamani, si rahisi kusimamia sheria hii, labda kwenye mambo ya visasi. Halafu sijaona wakizungumzia picha za maiti waliharibika kwa majeraha. Tanzania tuna tabia ya kuchapisha picha hizo hata za watoto n.k... very disturbing.
 
Umakini wa hali ya juu unahitajika hapa, wasikurupuke tu kutunga sheria,
 
Back
Top Bottom