Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

Nina msongo mkubwa wa mawazo

Sina raha tena hapa duniani

Nahitaji kutangulia mbele za haki

Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi

Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe

Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake

Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi

Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa

Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu

Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
Nyoko,, kumbe uliahirisha mpango wa kujiua? Mdai FAIZHAD rambi rambi yetu tulimchangia kabisa!!
 
Ukifika huko utakutana na mwenyewe atakuuliza..... I gave u life u refuse., anyway msalimie Yule chinjachinja wa ISIS jihad joni, maana nasikia nayeye yupo huko mtakuwa wote kwenye foleni ya kuonyeshwa makazi yenu mapya.
 
Nashauri Mods wampe life ban huyu Yeezus, huu ni utoto na uchuro ktk baadhi ya mila zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom