Mwenzake kaponea hospitali, sasa huyu kapuku ataponea wapi????hata kaka yako Kanye west anaugonjwa huohuo ndio faida ya kumuabudu shetani,Kwa heri utupunguzie carbon
Moja ya post zenye maturity, kama wote wangekuwa hivi the world would be a better place for all human kind.Sio kila kitu cha kuchukulia mzaha mzaha, hii taarifa siio taarifa ndogo, huenda tukamsaidia kama ni kweli lakini kama si kweli basi fahamu kuwa kuna wengine pia wenye msongo kama huo ulioelezwa na ambao kwa kutoa ushauri mzuri huenda tukawasaidia.
Sometimes MUNGU anaweza kumtumia mtu mwingine ili kuokoa mtu au watu wengine bila kujua! Rejea kisa cha yule jamaa aliyepeleka mtumbwi wake ukapakwe rangi, mpaka rangi akaona tundu kidgo kwenye mtumbwi ule akaamua kuliziba kisha akaendelea na kazi yake na hatimaye kurudisha mtumbwi ule, bila kujua watoto wakachukua mtumbwi wakaondoka nao, mwenye mali amerudi anakuta watoto wameondoka na mtumbwi huku akikumbuka kulikua na shimo, aliishia pozi. Ch akushangaza watoto walirejea salama na akaja kugundua kuwa yule fundi ndie aliziba lile tundu na hivyo kuokoa maisha ya watoto wale.
Huenda mleta mada akawa ndio tundu lenyewe, sisi wachangiaji tusimame upande wa fundi, hebu tuzibe tundu hili regardless ya kuwa linatuhusu au lah, huenda tukawaokoa wengine kwa kutoa ushauri mzuri. MUNGU akubariki
Umefanya nini kumsaidia hadi sasa? Umetoa taarifa kwa watu wake wa karibu kama kaka,Dada,Mama,mjomba,au hata jirani wa karibu? Au unasubiri Yatokee ili upate cha ku thredisha humu? What is getting worse? Anadaiwa? Anaumwa? Amepigwa kibuti? Amedhulumiwa? If it's getting worse it's time for you to be open and fearless!! Time to save life! Time to show your humanity! Otherwise kuna trick mnataka kucheza!! Na kama ni michango sahau kabisa!! Maana kila mtu anataka kujitanabaisha kama victim namba moja wa sera ya "Kuisoma namba" ya Magufuliism.Guys,,,tunampoteza huyu mtu,, seriously the situation is getting worse
Dah Mwathu..... Hata mbonea kidori? [emoji23]
Wewe FAIZHAD acha kuchezea watu akili, kama hiyo ID ya pili huitaki tena unaiacha kimyakimya sio kusumbua watu!Guys,,,tunampoteza huyu mtu,, seriously the situation is getting worse
Kaeli mkuu alipe kwanza deni la HESLB, then ndo alale mbele.Umelipa deni la HELSB?
Ukisusa wenzio twala!Nina msongo mkubwa wa mawazo
Sina raha tena hapa duniani
Nahitaji kutangulia mbele za haki
Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi
Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe
Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi
Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu
Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
Njoo nikupe bia bardi ustue mawazo!!Nina msongo mkubwa wa mawazo