Bye bye rahatupu

Bye bye rahatupu

Mijanaume inayoangalia sana porn bwana ya ovyo kabisa kazi kujichua tu wakikutana na mzigo live dakika mbili nyingi....hoooi anatweta kama kakimbia masaa matatu
 
  • Thanks
Reactions: AMB
Una uhakika na unachokizungumza?

Labda tuanzie hapa, wanapata vipi mazungumzo yako?

Nazungumzia data kama picha au taarifa ovu.

Polisi wakijua kua Wewe unasambaza taarifa ovu,wamepewa nguvu za kisheria kukamata device yako Na kupekua.

Kama nimejibu swali lako accordingly!!
 
Mijanaume inayoangalia sana porn bwana ya ovyo kabisa kazi kujichua tu wakikutana na mzigo live dakika mbili nyingi....hoooi anatweta kama kakimbia masaa matatu

Kosa lako ni kugongwa. Na wanaume waangalia porn ambao wanamwaga baada ya dakika 2.

Maana umeongea kwa uzoefu wako wa kutembea Na waamgalia porn wote hapa Tanganyika ,except me.
 
Nazungumzia data kama picha au taarifa ovu.

Polisi wakijua kua Wewe unasambaza taarifa ovu,wamepewa nguvu za kisheria kukamata device yako Na kupekua.

Kama nimejibu swali lako accordingly!!

Hujajibu kabisa...swali ni kwamba wanaanza anza vipi kujua kuwa wewe ndiye unayesambaza pornography, au, for this matter, unaconduct any illegal activity kupitia WhatsApp?

How do they get there?
 
Ukikamatwa na madawa ya kulevya ambayo ni hatari zaidi jela miaka kadhaa lakini mpaka sasa watu wanapeta yanabaki maneno "tunaujua mtandao wa wauza unga", hata hili nalo sijui kwa nchi yetu hii ya wanasiasa wana nguvu kuliko watendaji wa serikali. (waanze pia na magazeti ya rangi rangi pia maana wao ndio kabisa picha ikitoka kwenye gazeti hata kama wataficha kwa alama nyeusi lakini bado gazeti litaendelea kuwepo kwa kufungiwa samaki na matumizi mengine
 
Mijanaume inayoangalia sana porn bwana ya ovyo kabisa kazi kujichua tu wakikutana na mzigo live dakika mbili nyingi....hoooi anatweta kama kakimbia masaa matatu

Hahahaa!

Hatari sana we mwanamke!

Seems like sato wa Mwanza wanawapa nguvu sana za kuseksiana!:lol:

Hili ni janga, nowadays mpaka wanawake wanasaka porn vidiz, not only men...
 
Hujajibu kabisa...swali ni kwamba wanaanza anza vipi kujua kuwa wewe ndiye unayesambaza pornography whatsapp?

Ni kama wanavyojua kuwa flani ana bangi ndani!!

Inawezekana kuna mtu aka wainform
Au Wewe umenitumia mimi porn bila kukuomba,naenda kukushtaki polisi

Wao wanakuja kukudaka!!
Ukiharibu ushahidi nalo ni kosa!!
 
Rahatupu is here to stay, sheria za kimataifa zinailinda. Tofauti yake na zeutamu ni kwamba haidhalilishi mtu, picha zinazopostiwa mle ni watu wenyewe kwa hiyari yao, na zile zinazokuwa zimevuja kutoka whatsapp na kwingineko zinakuwa zimezibwa sura.
Nancy bado yupo sanaaaa.
 
Back
Top Bottom