Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
- Thread starter
- #121
Nimetaka tu kujua mkuu, Nakumkubali sana huyo jamaa afu nimeona avatar yako ni kama sura yake. asante kwa kujibu
Ndio ni yeye.
Karibu tena
Nimetaka tu kujua mkuu, Nakumkubali sana huyo jamaa afu nimeona avatar yako ni kama sura yake. asante kwa kujibu
Bungeni unapitishwa mswada wa Cyber crime.Ukisambaza picha za utupu jela na fine. So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog no bongo certification tena.
updates
Nancy kasema blog inafungwa so watu wanadoenload mizigo mapema
ila mbona sio jukwaa lake hili.....!!!!
admin wamekula kipolo nini...!!!!
Hapa ndio umuhimu wa Tafsiri aliyoiomba Tundu Lissu inahusu.Kiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:
Dah!! Tutammic sana nancy mitikiso
so Nancy katoa wito tukashushe mizigo
Hakuna uhuru wa privacy sasa. Kama ipo kwenye kompyita yangu si kwa matumizi yangu binafsiPolisi wamepewa rungu kuseize,search Na kutafuta ushahidi kwenye device yako
ebu ni metion, ukiweka blog yake
ebu ni metion, ukiweka blog yake
Ni lipi hilo, tutajie jina basi.
Ni lipi hilo, tutajie jina basi.
funga hizi Blog za kishenzi, funga kabisaaaaaaaaaaa!!!!