Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

Nina msongo mkubwa wa mawazo

Sina raha tena hapa duniani

Nahitaji kutangulia mbele za haki

Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi

Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe

Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake

Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi

Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa

Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu

Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
Polisi wataanza na huyo uliyemtaja
 
kila linalotokea duniani ni jaribu kwa mwanadamu, liwe baya au zuri.
Mkuu usichukue huo uamuzi sio uamuzi sahihi au suluhu kwa mahangaiko au shida ulizonazo.

Ni dhambi pia mbele za Mungu kwa Mwanadamu kujitoa uhai, Acha mwenyewe Muumba achukue roho yako na sio kujidhulumu mwenyewe, ni hatari na chukuzo kwa Muumba kujitoa uhai.
Bado dunia inakuhitaji, jamii inayokuzunguka inakuhitaji ndio maana Mwenyezi Mungu amekuacha mpaka leo kwenye huu ulimwengu maana ameona unahitajika kuwepo, kama MUISLAMU,MKRISTO,MPAGANI... basi amini Mungu yupo na utayashinda majaribu ya dunia, muombe sana, tubu sana kila ukoseapo toa msaada unapoweza kusaidia.

Mwisho kabisa, tulikuja duniani tukiwa hatuna kitu, mafukara na tulikuwa hata nguo hatuna, leo tunavaa nguo, wengine matajiri, wengine marofa, wengine wanafuraha, wengine wanamachukizo nk.. AMINI KILA KITU KINAWEZEKANA CHINI YA JUA NI SUBIRA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII....
 
Kila la kheri tangulia salama tushikie viwanja vilivo jirani na barabarani wote tu wapitaji duniani usisahau kuniachia simu yako niwe nachat jf na fb yangu inasumbua,
 
Acha ujinga bana...Kabla ya yote...Lipa kabisa wapishi, wachimba kaburi, usafiri...Tena usisahau kulipa pesa usumbufu kwa watakaohudhuria mazishi yako...angalau 50,000 kwa mtu mmoja...:cool::cool::cool:
 
uwezo wa mwanadamu kumkubali Mungu au kumpinga Mungu upo mikononi mwa Mungu-maana uwezo wa mwanadamu kuamua afuate lipi sio kosa lake bali aliyempa uwezo huo wa kuchagua.hivyo yatakuwa si makosa yake

Sahihi Kabisa. Humrehemu amrehemuye na kumfanya mgumu mwingine. Lakini Yeye hapendi mtu yeyote apotee bali wote wafikirie toba na ndivyo alivyo.
 
Nina msongo mkubwa wa mawazo

Sina raha tena hapa duniani

Nahitaji kutangulia mbele za haki

Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi

Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe

Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake

Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi

Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa

Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu

Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
FAIZHAD nakuomba umwahi ndugu yako umuokoe, ILI TUISOME NAMBA PAMOJA hatutaki UJINGA, lazima tuisome wote NAMBA hakuna kukimbia
 
nimeishiwa poz, sijui tunaokoaje huu uhai. Na huyu FAIZHAD ni nani? yeye awe wa kwanza kuokoa maisha ya huyu ndugu, kifo sio masihara jamani japo huwa hawaagi. Ni vema mleta mada angeweka wazi yanayomsibu kuliko kuchukua hatua hyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom