Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
- Thread starter
- #41
bora tu hilo jukwaa lenu lifungwe kabisa manaake kila siku naomba aceess mnanibania
Mpm invisible fasta before baba Rizy hajasaini maana mjengoni sheria imepita
bora tu hilo jukwaa lenu lifungwe kabisa manaake kila siku naomba aceess mnanibania
Ni kama wanavyojua kuwa flani ana bangi ndani!!
Inawezekana kuna mtu aka wainform
Au Wewe umenitumia mimi porn bila kukuomba,naenda kukushtaki polisi
Wao wanakuja kukudaka!!
Ukiharibu ushahidi nalo ni kosa!!
Rahatupu is here to stay, sheria za kimataifa zinailinda. Tofauti yake na zeutamu ni kwamba haidhalilishi mtu, picha zinazopostiwa mle ni watu wenyewe kwa hiyari yao, na zile zinazokuwa zimevuja kutoka whatsapp na kwingineko zinakuwa zimezibwa sura.
Nancy bado yupo sanaaaa.
Mkuu Excel kimsingi silaumu ila nilikumbuka baada ya hiyo comment ya huyo jamaa, hata hivyo nilimuomba access Invisible ilikuwa 25th March 2014 saa 17.22 subject: Jukwaa la wakubwa, unless kama unapoomba tunatakiwa tuandike subject maalumu kama vile sehemu zingine unaambiwa" in your reply/writig please quote.......in subject line"ulimuomba nani access??
Inawezekana ulikosea mkuu. Do not blame!
Jodoki Kalimilo nae inawezekana alimuomba access member mwenzie!:lol:.. ongeeni na Invisible wakuu!
Afadhali!!
Ila shida ni kuwa mijamaa ikipigwa kibuti inatoa zile hizo picha Na video kwa Nancy!!
So atadanganya wamekubaliana kumbe uwongo!!
Victim akienda polisi,Nancy Na mtumaji wote jela!!!!
kule sauzi bwana ni private ukienda huko ni kiherehere chako tu..
Bungeni unapitishwa mswada wa cyber crime!!
Ukisambaza picha za utupu,jela Na fine!! So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog
No bongo certification tena!!
Kwa mfano juma akamrecord Jane then akasambaza whatsapp, Jane akienda kushtaki, juma Na wote walopokea basi wamevunja sheria