Mzee wa viwango!!
NDo nashuka zangu airport natokea dodoma bungeni
Kiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:
halafu unanipendaga wewe,wakati mie jimama....:embarassed2::mwaaah:
Ulienda kufanya nini bungeni???
Mbona tunanyimwa uhondo jamani, kwa hiyo hata za kutumiana kwny whatsApp haziruhusiwi
Je magazeti ya shigongo vipi na yenyewee
Nilienda kuwawakilisha wambea wenzangu tanzania nzima
Wabunge kwa unafiki bwana....yaani wanakataa hii blog wakati wao ndiyo wanaongoza kuperuzi humo kila kukicha kuona kama wamebandikwa na machangu wao uchwara. Hii yote ni kutaka kudhibiti machangu wao wasitume picha kwa Nancy wakionekana kungononeka na wateja wao wabunge.
basi tupeane blog ingine ya nje inayorusha 100%Bongo Certified wadau,hii sheria itatutenga sana
mwenye details za hiyo blog amwage hapa wengine tumekuja mjini na boda boda