Ingia rahatupu.blogspot.com hadi jana nancy katupia vitu,afu ww unasema rahtupu byebye???
Mmmh jestina jamani!
atubu kwa lipi? mbona hueleweki...una maana Nancy au nziriye au una comment tu bila ya kujua, usiwatafutie watu ban bure:tape2:
Jidanganye/ kasome muswada
Anayetumiwa Na anayesambaza wote jela!!
halafu unanipendaga wewe,wakati mie jimama....:embarassed2::mwaaah:
Anayetuma Na kupokea wote jela.Kuna kusambaza na kuweka wewe hujui kiswahili-access at your own risk
Anayetuma Na kupokea wote jela.
Huku cheki bunge?
Blog itaendelea huu ni utandawazi wakafunge dunia nzima kama kweli wanataka kuficha mambo ya wakubwa......bunge letu hakuna kitu
Nancy kasema itafungwa anytime
Blog itaendelea huu ni utandawazi wakafunge dunia nzima kama kweli wanataka kuficha mambo ya wakubwa......bunge letu hakuna kitu
Kiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:
mimi ni Deo.
why umeuliza?