Bye bye rahatupu

Bye bye rahatupu

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,023
Reaction score
13,370
Bungeni unapitishwa mswada wa Cyber crime.Ukisambaza picha za utupu jela na fine. So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog no bongo certification tena.

updates
Nancy kasema blog inafungwa so watu wanadoenload mizigo mapema
 
Maneno tu hayo mkuu.

Hawatoweza kumzuia tembo kunywa maji
 
Bungeni unapitishwa mswada wa cyber crime!!

Ukisambaza picha za utupu,jela Na fine!! So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog

No bongo certification tena!!

Kiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:
 
Aliyeweka adhabu yake ni kubwa kuliko aliezifuata
 
Mbona tunanyimwa uhondo jamani, kwa hiyo hata za kutumiana kwny whatsApp haziruhusiwi
 
Kiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:

Jidanganye/ kasome muswada

Anayetumiwa Na anayesambaza wote jela!!
 
Hahaaaa Nancy nimemuomba aniunge gruop ya whatsup lakini kimyaaaaaaa!!!
Kwa sasa blog hiyo ndio namba 1. E.Africa.
 
Jidanganye/ kasome muswada

Anayetumiwa Na anayesambaza wote jela!!

Hata yule anaekuja kukagua kama uko sahihi ama la anamakosa.

Unaweza kumshitaki kwa kuingilia computer yako.
 
Hata yule anaekuja kukagua kama uko sahihi ama la anamakosa.

Unaweza kumshitaki kwa kuingilia computer yako.

Polisi wamepewa rungu kuseize,search Na kutafuta ushahidi kwenye device yako
 
jikusanyeni wadau muandamane tuu au mtaifungulia mkiwa kenya alafu mnaaccess mkiwa kwatz
Tutaandamana mwanzo mwisho.

Hao wanasiasa wanatafuta jambo la kuziba uozo wao walioufanya wanakosa mbinu matokeo yake wanataka kuwaingilia watu mitandaoni
 
Back
Top Bottom